iamdastani
Member
- Dec 13, 2023
- 10
- 10
Nimeanza ufugaji wakuku wa kienyeji, nimeanza na kuku jike 3, jogoo 1 ila saizi ni mwezi wa pili sioni Jogoo hata akikimbiza kuku wa kike nifanyaje?
Wapande weweNimeanza ufugaji wakuku wa kienyeji, nimeanza na kuku jike 3, jogoo 1 ila saizi ni mwezi wa pili sioni Jogoo hata akikimbiza kuku wa kike nifanyaje?
Mle supu! Au mchemsho!Nimeanza ufugaji wakuku wa kienyeji, nimeanza na kuku jike 3, jogoo 1 ila saizi ni mwezi wa pili sioni Jogoo hata akikimbiza kuku wa kike nifanyaje?
Sawa Ahsante kwa ushauriOngeza idadi ya majogoo, au peleka tetea wako kwa jogoo wa jirani
ooh sawa kumbe kuna kuangalia kama Jogoo kakomaa au hajakomaa? unajuaje?Huenda bado hajakomaa
Mhh kuna hiyo sindano kweli?Mdunge sindano ya kuongeza mihemuko
Maswali ya Kifara sio ya kuleta humu jukwaaniMhh kuna hiyo sindano kweli?
heshima kitu cha bure
Mhh kuna hiyo sindano kweli?Mdunge sindano ya kuongeza mihemuko
heshima kitu cha bureWapande wewe
Hili nii jukwaa huru ni haki yangu kuuliza ambacho sikijui ili nipate majibu , kama huna jibu ni vyema ukakaa kimyaMaswali ya Kifara sio ya kuleta humu jukwaani
ndioUna uhakika ilo jogoo ni la kienyeji pyuaa
Huyo jogoo mwanachama wa chaputa na kataa ndoa,hajakujulisha tu jiongeze mtafune.