kuku

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nyoka wananimalizia mayai ya kuku wangu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninafuga kuku wa kienyeji hapa shambani kwangu. Kwa kweli kuku wanastawi vizuri na nilishaanza kufurahia matunda ya jasho langu, lakini ghafla nilianza kuona mayai yakipungua wakati kuku wanataga kila siku. Niliamini pasipo na shaka itakuwa nyoka...
  2. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Kuku wa jirani kaingia jikoni kwangu na mlango umejifunga

    Wakuu ikiwa leo ni tarehe 31 mwezi wa 12, muda mfupi kabla ya mwaka mpya kuna kuku wa jirani, tena kuku kweli kweli ameingia jikoni kwangu na mlango umejifunga akiwa ndani, hapo nifanye nini? Chumvi, vitunguu, mafuta, ndimu, pilipili mkaa na viungo vingine vipo.
  3. Zillionaire_tz

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku wa mayai (layers)

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Nauza kuku wa mayai wapo 540 (mia tano arobaini), bado wiki mbili waanze kutaga. Nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3. SABABU: Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi. LOCATION: DODOMA
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mkeo / Demu wako anapenda sana Kupanda Pikipiki ( BodaBoda ) jua imekula Kwako na UKIMWI hauko mbali Kukufikia

    Waendesha Pikipiki maarufu Bodaboda hatarini kupata maambukizi ya VVU kutokana na Kushawishika kwa kile wanachodai kuwa baadhi ya abiria wao wa kike huwalazimisha kufanya ngono zembe kutokana na Kutokuwa na Nauli za Kuwalipa na Kuwaambia Wamalizane. Pengine serikali ianzishe utaratibu wa kuwa...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mikate ya maji iliyochanganywa na kuku

    Habari wadau wa mapishi, wapenda misosi mitamu. Leo nawaletea pishi hili tamu sana baada ya kulionja nikaona niwaletee na nyie ndugu zangu wa JF ili mkapike nanyi mfaidi kama mimi nilivyofaidi. Basi nisiwachoshe naomba mfatane nami katika maandalizi haya mpaka mtatoa kitu murua. Viamba...
  6. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini mumeamua kufuga Bundi na kuachana na Kuku, siasa itaua utamaduni wetu

    Na Elius Ndabila 0768239284 Ninawasalimia wafuatiliaji wote wa makala zangu za kila wiki. Ninawashukuru wote ambao baada ya kusoma mumekuwa na muda wa kunipigia kwa kunishauri, kunipongeza na kunikosoa. Nikiri kuwa ninyi mumekuwa chachu kubwa kwangu ya kuendelea kuwajuza mambo mengi ya...
  7. alphonce.NET

    JamiiForums Tanzania Vifaranga wa kuku chotara wa kuloiler

    Tunazalisha na kuuza vifaranga wa kuku chotara aina ya kuloiler Vifaranga wanapatikana mara mbili kila mwezi na wanakua wameshapatiwa chanjo ya Mareks Tupo Busweru, Mwanza tunasafirisha kwenda maeneo jirani kama Shinyanga, Nzega, Musoma, Geita, Sengerema, Magu nk Bei za vifaranga: Umri wa...
Back
Top Bottom