Nahitaji Kuku wa kienyeji pure wakubwa

BabuLeo

Member
Sep 12, 2018
29
13
Habari nina tafuta kuku wa kienyeji pure kwa ajli ya kufuga wale mbegu kubwa. Nipo Dar es salaam kwa alyenao tuwasiliane.
 
Njia nzur ni kuwatembekea wafugaji wewe mwenyewe. Pli wasiliana na madali wanaozunguka vijijini, wale wanajua wapi kuna mbegu unayoitaka.
Singida ndi mzalishaji mkuu wa kuku wakubwa wa asili. Hivyo wasiliana na wadau waliosingida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom