Mtanzania akijipata ni kuringishia kwa kula

Mtanzania akijipata ni kuringishia kwa kula

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,274
Reaction score
5,204
Nyie mliojipata acheni sifa za kijinga za kujiposti na misosi kwenye mitandao ya kijamii.

Hali ya maisha sasa hivi kwa wengi ni ngumu chakula ni shida halafu kwa maksudi mnaturingishia hiyo misosi.

Unakuta ni kuposti tu unafakamia minyama. Kuna mantiki gani kuwadharau wenye njaa?

Kuna haja gani sasa? Ni ulimbukeni tu.

Kuleni hizo nyama choma na mipilau yenu faraghani huko hata kama hamvunji sheria ni swala tu la staha na common sense.

adriz de mbusii
 
Na mbege nyingi😋
20260508_111646.jpg
 
Jf ni pahali you dare to talk openly so leave them mkuu. Kwanin? they are openly eating what they have. Ukilalamika wanaokula mwingne atalalamika wanaleta makumbatiano ya mahaba, na kule mwingne atalalamika na yule alovaa suti yake kali. La msingi na sekondari kama unaona wanakukera wewe jifunze kuwa overtake from left coz from right hawatakupa nafasi upite na ukifanya hivyo hutapungukiwa chochote bali utazidi kuongezeka kimaarifa. Mitandaoni ambacho sijawahi kuona ni mtu kajiselfie huku akikata gogo au akinya lakin mengne yote ya kawaida.
 
Nyie mliojipata acheni sifa za kijinga za kujiposti na misosi kwenye mitandao ya kijamii.

Hali ya maisha sasa hivi kwa wengi ni ngumu chakula ni shida halafu kwa maksudi mnaturingishia hiyo misosi.

Unakuta ni kuposti tu unafakamia minyama. Kuna mantiki gani kuwadharau wenye njaa?

Kuna haja gani sasa? Ni ulimbukeni tu.

Kuleni hizo nyama choma na mipilau yenu faraghani huko hata kama hamvunji sheria ni swala tu la staha na common sense.

adriz de mbusii
Bro, Chris ni mtu wa matani na mizaa, wala usimchulie serious, na Mpambanaji pia.
 
Unakuta zee zima nalo linafanya utoto kama huo.
 
Back
Top Bottom