Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Nachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine.

Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha?

Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni ningewezaje kwenda shule km. 5 kila siku nakurudi wakati sijui nitakula nini? na wazazi wanataka niwasaidie kazi za shamba kufidishia pesa nilizowagharimu kunisomesha?

Sawa, mmeangalia wale wenye miaka mingi, mbona mmemwajiri mwenyekiti wa UV CCM, katibu na Mhazini waliomaliza vyuo mwaka 2019 udsm na matawi yake yote? Na wakati tunajua wengine walikuwa na carry over karibia miaka yote?

Sawa, tuachane na kada ya ualimu. Mbona JKT mpwa wa general X mmempangia ajira JW na wakati hakuwa na sifa. Maana hakujenga ukuta wala nini. Na amewaacha Ma-service man aliyowakuta? Hii ndio Tanzania ya wanyonge?

Haki ya nani siwashitaki popote pale...lazima nichukue hatua mwenyewe na Mungu wangu.
 
Hiloo swalaa vjn weng leo wame data mkuu kunaa mkoa hakunaa aliyepata ajiraa masomo aina zote ...huu nao ulikuwaa n upumbafu ingawa ilikuwaa waz makada ilikuwaa kipau mbelee
 
Maskini bavicha upo upo tu

Mwisho wa utawala huu wa kishetani umekaribia.
Hiloo swalaa vjn weng leo wame data mkuu kunaa mkoa hakunaa aliyepata ajiraa masomo aina zote ...huu nao ulikuwaa n upumbafu ingawa ilikuwaa waz makada ilikuwaa kipau mbelee
 
Asante ila naomba utoe hyo avatar mkuu utakufa kabla ya siku zako. Kizazi chako kitalaaniwa.
 
Ndugu yangu, nchi hii kama unajijua ni mtu wa shida na huna connection jiunge UVCCM utatoka. I'm talking from experience.

Msituige sisi humu waropokaji na kupondea seikali. Sisi tulianza kujitegemea enzi za Kikwete.

Shauri zenu.
 
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom