CHADEMA pamoja na kushindwa uchaguzi bado mna deni kubwa wa watanzania

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Najua fika kuwa mlitegemea hili anguko ila mlifanya siasa kwa mazoea kwa kudhania kuwa Tanzania ya 1995- 2015 bado ni ile ile.

Hapana kabisa Tanzania ya leo sio kama hiyo mliodhania na kufikiria, sio Tanzania ambayo inahitaji wanaharakati au wanasiasa wajanja wajanja kama mlivyokuwa mmezoea.Ambao wao hutumia matukio au majanga kujinufaisha.

Tanzania ya leo imebadilika sana,haitaki harakati za kisiasa bali inahitaji maendeleo na panapotokea janga kubwa kama Covid 19 watanzania wanahitaji umoja wa kitaifa ili kukabiliana na janga kama hili

Tanzania ya leo haihitaji mwanasiasa ambaye likitokea janga basi anataka apate manufaa ya kisiasa. Mfano lilipotokea janga la Covid -19, watanzania walimshuhudia Mbowe akisema mbele ya kituo cha luninga cha Aljazeera kuwa zaidi ya watu 30-40 walikuwa wanakufa kila siku Dar es laam peke yake. Hili ni jambo baya sana. Hata kama kuna watu walikuwa wanafariki lakini si kwa idadi kama hii,maana mitaani uswahilini ingekuwa kila mtaa ni msiba.

Kwa ujumla siasa za harakati,kupinga maendeleo ambayo yananufaisha watanzania wote na kutaka kutumia majanga makubwa kupata nguvu ya kisiasa imeigharimu Chadema ya Mbowe. Na hili limefanya wananchi waidhibu kwa kura.

Chadema imeanguka kifo cha mende na ili iweze kunyanyuka lazima ibinuliwe na wananchi maana haiwezi kunyanyuka. Hivyo mnatakiwa kuomba msamaha kwa wananchi hasa mlivyowakosea wakati wa janga la Covid-19. Pia kuomba msamaha kwa kuendesha siasa za kiharakati bila kusoma alama za nyakati.
 
Huu muda tutaona post nyingi za kujipendekeza maana teuzi ndyo zinaanza ivyo.

Weka na no ya simu, location. Ikiwezekana na CV kabisa.
 
Huu muda tutaona post nyingi za kujipendekeza maana teuzi ndyo zinaanza ivyo.

Weka na no ya simu, location. Ikiwezekana na CV kabisa.
Mkuu hoja hapa ni Chadema kuomba msamaha ili kama ikajaliwa kirudi kwenye game. Mambo ya uteuzi yanahusika vipi? Ndio maana mnafeli sana.
 
Nilishasema hadi MACHANGU WAMEINGIA KWENYE SIASA.

MLISEMA CHADEMA IMEKUFA 2015-2020 NI MAZIKO.
Changu hulali kutwa kuiwaza CHADEMA INAONYESHA UNA AKILI FUPI SANA YAANI PIMBI KWELI.

1. JADILI ilani ya CCM jadili jinsi gani CCM INAPAPASWA KUTULETEA MAENDELEO BAADA YA KUIBA KURA KWA KISHINDO.

2. Jadili JINSI GANI TUNAWEZA KUWA TAIFABKUBWA ULIMWENGUNI.

3. Jadili JINSI CCM imeshindwa kupambana na
Umasikini.
Ujinga
Maeadhi.
Utuletee NA SULUHISHO LA HAYA MATATIZO.

# USIPOKAA VIZURI UTAOLEWA NA CHADEMA.
 
Nyie ndio mmeua chadema

Na ndio maana hamna wabunge, ujinga huu hauvumiliki
 
Nyie ndio mmeua chadema

Na ndio maana hamna wabunge, ujinga huu hauvumiliki
Jimbo nililopigia kura mgombea wa Chadema alimpita wa CCM kwa kura 24k+. Ila matokeo yakatangazwa kwa shinikizo la mkuu wa mkoa kuwa lazima CCM atangazwe mshindi. Akaibiwa cheti cha ushindi akabebwa na gari la polisi akawahishwa kwake. Broo naomba utulie kidogo
 
Nilishasema hadi MACHANGU WAMEINGIA KWENYE SIASA.

MLISEMA CHADEMA IMEKUFA 2015-2020 NI MAZIKO.
Changu hulali kutwa kuiwaza CHADEMA INAONYESHA UNA AKILI FUPI SANA YAANI PIMBI KWELI.

1. JADILI ilani ya CCM jadili jinsi gani CCM INAPAPASWA KUTULETEA MAENDELEO BAADA YA KUIBA KURA KWA KISHINDO.

2. Jadili JINSI GANI TUNAWEZA KUWA TAIFABKUBWA ULIMWENGUNI.

3. Jadili JINSI CCM imeshindwa kupambana na
Umasikini.
Ujinga
Maeadhi.
Utuletee NA SULUHISHO LA HAYA MATATIZO.

# USIPOKAA VIZURI UTAOLEWA NA CHADEMA.
Ilani ya Ccm ilivyotekelezwa na itavyotekelezwa wewe hujui? Au unajifanya mjinga.

Ccm haijaondoa umaskini hii Tanzania ilikuwa hivi miaka 30 iliyopita. Kwani kuomba msamaha kwa kuu Cdm na kufanya siasa mbaya ni kosa?
 
Jimbo nililopigia kura mgombea wa Chadema alimpita wa CCM kwa kura 24k+. Ila matokeo yakatangazwa kwa shinikizo la mkuu wa mkoa kuwa lazima CCM atangazwe mshindi. Akaibiwa cheti cha ushindi akabebwa na gari la polisi akawahishwa kwake. Broo naomba utulie kidogo
Acha uongo wewe,una ushahidi na hili?
 
Huu muda tutaona post nyingi za kujipendekeza maana teuzi ndyo zinaanza ivyo.

Weka na no ya simu, location. Ikiwezekana na CV kabisa.
Hayo mlishasema sana mnadhni ninyi ndo mna haki ya kusema humu.
Yeye anatafuta uteuzi ila wewe unatafuta nini uki post humu?
 
Huna hata aibu?
Tumekubali tumeshindwa tunawatakia kazi njema
123139606_1937247779750037_7815250773281565250_n.jpg
 
Chadema Imechokwa na wananchi, chama kina miaka 28 sasa kila mwezi kinachukua ruzuku ya 332milioni kilikuwa na waniunge 71 ukitoa mwenyekiti baki wabunge 70 kila mmoja 1 million kwa mwezi = 700,00 + 332,000,000 = 402,000,000. Kila mwezi lakini mpaka leo hakina jengo binafsi bado kimepanga ufipa, wakati nyumbani hata 100,000,000 unapata kinondoni, kazi kujaza matumbo yao na kuhonga kina Wema tu.
 
Nilishasema hadi MACHANGU WAMEINGIA KWENYE SIASA.

MLISEMA CHADEMA IMEKUFA 2015-2020 NI MAZIKO.
Changu hulali kutwa kuiwaza CHADEMA INAONYESHA UNA AKILI FUPI SANA YAANI PIMBI KWELI.

1. JADILI ilani ya CCM jadili jinsi gani CCM INAPAPASWA KUTULETEA MAENDELEO BAADA YA KUIBA KURA KWA KISHINDO.

2. Jadili JINSI GANI TUNAWEZA KUWA TAIFABKUBWA ULIMWENGUNI.

3. Jadili JINSI CCM imeshindwa kupambana na
Umasikini.
Ujinga
Maeadhi.
Utuletee NA SULUHISHO LA HAYA MATATIZO.

# USIPOKAA VIZURI UTAOLEWA NA CHADEMA.
Asante kwa kumpa makavu huyo.
 
Wewe ndiye usiye na aibu kwa kutetea wizi mchana kweupe.

Utasikia mkisema eti; "Tumeyazibiti majizi ya mali za umma". Kumbe majizi ya ulaghai ya kura za umma ni nyie.🤣
Mlijua mtashindwa mkaanza kutenengeza mazingira ya kuonyesha mtaibiwa.
 
Mlijua mtashindwa mkaanza kutenengeza mazingira ya kuonyesha mtaibiwa.

Nyie mljua mtashindwa mkaanza mapema kuandaa kura feki za kutosha na kutumia vyombo vya dola kufanikisha uovu wenu.

Mungu anaona, A people's voice is God's.
 
Bado wanajifariji tu, Nyerere alisema hata kama 20% ndo wanataka vyama vingi acha tuwape, ila tuvyama twao tutajifia taratibu! Kamanda wa anga, mzee wa kubadili gia angani, mwamba ndo chali kabisa, kifo cha mende, ndembendembe
 
Back
Top Bottom