Sehemu gani nzuri ya kula bata Igunga (Tabora)

jooohs

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
3,451
Reaction score
13,398
Habarini ndugu.

Kwa wanao pafahamu Igunga vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri .

Natanguliza shukran.
 
Habarini ndugu.
Kwa wanao pafahamu igunga vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri .
Natanguliza shukran.
Igunga ni ki center kidogo sana, ni miji inayoibuka baada ya barabara za lami kuwepo.

Lodge za kawaida zipo, usitegemee za nyota5 eneo kama hilo.

Kula bata wenzako wanachukulia kama kusanyiko la mnadani kuchoma mbuzi.

Na mnada mzuri wa mbuzi hadi uvuke mto manonga, uende Mhunze(Kishapu) huko.
 
Shukran mkuu
 
Back
Top Bottom