Swali kwa Kinana, Je haki na uhuru wa uchaguzi huamriwa na Rais?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo.

Sikushangaa pale chama chetu kilipompa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa kutokana na makubwa yake aliyoyafanya akiwa Katibu Mkuu wetu mwaka 2012 hadi 2018. Ilikuwa miaka 6 ya ukada uliotukuka na chama kikasomba ushindi wa kishindo kama cha nyundo mwa 2014 na 2015. Namwamini Kinana.

Lakini, jana Komredi Kinana alitoa kauli yenye kutafakarisha na kuogofya. Aliitoa mbele ya ACT-Wazalendo huko Dar es Salaam. Kwamba, Rais Samia ameahidi, kudhamiria na kuamua kuwa uchaguzi wa mwaka huu na mkuu wa mwakani utakuwa huru na wa haki. Ujumbe wa haraka ni kuwa wananchi wamwamini Rais.

Komredi Kinana, yaani unawaambia wananchi kuwa u-haki na u-huru wa uchaguzi huamuliwa na Rais? Kweli hili la kuwaambia wananchi walioaminishwa tangu dahali kuwa chaguzi zetu ni huru na za haki na huwa CCM yetu tunashinda (na si kushindishwa) kwa haki na kwa Ilani bora? Why Comrade!??

Yaani watanzania, pamoja na kazi yote iliyofanywa tangu uhuru kuwaaminisha kuwa washindi uchaguzini hupatikana kwa haki baada ya taasisi husika kuchakata wagombea na wananchi kuamua, sasa waamini kuwa Rais ndiye mwamuzi wa iwapo au la uchaguzi uwe huru na wa haki? Kwanini lakini?

Komredi Kinana, amini nakwambia, umemwaga mtama kwenye kuku wengi. Ulipaswa kuzitetea taasisi za kiuchaguzi na uhuru wao ambazo huzalisha chaguzi huru na za haki. Rais, pamoja na kuwa kiongozi wetu kichama, kiserikali na kinchi, si mtu sahihi wa kuamua uhuru na uhaki wa uchaguzi.

Nimetafakari na nikakumbuka mbali!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)
 
Amesema kweli!

Tume za uchaguzi no geresha TU! Kwa katiba iliyopo. Rais anaamua nani apewe. Nani anyimee hata kama akishindwa uchaguzi. Au akishinda uchaguzi!!

Kasema kweli ya wazi kwamba Samiah aidha no mkweli au anadanganya upinzani ili ushiriki uchaguzi 2025 bila katiba mpya! Na upinzani wakikubali watakua wajinga kama Mika yote ya chaguzi zilizopita walivyokua wajinga!!

Katiba mpya na time huru ya chaguzi no muhimu kwa ccm sana kuliko hata upinzani nchini!! Kwanini!!? Tukipata mzilankende mwingine hata ccm wenyewe tutaathirika kama tulivyoathirika 2015-2021!! Hilo lipo wazi!!

Tumakinike!!
 
Mzee Tupatupa, Rais ndio huamua nani ndio ATANGAZWE,refer uchaguzi wa kuziba nafac ya Uwakilishi Pemba mwaka jana, ambapo mgombea CCM alitangazwa pasipo AIBU, hadi ACT walivyogangamala ndio kwa AIBU CCM wakamtaka "mshindi wao" ajiuzulu..
 
Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo.

Sikushangaa pale chama chetu kilipompa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa kutokana na makubwa yake aliyoyafanya akiwa Katibu Mkuu wetu mwaka 2012 hadi 2018. Ilikuwa miaka 6 ya ukada uliotukuka na chama kikasomba ushindi wa kishindo kama cha nyundo mwa 2014 na 2015. Namwamini Kinana.

Lakini, jana Komredi Kinana alitoa kauli yenye kutafakarisha na kuogofya. Aliitoa mbele ya ACT-Wazalendo huko Dar es Salaam. Kwamba, Rais Samia ameahidi, kudhamiria na kuamua kuwa uchaguzi wa mwaka huu na mkuu wa mwakani utakuwa huru na wa haki. Ujumbe wa haraka ni kuwa wananchi wamwamini Rais.

Komredi Kinana, yaani unawaambia wananchi kuwa u-haki na u-huru wa uchaguzi huamuliwa na Rais? Kweli hili la kuwaambia wananchi walioaminishwa tangu dahali kuwa chaguzi zetu ni huru na za haki na huwa CCM yetu tunashinda (na si kushindishwa) kwa haki na kwa Ilani bora? Why Comrade!??

Yaani watanzania, pamoja na kazi yote iliyofanywa tangu uhuru kuwaaminisha kuwa washindi uchaguzini hupatikana kwa haki baada ya taasisi husika kuchakata wagombea na wananchi kuamua, sasa waamini kuwa Rais ndiye mwamuzi wa iwapo au la uchaguzi uwe huru na wa haki? Kwanini lakini?

Komredi Kinana, amini nakwambia, umemwaga mtama kwenye kuku wengi. Ulipaswa kuzitetea taasisi za kiuchaguzi na uhuru wao ambazo huzalisha chaguzi huru na za haki. Rais, pamoja na kuwa kiongozi wetu kichama, kiserikali na kinchi, si mtu sahihi wa kuamua uhuru na uhaki wa uchaguzi.

Nimetafakari na nikakumbuka mbali!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)
Mtu kaamua kuepuka dhambi ya uongo afe akiwa Safi, lakini mnamzonga Kwa faida ya Chama chenu! Nani asiyejua CCM ilivyoharibu Uchaguzi wa 19/20 ikishirikiana na Usalama wa Taifa?
 
Hebu nijibu hili, keshokutwa uchaguzi, leo makamu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anamwambia mgombea ubunge wa upinzani kuwa unapoteza muda wako hauwezi kushinda, je, huu si ukiukaji wa kanuni za uchaguzi?
Mkapa alipopambana na Mrema ambapo uchaguzi ulifanyika vizuri lakini baada ya kupiga kura na kuanza kuzihesabu ghafla uchaguzi ukafutwa na kuamriwa urudiwe kwa siku tofsuti tofauti kati ya mkoa na mkoa, hata hivyo baada ya baadhi kupiga kura zoezi likasimamishwa na Mkapa akatangazwa mshindi! Je, huu si ukiukaji wa kanuni na sheria za uchaguzi? Yapo maswali mengi ila nijibu haya kwanza.
 
Taifa hili halija wahi kuwa na uchaguzi bali ujinga wa mtu mweusi kwenye sanduku la Kura.Kule Kigoma kwenye Kura za ndio kipindi cha chama kimoja Mzee Mwinyi alipata Kura nyingi kuliko idadi ya wapiga kura.

Hii ni mosi ya hoja kwamba waafrika Kuna vitu hatuwezi bora tusaidiwe,bora mkoloni Mweupe arudi Afrika kutawala kuliko mkoloni mweusi.
 
Sasa hamjui tunatubu na Swaumu j3?
Ila kama kasema ukweli ni bora ungempa maua yake maana unafiki sio mzuri
Mzee anajua hii sio miaka ya 70 au 80 au 90
Vijana wanajua kila kitu na kwa sasa vitenge na kofia ni kama unawatukana
Wanataka ajira
Mzee kasema yaliyokuwa yanamkereketa, halafu asikuambie mtu uzee raha aisee unaongea ukweli mtupu
 
Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo.

Sikushangaa pale chama chetu kilipompa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa kutokana na makubwa yake aliyoyafanya akiwa Katibu Mkuu wetu mwaka 2012 hadi 2018. Ilikuwa miaka 6 ya ukada uliotukuka na chama kikasomba ushindi wa kishindo kama cha nyundo mwa 2014 na 2015. Namwamini Kinana.

Lakini, jana Komredi Kinana alitoa kauli yenye kutafakarisha na kuogofya. Aliitoa mbele ya ACT-Wazalendo huko Dar es Salaam. Kwamba, Rais Samia ameahidi, kudhamiria na kuamua kuwa uchaguzi wa mwaka huu na mkuu wa mwakani utakuwa huru na wa haki. Ujumbe wa haraka ni kuwa wananchi wamwamini Rais.

