Naomba ushauri juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji

Jr Simeo

Member
Feb 22, 2024
5
5
Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani napaswa kuwa nao ili kuanza ufugaji wa kuku hawa.

Naomba kushauriwa na kuelekezwa kwa kina.
 
Kuna kanuni moja nakupa hii itumie kwenye njia jambo lolote unalowaza kulifanya katika mafanikio makubwa maishani.


Kanuni yenyewe ni ya lugha ya kingereza ila naamini utaelewa tu.

V-VISION(unatamani kuwa nani katika upande huo wa ufugaji au ni yepi maono yako katika huo ufugaji)
M-MISSION(majambo yepi yatakusaidia kufikia ndoto yako ya kuwa mfugaji huyo utakaye ji define huko juu)
O-OBJECTIVES (una malengo gani mkuu katika huo ufugaji )
S-STRATEGIES (hapa sasa tunaangalia mikakati ambayo inaweza kukusaidia kufikia ndoto na malengo yako katika ufugaji)
A-ACTION PLAN (mpango kazi maalumu kwa ajili ya kufikia malengo na ndoto zako)


Hapa mambo ambayo yanaweza kukuletea utata na bila shaka ni yale uliyo yaandikia thread kuomba msaada ni mawili nayo ni STRATEGIES NA ACTION PLAN na ili upate majibu ambayo yatakufaa basi tafuta majibu ya maswali matatu ya juu ya
  • VISION
  • MISSION
  • OBJECTIVES

MAANA KILA UNACHOKIFANYA KINATEGEMEA NA NDOTO PAMOJA NA MALENGO YAKO.
NA NGUVU ITAKAYOTUMIKA KUTEKELEZA HAYO INATEGEMEA NA NDOTO NA MALENGO YAKO.

GOODLUCK KATIKA KUJITAFUTA
 
Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani napaswa kuwa nao ili kuanza ufugaji wa kuku hawa.

Naomba kushauriwa na kuelekezwa kwa kina.
Tatizo lako bado hauna umakini Ili usaidiwe hitaji lako .
1. Ili unufaike inatakiwa uwape chakula kama supplement halafu unawaachia kingine wajitafutie wawe na uhuru wao hapa unaweza kuzuia eneo Fulani Kwa net Ili wasiende mbali
2. Kiwango Cha pesa na mahitaji mengine atuwezi kusema coz lazima ijulikane kuku ni wangapi .
Hivyo acha uvivu rudia upya kuandika mada yako vizuri Ili usaidiwe be specific
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom