Faida kwa kuku 1000 wa nyama Dar ni 700,000 tu

Ukitoa fixed costs za kufuga kuku 1000 ikiwemo banda, vyombo na miundombinu za ufugaji. Variable cost za kununua kifaranga wa broiler na kumlisha kwa muda wa wiki nne ni around 5,000,000/-

Faida huwa ina range from 1,000,000 mpaka 700,000 incase wakachelewa kutoka au kuumwa.

Ukiangalia faida ni kama 15-20% ya gharama za uendeshaji ambayo hii inapatikana ndani ya wiki nne pekee. Sio faida mbaya.

Mil 5 ukiifungia UTT utaondoka na 50,000 kwa mwezi sawa na asilimia moja tu ya pesa uliozika.

Ufugaji sio biashara mbaya, ila nikiri kwamba si biashara ya kila mtu.
 
Shida inaanzia pale ambapo tumelelewa kwenye kuwekeza miradi ya uchuuzi yaani unakuwa na mtaji halafu kesho unakwenda kuuza unarudisha hela yako ya mtaji.

Hiyo hela kubwa kwani uwekezaji wa kuku ni wa muda mrefu hivyo wewe deal na gharama za uendeshaji tu yaani vyakula na vingine, gharama za Banda zitakuja kujiset zenyewe kadri unavyoendesha.

Kama ni mwoga Jenga mabanda mazuri na mfumo wa vyumba vya kulala, mradi ukibuma mabanda unafanya finishing kidogo inakuwa vyumba vya kulala aka kupangisha.
 
Bas hawana faida mbona bora ufuge wa kienyeji yaan kuku buku faida laki saba hapo ingekuwa kuku wa kienyej ukipiga kwa hasara 10000×1000=na milion kumi hapo kwa hasara kwakwel ufugaji wa broila ni upumbavu kbs aah kumbe mnaongelea na mayai ok ok bas mi mpumbavu kabisa kuku wa broila wana faida sina msimamo biashara kichaa hizi bora ufuge nguruwe
 
Kuku wa kienyeji its a failed business ...hakuna business model utakayoisuka ya kuku wa kienyeji na ikalipa.

Actually kuku wa kienyeji ni biashara kichaa
Dah! Kiongozi mbona umekatisha tamaa sana wafugaji wa kuku wa kienyeji. Ni kweli completely hawana faida kiasi hicho? Au inategemea na umafugia wapi? Yaani shambani au mjini? Ninachojua mimi ni kuwa huwezi pata faida ya kuku wa kienyeji ukiwafugia mabandani halafu mjini tena. Hapo lazima lazima utukane matusi ya kila aina sababu ya cost ya chakula na time frame kuanzia vifaranga mpaka kuuza. Lakini ukiwafugia shamba trust me kuku wa kienyeji wanalipa sana
 
Bas hawana faida mbona bora ufuge wa kienyeji yaan kuku buku faida laki saba hapo ingekuwa kuku wa kienyej ukipiga kwa hasara 10000×1000=na milion kumi hapo kwa hasara kwakwel ufugaji wa broila ni upumbavu kbs aah kumbe mnaongelea na mayai ok ok bas mi mpumbavu kabisa kuku wa broila wana faida sina msimamo biashara kichaa hizi bora ufuge nguruwe
Hio unaipata kwa muda gani ? Pia kama unaongelea kienyeji kwamba huwalishi wanajitafutia chakula hilo eneo la kuwaachia kuku elfu moja unalipata wapi... Nadhani unachoongelea ni vigumu kuwa realistic..., Ukizingatia Broilers conversion yao ya chakula to weight ni maradufu ya kienyeji..

Na watu wanaosema kwamba hio pesa ni nzuri sababu unachofanya ni kuongeza idadi inabidi tuwaulize utaongeza idadi to infinity ? Sababu unaweza kweli ukawa una uwezo wa kuuza kuku 1000 lakini wakiwa elfu 5 ukakosa soko... Soko lingekuwa guarantee basi hakuna biashara nzuri kama karanga za kukaanga zile za mia mia sababu shilingi inazaa shilingi au better still zile mbichi unaweka kwenye mifuko unauza mia...
 
Nazan shida soko ila sio ufugaj mi nakufugia hao mpaka wanafika elfu6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom