kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Keynez

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania, mna deni kubwa kwa Lissu

    Kwa tathmini yangu, kama kuna kundi ambalo future yao imeharibiwa sana na sera, maamuzi na mienendo ya serikali ya Magufuli, basi kundi hilo ni la vijana. Kwanza, tukianzia kwenye sheria kandamizi zinazotingwa kila siku ambazo zinafunga mianya hata ile midogo iliyokuwa imebaki ya vijana kuweza...
  2. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AKili kubwa - Kenyan made military drone

  3. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili Kubwa - a kenyan made assault rifle - CMZ-4

    Nawapeleka moja kwa moja hadi nchini Kenya, Hii bunduki imetengenezewa hapa Kenya, na Wakenya... jina yake rasmi - CMZ-4... maridadi kabisa , tazama wee..
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ya Kocha Mpya Hersi na Dr. Mshindo Msola wataka kuzichapa. Fukuto ni kubwa sana

    Chanzo kinasema kumekuwa na maneno ya chini chini hasa Dr. Mshindo Msolla akiona kama Hersi anajipigia Kampeni aje agombee nafasi ya Uenyekiti. Hivyo amekuwa kimbelembele sana kwenye mambo yanayohusu Yanga hata kama si ya Ngazi yake. Ugomvi wao ulianzia kwenye hii picha kila mmoja akitaka...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

    Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake. Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania 40% ya watu duniani hawana vifaa vya kunawia mikono

    Ingawa kunawa mikono kwa sabuni ni muhimu katika mapambano dhidi ya magonjwa ya kuambukiza ikiwemo COVID-19, mamilioni ya watu duniani hawana mahali pa kunawia mikono, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF katika siku ya kimataifa ya kunawa mikono hii leo. Kelly Ann...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Gwajima asiposhinda uchaguzi huu astaafu siasa, amefanyiwa kampeni kubwa sana na Dr Magufuli

    Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe. Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kuacha kuongeza mshahara ni kosa kubwa

    Jamii huwa inapata fedha zao kwenye mzunguko kupitia wenzao wenye ajira, kwakuwa wao hawana njia yoyote ya kupata hela kutoka hazina moja kwa moja. Serikali inatoa fedha hazina kuwalipa watumishi, makandarasi na watoa huduma. Baada ya makundi haya kulipwa ndio wanazipeleka hela hizo kwa wananchi...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Taifa kubwa Marekani linapohubiri unafiki ni aibu. Msitupangie cha kufanya

    Nimeona heading ya salamu kutoka ubalozi wa marekani Tanzania eti maendeleo siyo ya vitu bali ya watu. Kwanza ni waulize.je ni kazi yenu kujiendesha kapeni ya urais katika nchi mnayowakirisha? Pili tangia lini mnatupangia cha kufanya? Mlipowateka babu zetu mkawapeleka kwenu mliyushirikisha...
  10. S

    JamiiForums Tanzania North Korea yaonesha 'MONSTER' ICBM, Kombora kubwa mnoo la kinyuklia, katika military parade

    Picha ya kombora jipya kuuubwa la kinyuklia (ICBM) la North Korea (Picha kwa msaada wa AP) Baada ya kimya kirefu, yule mtemi wa mtemi wa dunia Kim Jong-Un amekuja na kitu kipya. Naam ni kombora kubwa mnooo la kinyuklia la masafa marefu (ICBM) ambalo wachambuzi wa mambo wanasema ni ktk makombora...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kulikuwa na Umuhimu gani kuwa na Tamasha Kubwa la Kisiasa katika Uwanja muhimu wa Mpira ambao tarehe 11 Oktoba utatumika Kimataifa?

    Halafu tukiwa 'tunawakosoeni' mnatuona Sisi ni Wanafiki au Rangi Mbili au tuna Chuki nanyi au tunatumika na Mabeberu. Na Mimi wala sitochoka kuwaambieni ukweli na bahati nzuri Mimi ninayewasema ni Mwenzenu 'Kiitikadi' tena kwa 100% na hili wala silifichi au sioni 'haya' kulisema ( kuliweka wazi...
  12. share

    JamiiForums Tanzania GE2020 TBC, sasa tumewachoka kwelikweli, mnachochea hasira kubwa msiyoweza kuizima

    Matangazo ya TBC hususani kampeni za Uchaguzi Mkuu ni utopolo mtupu uliokosa weledi na busara za kiutangazaji kama chombo cha umma kinachogharamiwa na kodi za wananchi wote. Tumevumilia sana, sasa tumechoka. Ni ujinga, hata kama mnalazimishwa, kuitangaza CCM pekee na Wagombea wake kuanzia...
  13. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuna jambo kubwa nyuma ya pazia ambalo uongozi wa juu wa Serikali, CCM na CHADEMA wanajua, wananchi hatulijui

    Ni wazi mchezo wa siasa wa uchaguzi wa mwaka huu upo tofauti kabisa toka kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi!. Wameunguliwa zaidi ya wabunge 50 wa upinzani ambapo hajawahi kutokea, uongozi wa Tume Juu mpaka wa chini wote wanatenda kazi kwa niaba ya Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Tume ambao wote ni...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

    Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee bado hajamsahau Jux, anatumia nguvu kubwa kumtumia mpenzi wake mpya kwa lengo la kujaribu kumpa wivu Jux

    Wazoefu wa mapenzi tunaona kabisa Vanessa Mdee bado yupo na ile michezo ya sekondari pale ambapo tulivyowapiga chini madem zetu walikuwa wanaanza michezo ile ya kujaribu kupata attention zetu kwa kutumia nguvu kubwa sana kujichoresha mbele ya wapenzi wao wapya. Na kwa kutumia instagram mbinu...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam, kazi Inaendelea kwa kasi kubwa

    Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu Huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna tofauti kubwa ya gharama za usafiri kwa kampuni za Uber na Bolt? Je, mamlaka za usimamizi zinachukua hatua gani?

    Wadau nimeshangazwa sana na tofauti kubwa ya gharama za kutumia usafiri unaotolewa na Kampuni mbalimbali kwa utaratibu wa Kisasa Kwa mfano kutoka Upanga hadi Tegeta Kwa Ndevu kwa kutumia usafiri wa aina moja lakini kampuni tofauti , Tofauti ya gharama ni Tsh 6,000! Wazoefu wa masuala ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wasomi walioajiriwa kukimbilia biashara za nguo na viatu mitandaoni

    Wakuu salama? Kitambo sijapost hapa ila nimeona leo tuangalie upande wa pili wa shilingi; tuna idadi kubwa sana ya vijana wetu wasomi tena ambao wapo kwenye ajira iliyo rasmi lakini wakati huo huo wanafanya ujasiriamali mdogomdogo. Sioni tatizo kufanya biashara ila shida inakuja pale ambapo...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo JKCI yatoa tahadhari kutokana na ongezeko kubwa la watu wenye matatizo ya moyo

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ya Dar es Salaam imesema wagonjwa wanaofika kliniki ya hospitali hiyo kwa siku ni 200 hadi 400. Habari zinasema kwamba kwa takwimu hizo tatizo la magonjwa ya moyo nchini ni makubwa. Daktari Bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka JKCI, Dk Samwel Rwehemamu...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
Back
Top Bottom