kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mromboo

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Majira ongezeni umakini. Ni Samia na sio samia. Jina la Rais lianze kwa herufi kubwa

    Muda mwingine wahariri wanajitafutia matatizo na kulazimika kuomba radhi. Waheshimu sana utambulisha wa mtu, nchi au Taasisi. Naomba kuwasilisha
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nimenunua friza kubwa ya homebase tsh laki 8 je nimelenga au famba?

    Naomba anaejua ubora wa deepfriza anisaidie kuchambua ubora wa huyu mnyama homebase warant 2yrs price laki 8
  3. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Profesa Ana Tibaijuka amestaafu siasa? Simuoni kwenye Wizara yoyote kubwa, ni mahiri wa Uchumi

    Huyu mama nilimuheshimu na kuanza kumfuatilia rasmi mwaka 2011. Ilikuwa ni kongamano la Kigoda cha Mwalimu pale UDSM kama sijakosea. Siku hiyo alikuwepo pia Prof. Lipumba ambaye watanzania wengi tulikaririshwa zamani kwamba mchumi hodari Tanzania. Bana wee, hiyo siku ndo nilimtambua huyu mama...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ni bora kutumia njia nyepesi kupambana na corona kabla hatari kuwa kubwa na kulazimika kutumia njia ngumu

    Janga la COVID-19 limesababisha vifo vyamaelfu kwa mamilioni ya watu nchini China naduniani kwa ujumla, na hadi sasa ugonjwa huubado unaendelea kusomba maisha ya watu katikanchi mbalimbali ambapo serikali zimeghumiwana kutojua la kufanya kutokana na kuzidiwa amakushindwa kuudhibiti kwa urahisi...
  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira Tanzania sio kubwa ila wanohusika na wizara ndio wanalifanya lionekane kubwa

    Habari wadau! Nimewaza sana baada ya kutangazwa zile ajira elfu tisa na za walimu na kada ya afya huku waliotuma maombi ni zaidi ya 80,000 inatia kinyaa sana kuona ajira elfu tisa tu zinajadiliwa mpaka bungeni. Nilikuwa na mapendekezo kwamba ili tatizo la ajira linachagizwa na mambo mengi...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Napenda kuishi sehemu yenye mji mdogo ila sio jiji kubwa au bush

    Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi. Napenda kuishi miji midogo ama kama ni jiji basi iwe miji midogo nje ya jiji, Napenda sehem iwe nimezungukwa na mimea zaidi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wizara kuweka gharama za kulipia nguzo 1,2,3 = Tsh 27000/= linaleta kero kubwa, TANESCO hawana uwezo wa kufidia punguzo hilo

    Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi. Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na...
  8. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Ushelisheli (Seychelles) yakumbwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa covid-19 pamoja na kuchanja asilimia 60 ya raia wake

    63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi mbili (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona. Zaidi soma hapa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

    Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi. Mengine tutakujulisha ukishafika. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunapotaka kutumia nguvu kubwa Kupindua Meza kwa Kaizer Chiefs FC je, tunaoenda kukutana nao Semi Finals tutawaweza?

    Najua kuanzia sasa nguvu Kubwa ya Kupindua Meza (kwa Fitna za nje ya Uwanja) zitaanza Kutumika ili Kuwafunga Kaizer Chiefs FC Wikiendi ijayo huku tukidanganywa sana kuhusu uwezo wa Timu yetu na Kuaminishwa mno na Kauli Mbiu za Kibabe za Kuujaza Uwanja ili Mapato yapatikane wakati wenye Kuujua...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake hasa wa miaka hii ya utandawazi wakifanikiwa kama wapo kwenye uchumba au ndoa lazima iteteleke (asilimia kubwa sio wote)ipo

    Habari zenu wandugu.. Nimependa nilete hii mada. Hivi ni kwanini wanawake wanashindwa kumudu mafanikio hasa wa miaka hii ya utandawazi. Mfano wa kweli kuna watu wengi nawafahamu wanawake zao baada ya kufanikiwa wakavunja mahusiano.. Pia hata Mimi ishawahi nitokea kuna binti nilikuwa nae...
  12. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Hongera Mtaka: Ni heshima kubwa kwako kuwa Mkuu wa Mkoa Dodoma

    Ndugu Anthony Mtaka, Dhamana ya kupelekwa Dodoma ni kubwa sana kuliko kama ungepelekwa Dar. Umepelekwa Makao Makuu Rais ameonesha Imani kwako na uwezo wako kuwa juu ya siasa. Nakutakia Kila la kheri kujenga Makao Makuu.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kwa DPP ni pigo kubwa kwa Nusrat Henje na akina Halima Mdee

    Ulinzi wa ubunge wa akina Halima James Mdee na wenzake ulisimama katika mafiga matatu ya "kimkakati" yaani Spika, AG na DPP tena kikujuana zaidi. Figa moja binafsi limetenguliwa lakini litaletwa figa lingine kiofisi zaidi. Siku zote utatu mtakavitu ukitibuliwa kinachofuatia ni majanga...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa. ======== Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

    KITENDO cha kuahirishwa kwa pambano la Simba na Yanga lililokuwa lichezwe jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kumewafanya wadau wa soka kucharuka na kudai ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania, kwa mechi kuahirishwa kienyeji kwa sababu za kisiasa, huku wengine wakisema kuna kitu nyuma ya...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ili kutumia vyema rasilimali za taifa letu ilipaswa ijengwe Hospitali kubwa Mkuranga kumuenzi Mzee Ally Hassan Mwinyi

    Nimeshangazwa sana na uamuzi wa kumzawadia mzee Ally Mwinyi gari aina ya Mercedes lenye thamani ya mil 450. Kwani kwa umri wake huyu mzee anahitaji gari kama hilo la nini? Kama magari aliyashayatumia sana tena ya kila namna. Kwanini ili kuenzi utumishi wake uliotukuka usingejengwa hospitali...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa aliwahi kusema "akili ndogo inaongoza akili kubwa" - siasa hizi bhana

    Wale wabunge wanaojinasibu kuwa ni vichwa lakini ni darasa la saba tu sio tu hao Mchungaji Msiwa aliwasema. Bali hata viongozi wengine ambao hawatumii kabisa akili zao na kuelimika kwao (darasani) kufanya mambo ya kama hawajaelimika kabisa. Hawa watu ni dizaini ya Ndugai - yaani wanawategemea...
  18. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Serikali zinaonyesha 6% tu ya Watanzania ndio wanaolipa kodi

    Takwimu za serikali zinaonyesha Watanzania sasa wako ama wanakafiriwa kuwa Milioni 60. Kwenye takwimu hizo, wazee ni Milioni 2 na ushee ila hawajafika Milioni 3. Wazee wa kuanzia umri wa miaka 61. Maximum ni Milioni 3. Kwenye hizo takwimu ina maana nguvu kazi ni watu Milioni 57, yaani ambao...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

    Idadi ya wiaslamu wako kwenye vyuo vikuu, ofisi za umma na sehemu zote za utumishi ni ndogo sana kulinganisha na watu wa dini nyingine. Bila shaka pamoja na mambo mengine ya kihistoria, imani, ukabila, ukanda na kiuchumi lakini idadi ndogo ya watoto wa kiislamu kwenye vyuo vikuu ukilinganisha...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Hayati Magufuli na Rais Samia

    1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake 2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani 3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia...
Back
Top Bottom