Mbowe: Natamani mrithi wangu kama Mwenyekiti Taifa atoke BAWACHA

Kiukweli hii saccos hakuna kidume atakayekubali tena kuiongoza kwani haina mvuto tena,sana sana hilo zigo atakabidhiwa mwanamama afe nalo huku akiwa remoted na DJ Makengeza
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha.

Source Tanzania Daima

My take; Namuona Halima Mdee akiandaliwa fursa ya kuongoza Chadema

Maendeleo hayana vyama!
 
Hana busara yule dada
 
Bwashe unapendaga habari za CDM hadi basi. Si uunge mkono juhudi za CDM waziwazi?
 
Ni kauli inayohitaji tafakari ya ndani sana.
1. Ipo siku Freeman Aikaeli Mbowe hatagombea tena nafasi ya Uenyekiti - CHADEMA inapaswa kuandaa viongozi
2. Mwenyekiti ana maono ya kuiona CHADEMA ikiiongozwa na Mwanamke; linaweza kuwa wazo gumu kukubalika kwa wengi kwa sababu kadhaa ikiwemo (i) Je kuna mwanamke anayeweza kukidhi uwezo wa kuwa Mwenyekiti CDM - Taifa (ii) Kauli hii inamaanisha nini kwa viongozi wanaume ndani ya CHADEMA ambao wana njozi za kuwania cheo cha Uenyekiti Taifa?

Ni suala la muda tu; Freeman Mbowe bado ana miaka mitano katika cheo cha Uenyekiti.
 
Mbowe atastaafu baada ya uchaguzi mkuu ndio maana anaandaa mrithi wake sasa!
 
Back
Top Bottom