Hivi unajua Kuku ni wengi sana duniani kuliko binadamu?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,734
10,038
Kulingana tafiti za shirika la chakula na kilimo duniani:- Food and Agriculture Organization (FAO) za mwaka 2023, Kuna kama kuku 34.4 Billion ambao bado ni wazima au zaidi ya hapo kwa sasa duniani.

Huku ukilinganisha na idadi ya binadamu waishio kwa ambayo mpaka sasa inasomeka kuwa ni 8,084,213,248 - bil 8.1 (kwa hesabu iliyofanyika tarehe 10 January 2024) kulingana na Umoja wa Mataifa UN kwa ushirikiano na Worldometer.

::Tusiache kula kuku jamani!, Maisha mafupi!.
 
Back
Top Bottom