kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Klabu sita zaingia katika vita kubwa ya kutaka kumsajili Aguero

    Everton imejiunga na Chelsea, Leeds United, Tottenham, Barcelona na Inter Milan ambao wanataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero, ambaye atapatikana kwa uhamisho huru atakapoondoka Manchester City msimu wa joto. (Daily Star on Sunday). Mshambuliaji wa Misri Mohamed Salah...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Joseph Mbilinyi Mbunge uliyeiletea heshima kubwa Mbeya , Mungu akupe Maisha Marefu

    Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia . Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    Bob Nyanga Makani ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA, ni Msukuma, Mwislamu kutoka Kutoka Shinyanga na katibu mkuu wa Kwanza wa CHADEMA. Katibu mkuu ndiye mwenye siri zote Chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk. Nimejifunza mambo yafuatayo. Mosi, Kama...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari kubwa wa kuuendeleza Umagufulism bila ya Magufuli

    Tulitazamia mabadiliko makubwa kabisa wa mfumo wa kiongozi na namna ya kuendesha Serikali katika awamu hii ya sita lakini mambo yameenda visivyo kabisa kwani kuna mabadiliko machache sana yaliyotokea hadi hivi sasa lakini karibu asilimia85% ya nchi yetu mfumo unaotumika ni mfumo wa serikali...
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona hii ndiyo faida kubwa ambayo Tanganyika inapata kupitia Muungano

    Faida ya kupata sehemu ya bahari, yaani exclusive economic zone(EEZ). Kisheria mile 200 kutoka pwani ya nchi ni eneo la kiuchumi la nchi husika. Hapo inamaana kilomita kama 320 kutoka pwani ya Tanzania bara kuingia bahari ya Hindi ni eneo letu la kiuchumi. Mafuta na uvuvi wa eneo hilo ni wetu...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huenda Mwenyezi Mungu sasa katuchoka Wanaume na ameamua kuwainua Wanawake katika nyadhifa kubwa za kiuongozi Duniani ili tujifunze kwao

    Huko Marekani kwa mara ya Kwanza katika Historia yao Makamu wa Rais wa sasa ni Mwanamke Kamala Harris. Nchini Tanzania kwa sasa na haikuwahi kutokea Rais wa nchi ni Mwanamke Mama Samia Hassan. Huko nchini Kenya pia katika Historia yao kwa mara ya Kwanza leo imempata Jaji Mkuu Mwanamke Martha...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada: Nachelewa kupata hisia katika mambo mbalimbali

    Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu. 1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga...
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CORONA toka India, tuchukue tahadhari kubwa!

    Kumbumbu zangu zinasema CORONA iliingia kwa nguvu toka India mwaka jana, baada ya kuwepo tamasha la Diwali lililoalika watu toka India kwa wingi. Tanzania na India tuna mahusiano makubwa ya kibiashara na watu wengi huja na wengine kwenda India. Sasa hivi gonjwa la covid linatesa huko India...
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kuna Mvua kubwa sana Arusha. Mikoa mingine hali ipoje?

    Kuna mvua Kubwa sana inanyesha hapa usiku huu Nipo ndani lakini nahisi ni ya mawe, Hata usingizi hauji kutokana na hofu. Mvua ni kubwa kwa kweli kama itakuwa na madhara kesho tutapata taarifa rasmi.
  10. The Boss

    JamiiForums Tanzania Upinzani bila kubadili siasa mtapata hasara kubwa Kwa Samia..

    Hakuna kitu kinaamua siasa kama 'wakati'.. Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo ... Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli...na uongozi wake kiujumla.. Kubanwa Uhuru wa kuongea Kufokewa na kukaripiwa Kutoa matamko Kwa ukali...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Picha Kubwa: Mbunge Dkt.Ali Bashiru akifuatilia hotuba ya Rais Samia

    Bashiru Ali akifuatilia hotuba ya mheshimiwa Rais. Mbunge huyu wa viti maalumu kabla ya kuteuliwa amewahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwemo Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM. My Take 1. Demotion isikie tu kwa mwenzio 2. Malipo ni hapa hapa duniani
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa kati ya Mbowe na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps. Mfano: Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli...
  13. Pablo Blanco

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanga ni nomaaaaa!!!! Nimenyosha mikono

    Bwana eeee nipo na mwanamke wa Tanga hapa,mwanamke ananipikia,ananiogesha,ananitawaza nikienda chooni,ananifulia mpaka boxer,mwanamke ananitiii na kuniheshimu sijawahi ona, mwanamke anajishushaaa na ananiheshimu Mimi kama baba yake,mwanamke hajawahi kunipandishia sauti,mwanamke ananilisha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hili la 'Rais' kulihutubia Bunge tukiamini ni tukio 'Kubwa' halafu kuna Wabunge wanaanzisha Nyimbo na Pambio Kusifu nalo pia ni la Kikatiba?

    Leo nimekesha Kufanya Utafiti (Kuchunguza) ni nchi gani nyingine duniani ambayo Rais akiwa 'analihutubia' Bunge Waheshimiwa Wabunge katikati ya Hotuba yake 'humkatisha' kwa Kuanza kuruka 'Sarakasi' Vitini mwao, kuimba Nyimbo na Pambio za Kusifu na Kupongeza. Je, hili la Wabunge 'Kuingilia'...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sebastian Kapufi: Idadi ya watu sio tatizo, tatizo linaanza ukiwa na idadi kubwa ya watu ambao ni tegemezi

    Idadi ya watu sio tatizo, tatizo linaanza ukiwa na idadi kubwa ya watu ambao ni tegemezi na idadi ndogo ya wazalishaji . Tutaishia kutamani kujenga madarasa mengi, kuongeza madawati lakini kwa kupitia idadi ya watu ndipo tunaweza kupanga mambo mengine" Mbunge Sebastian Kapufi.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nasikia eti mnazitamani tena BUREAU DE CHANGE mmesahau pigo la APRIL 30,2015?

    Anguko kubwa la thamani ya sh ya tanzania lilishuhudiwa mwaka 2015 april, ambapo kwa muda wa mwezi mmoja thamani ya shilingi ya Tanzania ilipolomaka toka sh 1650 kwa dola moja hadi sh 2010 kwa dola moja, hili lilikuwa ni anguko la asilimia 21% ndani ya mwezi mmoja. Hints: Tukio hili lilitokea...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania ATCL shusheni bei ili mtengeneze soko kubwa la ndani, kwa namna hii mtapata faida. Kumbukeni the higher the price...

    Ni suala la kitalaamu kiuchumi ambalo lipo katika maisha ya kila siku. Kwamba bei ikiwa ndogo uwezo wa kulipia huduma huwa mkubwa na kuongeza soko. Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na kuweza kupata wateja wengi ni vyema Atcl wakashusha bei kama ilivyokuwa kwa Fastjet. Mfano kama...
  18. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho. Tofauti ya mteja wa TANESCO na...
  19. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Ibrah na Baba Levo busara ni kukaa kimya

    Moja kati ya principle yangu ya Maisha ni kutoingilia ugomvi kati ya mtu na mtu..Kama ugomvi haunihusu, huwa nakaa neutral kabisaa maana unaweza kujitoa muhanga halafu kesho ukaumbuka. 1. IBRAH Sijui kama aliwaza mara mbili kabla ya kufanya alichofanya sijui kama alijaribu kuifikiria nafasi...
Back
Top Bottom