kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji ni aibu kubwa kwa CCM.

    CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji, ni aibu kubwa sana kwa CCM Kwani haiwalipi watendaji wake hata Senti Tano ikiwa ni sehemu ya mshahara. Hii ni aibu kubwa , mwenyekiti wa CCM Taifa ili kukiboresha chama Anza na hilo. Chama kuendeshwa kwa njia hiyo ninkuzalisha Wala Rushwa na...
  2. JamiiForums Tanzania DAWASA kuweni wakweli kupasuka bomba kubwa la Maji Bagamoyo rd

    Jana usiku limepasuka bomba kubwa la maji linalolisha katikati ya Jiji la DSM. Katika taarifa ya habari ITV saa mbili, Mtendaji mkuu wa DAWASA amesema bomba hilo limepasuka kutokana na ujenzi unaoendelea, kitu ambacho si kweli. Wakati huo huo bomba kwingine limepasuka huko Mlimani . DAWASA...
  3. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu: Kutoa mimba ni kuua, tujihadhari na dhambi hii kubwa kuliko maelezo

    Huwa kuna kishawishi kuwa Mimba ni Kama kauvimbe tu, kwa hakika hata Kama ni mimba ya siku moja, kuitoa ni dhambi na wale wote wanaoshiriki kuitoa mf. Madaktari na Wauguzi waliofanikisha Mpango huo, Mume au boyfriend aliyesupport kwa namna yoyote, wote wana hatia mbele ya Muumba. Kila kiumbe...
  4. JamiiForums Tanzania Kazi kubwa ya Serikali ni kurudisha Imani ya Wananchi kwa Serikali yao

    Ilifikia wakati Wananchi akiwemo mimi nilianza kupoteza imani kwa Viongozi wa Serikali kutokana na kutofautiana sana kati ya kauli na matendo yao, na kati ya mambo yalivyo na yanavyotakiwa kuwa. Mfano: 1. Wafanyakazi wanaambiwa warudi nchini lakini wanaporudi wanafikia TAKUKURU na mahabusu. 2...
  5. JamiiForums Tanzania Mama zetu wana thamani kubwa kwenye maisha yetu

  6. JamiiForums Tanzania Gazeti la Majira ongezeni umakini. Ni Samia na sio samia. Jina la Rais lianze kwa herufi kubwa

    Muda mwingine wahariri wanajitafutia matatizo na kulazimika kuomba radhi. Waheshimu sana utambulisha wa mtu, nchi au Taasisi. Naomba kuwasilisha
  7. JamiiForums Tanzania Nimenunua friza kubwa ya homebase tsh laki 8 je nimelenga au famba?

    Naomba anaejua ubora wa deepfriza anisaidie kuchambua ubora wa huyu mnyama homebase warant 2yrs price laki 8
  8. JamiiForums Tanzania Profesa Ana Tibaijuka amestaafu siasa? Simuoni kwenye Wizara yoyote kubwa, ni mahiri wa Uchumi

    Huyu mama nilimuheshimu na kuanza kumfuatilia rasmi mwaka 2011. Ilikuwa ni kongamano la Kigoda cha Mwalimu pale UDSM kama sijakosea. Siku hiyo alikuwepo pia Prof. Lipumba ambaye watanzania wengi tulikaririshwa zamani kwamba mchumi hodari Tanzania. Bana wee, hiyo siku ndo nilimtambua huyu mama...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ni bora kutumia njia nyepesi kupambana na corona kabla hatari kuwa kubwa na kulazimika kutumia njia ngumu

    Janga la COVID-19 limesababisha vifo vyamaelfu kwa mamilioni ya watu nchini China naduniani kwa ujumla, na hadi sasa ugonjwa huubado unaendelea kusomba maisha ya watu katikanchi mbalimbali ambapo serikali zimeghumiwana kutojua la kufanya kutokana na kuzidiwa amakushindwa kuudhibiti kwa urahisi...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira Tanzania sio kubwa ila wanohusika na wizara ndio wanalifanya lionekane kubwa

    Habari wadau! Nimewaza sana baada ya kutangazwa zile ajira elfu tisa na za walimu na kada ya afya huku waliotuma maombi ni zaidi ya 80,000 inatia kinyaa sana kuona ajira elfu tisa tu zinajadiliwa mpaka bungeni. Nilikuwa na mapendekezo kwamba ili tatizo la ajira linachagizwa na mambo mengi...
  11. JamiiForums Tanzania Napenda kuishi sehemu yenye mji mdogo ila sio jiji kubwa au bush

    Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi. Napenda kuishi miji midogo ama kama ni jiji basi iwe miji midogo nje ya jiji, Napenda sehem iwe nimezungukwa na mimea zaidi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wizara kuweka gharama za kulipia nguzo 1,2,3 = Tsh 27000/= linaleta kero kubwa, TANESCO hawana uwezo wa kufidia punguzo hilo

    Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi. Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi ya Ushelisheli (Seychelles) yakumbwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa covid-19 pamoja na kuchanja asilimia 60 ya raia wake

    63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi mbili (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona. Zaidi soma hapa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

    Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi. Mengine tutakujulisha ukishafika. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
  15. JamiiForums Tanzania Tunapotaka kutumia nguvu kubwa Kupindua Meza kwa Kaizer Chiefs FC je, tunaoenda kukutana nao Semi Finals tutawaweza?

    Najua kuanzia sasa nguvu Kubwa ya Kupindua Meza (kwa Fitna za nje ya Uwanja) zitaanza Kutumika ili Kuwafunga Kaizer Chiefs FC Wikiendi ijayo huku tukidanganywa sana kuhusu uwezo wa Timu yetu na Kuaminishwa mno na Kauli Mbiu za Kibabe za Kuujaza Uwanja ili Mapato yapatikane wakati wenye Kuujua...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake hasa wa miaka hii ya utandawazi wakifanikiwa kama wapo kwenye uchumba au ndoa lazima iteteleke (asilimia kubwa sio wote)ipo

    Habari zenu wandugu.. Nimependa nilete hii mada. Hivi ni kwanini wanawake wanashindwa kumudu mafanikio hasa wa miaka hii ya utandawazi. Mfano wa kweli kuna watu wengi nawafahamu wanawake zao baada ya kufanikiwa wakavunja mahusiano.. Pia hata Mimi ishawahi nitokea kuna binti nilikuwa nae...
  17. JamiiForums Tanzania Hongera Mtaka: Ni heshima kubwa kwako kuwa Mkuu wa Mkoa Dodoma

    Ndugu Anthony Mtaka, Dhamana ya kupelekwa Dodoma ni kubwa sana kuliko kama ungepelekwa Dar. Umepelekwa Makao Makuu Rais ameonesha Imani kwako na uwezo wako kuwa juu ya siasa. Nakutakia Kila la kheri kujenga Makao Makuu.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kwa DPP ni pigo kubwa kwa Nusrat Henje na akina Halima Mdee

    Ulinzi wa ubunge wa akina Halima James Mdee na wenzake ulisimama katika mafiga matatu ya "kimkakati" yaani Spika, AG na DPP tena kikujuana zaidi. Figa moja binafsi limetenguliwa lakini litaletwa figa lingine kiofisi zaidi. Siku zote utatu mtakavitu ukitibuliwa kinachofuatia ni majanga...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa. ======== Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
  20. JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

    KITENDO cha kuahirishwa kwa pambano la Simba na Yanga lililokuwa lichezwe jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kumewafanya wadau wa soka kucharuka na kudai ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania, kwa mechi kuahirishwa kienyeji kwa sababu za kisiasa, huku wengine wakisema kuna kitu nyuma ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…