Komredi Kinana, yaani unawaambia wananchi kuwa u-haki na u-huru wa uchaguzi huamuliwa na Rais? Kweli hili la kuwaambia wananchi walioaminishwa tangu dahali kuwa chaguzi zetu ni huru na za haki na huwa CCM yetu tunashinda (na si kushindishwa) kwa haki na kwa Ilani bora? Why Comrade!??

Yaani watanzania, pamoja na kazi yote iliyofanywa tangu uhuru kuwaaminisha kuwa washindi uchaguzini hupatikana kwa haki baada ya taasisi husika kuchakata wagombea na wananchi kuamua, sasa waamini kuwa Rais ndiye mwamuzi wa iwapo au la uchaguzi uwe huru na wa haki? Kwanini lakini?

Komredi Kinana, amini nakwambia, umemwaga mtama kwenye kuku wengi. Ulipaswa kuzitetea taasisi za kiuchaguzi na uhuru wao ambazo huzalisha chaguzi huru na za haki. Rais, pamoja na kuwa kiongozi wetu kichama, kiserikali na kinchi, si mtu sahihi wa kuamua uhuru na uhaki wa uchaguzi.

Nimetafakari na nikakumbuka mbali!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)

Kwa hiyo wanajeshi huwa hawasemi ukweli? Maana umemsifia ni mwanajeshi halafu ukamlaumu kwa kusema ukweli??????
 
Umeamua kujitafakarisha wewe binafsi, lakini Kinana hakupenda kuwa mnafiki na alitamka wazi juu ya yale yaliyotokea 2019 na 2020. Japo hata uko nyuma unakokusema, CCM haijawahi kushinda kwa kiwango ambacho tumekuwa tukiaminishwa.
 
Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo.

Sikushangaa pale chama chetu kilipompa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa kutokana na makubwa yake aliyoyafanya akiwa Katibu Mkuu wetu mwaka 2012 hadi 2018. Ilikuwa miaka 6 ya ukada uliotukuka na chama kikasomba ushindi wa kishindo kama cha nyundo mwa 2014 na 2015. Namwamini Kinana.

Lakini, jana Komredi Kinana alitoa kauli yenye kutafakarisha na kuogofya. Aliitoa mbele ya ACT-Wazalendo huko Dar es Salaam. Kwamba, Rais Samia ameahidi, kudhamiria na kuamua kuwa uchaguzi wa mwaka huu na mkuu wa mwakani utakuwa huru na wa haki. Ujumbe wa haraka ni kuwa wananchi wamwamini Rais.

Komredi Kinana, yaani unawaambia wananchi kuwa u-haki na u-huru wa uchaguzi huamuliwa na Rais? Kweli hili la kuwaambia wananchi walioaminishwa tangu dahali kuwa chaguzi zetu ni huru na za haki na huwa CCM yetu tunashinda (na si kushindishwa) kwa haki na kwa Ilani bora? Why Comrade!??

Yaani watanzania, pamoja na kazi yote iliyofanywa tangu uhuru kuwaaminisha kuwa washindi uchaguzini hupatikana kwa haki baada ya taasisi husika kuchakata wagombea na wananchi kuamua, sasa waamini kuwa Rais ndiye mwamuzi wa iwapo au la uchaguzi uwe huru na wa haki? Kwanini lakini?

Komredi Kinana, amini nakwambia, umemwaga mtama kwenye kuku wengi. Ulipaswa kuzitetea taasisi za kiuchaguzi na uhuru wao ambazo huzalisha chaguzi huru na za haki. Rais, pamoja na kuwa kiongozi wetu kichama, kiserikali na kinchi, si mtu sahihi wa kuamua uhuru na uhaki wa uchaguzi.

Nimetafakari na nikakumbuka mbali!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)
Mtu yeyote timamu (ukiacha majuha) wanajuwa azi hatujawahi kuwa na uchaguzi huru na haki!

Hata enzi tuna wabunge wengi wa upinzani bado chaguzi hazikuwa huru na za haki nivile WIZI haukutosheleza wa-twawala kushinda!

Pengine tumpongeze walau Kwa kusema hilo hadharani Sasa tufatilie kama anauungwana wa kuweka mazingira hayo ya uchaguzi huru na wa haki!!
 
Back
Top Bottom