kuku

  1. jastertz

    JamiiForums Tanzania Natamani nifuge samaki chumba nilichopanga

    Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekaa nimewaza nianzishe ufugaji wa samaki ndani ya chumba nilichopanga, Nikianza na samaki hata kumi naona watatosha, Hii imekaaje wadau... seem like joke but niko sawa kabisa. any idea
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, unapenda pilau kuku, biriani mbuzi, nyama choma, makange ya samaki, ugali dagaa na mbogamboga? Mbinguni hazitakuwepo.

    Kuna vitu na mambo yanayopendwa sana hapa duniani ambavyo sio dhambi lakini ni kuwa hivyo vyote havitakuwepo. Kwa mfano sisi tunaopenda misosi mitamu kama ile ya Shishi food, white rose na Marry brown ni kuwa haitakuwepo. Kitu nachosikia kinatajwa tajwa ni maziwa na asali. Pia huenda kikawepo...
  3. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kufuga kuku Hawa!

    Habari za mids hii Siku Kama nne hivi zilizopita nimenunua vifaranga 7 aina ya saso , sijawahi kufuga kuku ndo nimeamua jaribu , baada ya kuwachukua nilinunua starter 1Kg ndo wanaila ila hapa Sasa naomba kuuliza utaratibu ukoje kuhusu chanjo Ni ipi na Kila baada ya muda gani , je wakiwa...
  4. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Kijana mtaalam wa kukaanga na kuchoma kuku.

    Heshima kwenu wakuu Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma na kukaanga kuku, broiler, sekela, na Aina zingine za kuku. Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, mzuri. Muda wa kazi ni kuanzia Jioni. Eneo la kazi ni Kimara Temboni. Mshahara na mambo...
  5. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Huu ni ugonjwa gani wa Kuku?

    Kama Kichwa Cha Habari kinavyojieleza...hapo juu Naomba msaada kujua huu ni ugonjwa gani wa kuku na unasababishwa na nini ?na Tiba yake ni nini? Ni kuku wa kienyeji Mwenye kujua Tiba yake ikiwa madawa ya madukani au mitishamba naomba anijuze Nimeambatanisha na picha 👇🏿👇🏿
  6. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani wa kuku?

    Habari za Majukumu wakuu.... Niko na shida na Kuku wangu wa kienyeji... Ni Siku ya pili kuku wangu hachangamki hata kula awezi kula vizuri Baada yakumchunguza nimekuja kugundua kinyesi chake si Cha kawaida .. nimejaribu kuambatanisha na picha hapo chini👇🏿👇🏿 Mwenye kujua ugonjwa na tiba ikiwa...
  7. BigBaba

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Ayam Cameni ni kuku Weusi mpaka nyama na kiini cha Yai?

    1. Hao kuku wanaitwa Ayam Cameni , Ni Weusi kwa kila kitu mpaka nyama na kiini cha Yai, 2. Waligunduliwa nchini Indonesia Karne ya 17 na bado hawapatikani nchi nyingi Hadi sasa 3. Nchini Marekani waliingia mwaka 1998 na Yai moja la kuku Hawa nchini marekani linauzwa dola $130 Karibia Shilingi...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tulienda 'Kuchakura' Mchanga kama 'Kuku' katika 'Majaba' ili tupate Zawadi za 'Mchogo Pesa' ya Clouds FM leo Kinesi Ubungo tujuane tafadhali

    Bado GENTAMYCINE naendelea kuzitibu Kucha zangu kwani nimezitesa katika Kuchakura Zawadi za Mchogo Pesa katika Majaba na nimeishia Kukosa na kuambulia Mchubuko mikononi kwani Michanga ilikuwa Mibichi na Imeshindiliwa Kunakotukuka. Ila Clouds FM na hii Bahati Nasibu yenu ya Mchogo Pesa leo...
  9. excel

    JamiiForums Tanzania Kuku wa Zenji...

    hapo wamemla na mayai yake akaona isiwe noma acha awaachie ujumbe
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Bunge lashangazwa na Ripoti kuwa Wafugaji wanatumia ARV kukuza na kunenepesha Kuku na Nguruwe

    Kamati ya Bunge ya VVU/UKIMWI ya Uganda imepokea taarifa hiyo kutoka Mamlaka ya Taifa ya Dawa Nchini humo ambayo imekiri kufahamu Dawa za Kurefusha Maisha na Kunenepesha zimekuwa zikitumika kwa Wanyama na haikuchukua hatua zozote. Mkaguzi Mwandamizi wa Dawa kutoka NDA, Amos Atumanya amesema...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mimi na wewe huenda tumeshakula sana Vibudu tukifikiri ni Kuku, Tuongeze umakini katika kuchagua na Kununua Kuku

    Inasikitisha sana, hapo zamani ilizoeleka vibudu vya kuku vilikuwa kwajili ya kulishia nguruwe ila sikuhizi mimi na / au wewe huenda tumelishwa sana tukidhani ni kuku tena tukijisifu ni bei rafiki kwa mtanzania. Ngoja niwasanue wananchi wenzangu Kwa case study tutachukuloa eneo la Bagamoyo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kibaka akiiba kuku, mnavisha tairi na kumchoma, Mtawala akiuza au kugawa maliasili za nchi kiholela, mnamtetea na kutaka aheshimiwe!

