Kwa hali hii, tutafika?
Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X
Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
Nimesoma habari huko mtandaoni nimepata mtatiziko kidogo baada ya mwandishi kuandika watu wenye group B msile kuku, na wakati mimi kuku ndio moja ya kitoweo changu pendwa sana.
Msaada hapo wa kuhakiki taarifa hii iwapo ni kweli kuku si salama kwa wenye damu group B
Nimekuwa nikisikia kuhusu madhara ya mafuta yatokanayo na wanyama (fat) kuwa huganda kwenye mishipa na kusababisha shinikizo la damu.
Kilichonishitua zaidi ni kuwa ngozi ya kuku kuwa ni hatari zaidi kwani huwa na mafuta mengi sana na husababisha cholesterol kwa kiasi kikubwa.
Hii imekaaje?
Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo.
Sikushangaa pale...
Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani
JF ni baba wa wataalamu!
Karibuni mnishauri! Nimeambatanisha na picha.
Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani napaswa kuwa nao ili kuanza ufugaji wa kuku hawa.
Naomba kushauriwa na kuelekezwa kwa kina.
Haji Manara amemuandika ujumbe wa Valentine mke wake kipenzi Zailyssa na kuwarushia Dongo waliosema kuwa penzi lao halitodumu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara ameandika,
"Happy Valentine's My Beautiful Wife,Nakupenda sana na wewe ndio furaha yangu na ndio Usingizi wangu ❤️❤️...
Kulingana tafiti za shirika la chakula na kilimo duniani:- Food and Agriculture Organization (FAO) za mwaka 2023, Kuna kama kuku 34.4 Billion ambao bado ni wazima au zaidi ya hapo kwa sasa duniani.
Huku ukilinganisha na idadi ya binadamu waishio kwa ambayo mpaka sasa inasomeka...
Wadau, kuna mfugaji wa kuku hapa Dar ananiambia kila mzunguko wa kuku 1000, anapata faida ya Tsh Laki 7. Hapo soko likiwa zuri sana. Jamani hicho kipato ukiangalia mtaji wa Banda nk. Je kuna njia ya kuongeza faida kwa kupunguza Gharama?
Hello JF?
Naamini kila kitu kina mwongozo kiserikali.
Kwa siku za karibuni nimenotice ni kama hawa kuku yatima wanawawaisha sana kutolewa.
Yaani now wamekua kama vinjiwa. Hivi inapaswa auzwe akifikia uzito gani? Au inategemeana na hitaji la soko. Kwamba uhitaji ukiwa mkubwa basi mtu anaamua...
Nina kuku wakubwa ambao nawatumia kama wazazi,pia nina vifaranga wa takriban miezi 3 na nusu,mara mwisho niliwapa chanjo ya kideri tar. 20.8.2023 na hapa kati nilikuwa na vifaranga wengine wapatao 40 wenye umri wa mwezi moja ambao niliwapa chanjo ya kideri juzi tar. 4.12.2023 ikiwa ni pamoja na...
wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani.
NIKO MKOANI NA MTAJI WANGU NI LAKI TANO
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro Kwa kosa la Kukiuka masharti ya kibali cha mkutano na hasa kuwaalika wabunge wengine kuhudhuria Katika mkutano huo siku alipotoka tu jela.
Nimekuwa kila nikipita maeneo ya masoko mengi yenye machinio ya kuku hapa Dar haswa Shekilango na Manzese ninarudishwa na harufu kali inayotoka kwenye machinjio hayo.
Cha kushangaza uongozi wa masoko hayo, serikali za mtaa na uongozi wa halmashauri zimekuwa kimya kabisa.
Kukiwa na mvua au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.