Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,501
- 9,279
Taarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.