    Kibaka akiiba kuku wa jirani, unakuwa na uchungu sana na huyo kibaka hata kama kuku si wako. Ila Mtawala akigawa maliasili za nchi kwa wageni katika mazingira ya utatanishi, hutaki hata asemwe na akisemwe eti amekoswa adabu! Kibaka unaweza mtia kiberiti kwa hofu kesho anaweza kuiba na kuku...
  13. mhula

    JamiiForums Tanzania Masoko ya dagaa chakula cha kuku

    Natafuta masoko wanunuzi wa dagaa chakula cha kuku naulizia kama kuna anayehitaji hao dagaa tuwasiliane pia mnaweza kunisaidia na kampuni nyingine zenye uhitaji wa bidhaa hii Asanteni sana
  14. G

    JamiiForums Tanzania Dua la kuku halimpati mwewe, tuliowahi kudhulumiwa / kuonewa kwa kuwa wanyonge huku wadhalimu wanaendelea kutamba tuweke mikasa yetu hapa

    Hapa wenye nguvu wadhalimu wanajipa vyeo kama wenye mam1aka katika nyanja zote za maisha, uungu ukiwemo, huku metha1i nzima ikionesha matajiri au wenye nguvu za kifedha na kimamlaka katika jamii kama wenye kinga dhidi ya adhabu zozote duniani na ahera licha ya maovu wayatendayo. 1. Nakumbuka...
  15. thisisboman1

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Nmeanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara. VIJANA WENZANGU, Niwatoe hofu na kuwatia moyo ufugaji wa kuku wa kienyeji utakupa matokeo makubwa kupanda kiuchumi, kwa kuzingatia ufugaji wenye tija. Mimi nafuga mradi unajiendesha nimezingatia eneo la uwekezaji na namna Bora ya...
  16. malisak

    JamiiForums Tanzania Pishi la maini ya kuku

    Mahitaji Maini ya kuku 1/2 kilo Vitunguu vikubwa 2 Hoho 1 Pilipil 1 Limao 1/2 Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chai Curry powder 1/2 kijiko cha chai Mafuta ya kupikia Matayarisho Safisha maini weka pembeni. Baada ya hapo kaanga vitunguu,swaum na tangawizi pamoja (hakikisha vitunguu visiwe vya...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kutumia pig booster kwa kuku naombeni ushauri hapa

    Mimi ni mfugaji mwanafunzi kuna mdau anadai pig booster ikitumiwa kwa kuku,kuku huwa na maumbo mithili ya nguruwe! Mliowahitumia hiyo kitu kwa kuku,naomba mnielimishe,mlitumiaje na kwa kuku wa umri gani!!
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Programu ya Rais Samia yaungwa Mkono na wadau wa ufugaji kuku

    KAMPUNI ya Silverlands inayoshughulika na uzalishaji wa vifaranga na chakula cha kuku imesema inaanzisha mpango mahususi utakaoishirikiana na Programu ya BBT Mifugo kuunga mkono jitihada za Mheshimwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwawezesha vijana na akinamama katika sekta ya ufugaji ili kukuza...
  19. Burhani Khaled

    JamiiForums Tanzania Je Kuku aina ya Malawi huatamia na kuangua vifaranga?

    Habarini ya kazi. Naomba kufahamu kwa wanaojua, hivi kuku aina ya Malawi wale wanaopatikana sana Mbeya huatamia na kuangua mayai yao ama nao ni kama chotara wa kawaida wanataga tu pasipo kuatamia mayai?
  20. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Kuku wa Kienyeji wanauzwa

    Habari wafanyabiashara wa humu jukwaani. Moja kwa moja kwenye mada. Wanauzwa kuku wa Kienyeji wapo takriban 30, wenye afya njema kwabisa Ni wakubwa,wenye uzito na ujazo,utakaokuvutia wewe mnunuaji. Kuku hao wote wanauzwa kwa kila mmoja shilingi elfu kumi na sita tu...16,000/- Kuku Hawa Ni...
Back
Top Bottom