Haji Manara amemuandika ujumbe wa Valentine mke wake kipenzi Zailyssa na kuwarushia Dongo waliosema kuwa penzi lao halitodumu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara ameandika,
"Happy Valentine's My Beautiful Wife,Nakupenda sana na wewe ndio furaha yangu na ndio Usingizi wangu ❤️❤️
Kwangu mimi wewe ni Mwanamke bora sana chini ya hili Jua, Endelea hivyo hivyo My Sweetheart, nitakuenzi kwa ukubwa mno
Yes: Nazikumbuka zile Msg za wale kuku kwamba hatufiki siku ya leo ya Valentines, eti tutakuwa tushaachana !! wape salaam na waambie kwa mapenzi yetu na matakwa ya Allah, hii ndoa itatenganishwa na kifo tu Insha'Allah-Haji Manara
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️