kuku

  1. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Serikali imeamua kabisa kula kuku kwa mrija kufurahia watanzania kupoteza maisha/kupata ulemavu wa kudumu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Hivyo ndivyo navyo weza kusema kwasababu ni kama viongozi waliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania na kuhakikisha mali na usalama wa maisha yao unalindwa kwa wivu mkubwa. Hizi ajali zinazoendelea kuwamaliza watanzania na kuwaacha wengi wakiwa na...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi Tegeta Kwa Ndevu wawajibishwe kwa kushindwa kuzuia uchafuzi wa mazingira unaotokana na machinjio/soko la kuku

    Hawa viongozi ni wala rushwa wakubwa wanasababisha wakazi wa eneo lile tuteseke kwa harufu kali sana wakati wa usiku inayotokana na mabaki ya kuku. Iko hivi... Nyuma ya kituo cha daladala cha 'Kwa Ndevu', Tegeta kama unaelekea Bunju kuna mtaro mkubwa unaopeleka maji kwenye mto ulio katikati ya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba connection ya mfugaji wa kuku wa mayai anayeweza kuniuzia trey 50-100 kwa wiki Dodoma na Morogoro

    Salaam wana JF, Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
  4. Katkit

    JamiiForums Tanzania Huu mfumuko wa bei unatuumiza zaidi sisi majobless.

    Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Huyu kuku, namla peke yangu! Wageni sitaki!!

    Nikiwa ketu huku usukumani, nikija likizo mjomba huwa ananiwekea li kuku king size ili nile nishibe. Sasa nyie wa mjini ati vi fried chicken vya Chick King au Mary Brown, najua hamshibi. Nataka watu wengine twende karibuni wote Bariadi.
  6. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Nimekaa ushuani kwa miaka mingi, sasa nimehamia uswazi. Kuku wa huku wataniua

    Boss ashampoo niliyumba kibiashara hapo kati kati mimi miaka mingi toka 2013 nakaa posta tu kisutu. Baada ya kuyumba kidogo nikahamia uswahilini nje ya mji, pia niliwapa story ya shemeji yenu kunikimbia. Kiukweli mimi nilizaliwa familia flani ya kati, sio ushua wala umasikinini. Baada ya...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe na ndoto za kufikirika, za kumbadili kuku wa kisasa kuwa wa kienyeji

    Ninae huyu mtu anaeitwa Hussein Bashe, Kwa mlio karibu nae jaribuni kumuonya kwamba hicho kilimo anachojaribu kukianzisha, kimeshashindwa hata kabla hakijaanza .labda kwa sababu yeye ni mtu anaedhani kilimo kinaendeshwa kwa makaratasi, hivyo anajaribu kutoa mishipa ya shingo kwa kuongea sanaaa...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa kuku

    Wana JF, Kwanza niseme asanteni sana maana ushauri ambao mmekuwa mnanipa nimekuwa nikiufanyia kazi unanipa matokeo mazuri. Sasa nina changamoto ya kuku wa sasso ambao wana umri wa miezi miwili wamekuwa wakifa hovyo. Dalili wanakunya kinyesi cha rangi kama chokaa,wengine kinyesi ni kama udongo...
  10. FATHER JOKA

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna bora ya kujenga banda bora la kuku wa mayai 500

    Nataka kuanza kufuga kuku wa mayai na nataka kujenga banda. Naomba ushauri mambo mhimu ya kuzingatia ili nisiingie chaka.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua kuku kwa bei rahisi

    Habarini wana jamvi letu pendwa, Nauhitaji wa kununua kuku wa kienyeji kwa bei rahisi (chini ya Tsh 10,000/=) kama kuna mdau anafahamu sehemu (kijiji/kata, wilaya au mkoa) basi naomba anitajie, nina access ya kufika popote pale Tanzania. AHSANTENI
  12. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Kumbe huko mjini mnakula Kuku na Mayai yake na hamsemi😅😅

    Nimetoka kusikiliza songi la Harmonize Nakohoa nimeshangaa sana! mnawezaje kula Mtu na mwanae na bado ukawa Happy?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtu anapata wapi ujasiri wa kumchinja binadamu mwenzake kama kuku?

  14. F

    JamiiForums Tanzania Je, umeweza kujibu swali hili maarufu? Kati ya kuku na yai nini kilitangulia?

    Umewahi kujiuliza kati ya kuku na yai nini kilitangulia? Hili swali sio geni, ila umewahi kulifikiria na kutafuta jibu lake? Kwanini wenye jibu sahihi hawataki kulitoa? 1. Ni kuku kwanza, halafu yai. Kimamtiki ni sawa na ndivyo tunavyoona kila siku, kuku anataga yai. 2. Ni yai kwanza, halafu...
  15. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Kumswaga mwizi kama kuku nikumuongezea mbinu za wizi

    Kama bandiko linavyojieleza kumswaga mwizi kama kuku nikumuongezea umakini wa kuiba Niwazi kuwa wote tumesikia masikitiko ya mama dhidi ya madudu yaliyo ibuliwa kwenye lipoti ya mkaguzi w hesabu za serikali Mama analalamika mama anaudhunishwa na huu ujambazi unaofanywa kwenye hii miladi ya...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuku wangu wa kisasa wana tatizo

    Habari mimi ni mara ya kwanza kuanza kufuga kuna kuku wawili sehemu ya haja kubwa imetoka njee hili ni tatizo gani?
  17. U

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku viwekewe majiko ya kuvipa joto hadi umri gani?

    Ndugu wanajf na wafugaji wa kuku, hivi vifaranga vinatakiwa viwekewe chanzo cha joto hadi vifikishe umri upi?
  18. Brox

    JamiiForums Tanzania Je, jogoo la sasso likipanda kuku wa kienyeji nitapata vifaranga vya sasso?

    Habar wakuu. Swali langu ni kwamba endapo nkichanganya jogoo la sasso na tetea wa kienyeji breed itakayo toka hapo ni ya sasso au laa.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi kuua wafugaji wa kuku Tanzania

    Ndugu watanzania bei ya mahindi mwisho wa Feb 2023 ilikua kwa jumla 1, 120 kwa Dar Es Salaam lakini bei ya leo 6 March 23 yamepanda kufikia 1, 330 kwa kilo moja. Ongezeko hili ni hatari kubwa kwa wafugaji wafugaji wa kuku na wengineo kwa sababu ongezeko hili ni sawa na 5, 000 kwa mfuko wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na DC Mwanukuzi kupinga wezi wa kuku kufungwa wezi wa mamilioni serikalini kubaki ofisini

    Naungana na Andiko la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Bassila Mwanukuzi kuhusu wezi wa kuku kufungwa na wale wa fedha za umma kubaki ofisini. "Wale watumishi walioisababishia serikali hasara ya mamilioni kwa ajili ya ubadhirifu na ambao chini ya uongozi wangu tulichukua hatua kwa muujibu...
Back
Top Bottom