Ni mpangilio tu lakini maliwato yanaweza kuchukua nafasi ndogo yenye mpangilio mzuri. Hii ni sehemu ya faragha hivyo watu wawili au watatu kukutana ni wakati wa kumhudumia mgonjwa.
Swahiba mmoja aliweka ceiling fan maliwato, hata kama kuna joto si unaoga maji ya baridi!
Hukizunguzia mapenzi hakuna yaliyomuacha kila mtu yamemgusa kwa namna moja au nyingine. hapa chini nmeandika mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua ili uhepukane na athali kubwa za mapenzi.
1) MWAMINI MWENYEZI MUNGU
Ukimuamini mwenyezi mungu utakuwa mtu wa subla, na subla...
Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini.
Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
Suala la taifa letu kuwa na katiba mpya tusiliangalie kwa upande mmoja tu wa shilingi.
Katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa sana ambayo hayamnufaishi mwananchi wa kawaida mwenye maisha duni.
Wananchi wanahitaji katiba itakayowapa nguvu ya kuonekana kuwa wana maamuzi kwenye nchi yao...
Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha.
Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani.
Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
Kuna Wahindi wengi sana tena wale wa hali ya chini wameingia Tanzania katika siku mbili hizi wamejazana kwenye hotel/Guest za mitaani. Uhamiaji kuweni makini tujue ni wawekezaji au wamekuja kuchukua kazi za Watz wakawaida!!
Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible.
Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa mazao ya biashara kwa keshi haswa pamba na Bei kupanda kutoka 800 kilo Hadi 1500. Ilikuwa NI dalili...
Nilifikiri mtu akiwa Ana mashine kubwa basi wanawake watamkimbilia na hawawezi kumuacha Wala kumuv on, Sasa jomba nchumali kila sehemu anakula kibuti, Wolipa, Salah, Kajara, Lina, Sasa Haina faida kumbe mapenzi ni zaidi ya maumbile ya sehemu nyeti.
Kama madada wangekuwa wanapenda mashine basi...
Karibu katika andiko hili muhimu juu ya utatuzi wa tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania. Andiko hili pia limejumuhisha takwimu muhimu za ajira nchini, sababu za ukosefu wa ajira kwa vijana, athari za ukosefu wa ajira kwa vijana na njia muhimu za kutatua tatizo la ajira...
Habarini watanzania,. Kata ya KIRANJERANJE inapatika wilayani KILWA mkoani LINDI kata hii ina vijiji sita ambayo ni KIRANJERANJE ambayo ndo makao makuu ya kata, MTANDI, MBWEMKURU, MIRUMBA, KISWEHELE na MAKANGAGA. Katika kata hii kwenye vijiji vyake sita kijiji chake...
#UPDATES HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha,anayekuwa akiliza kesi namba 66 ya Unyanganyi wa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Ole Sabaya na wenzake amebadilishwa kusikiliza kesi hiyo, sasa itasikilizwa.
===
HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Tangu kuanza kwa huduma za kutuma na kupokea fedha kwa njia za simu za mkononi huduma hizi zimekuwa maarufu sana na kuchangia kurahisisha maisha ya watu hasa wale wa kipato cha chini tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2008 ambapo M-pesa ilizinduliwa rasmi. kupitia huduma hizi mwananchi anaweza...
Mazoezi ya lisaa limoja kwa siku yanatosha kukufanya upate mwili unaopendeza. Mwili unaokubali kila nguo. Mazoezi yanasaidia kukuepusha na magonjwa mengi ya muda mrefu, mfano kisukari, magonjwa ya moyo, stroke, na matatizo ya miguu.
Inapendeza ukiwa na miaka 70+au 80+ bado unaweza kwenda...
Habari JF,
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine tatizo la ajira limekua sugu kwa vijana . Takwimu zinaonyesha kundi la vijana linaongezeka; kutakuwa na ongezeko la vijana kufikia million 15 kufikia mwaka 2030 tofauti na sasa ambapo idadi ni million 11. Hili ongezeko la vijana linaweza kuwa na...
Imezoeleka mvua kunyesha kati ya Oktoba- Januari na Machi - Mei kila mwaka, na Juni - Septemba kuwa kipindi cha vumbi jingi, lakini imekuwa tofauti hivi sasa mvua kubwa inanyesha usiku huu hii ni ishara ya kuwepo mabadiliko ya tabia nchi.
Nawasalimu kwa jina JMT
Napenda nielekeze maoni yangu kwa DC mpya wa Gairo, mdogo wangu Jabiri M. Omari na nimzindushe kwamba wana gairo walinyanyaswa sana na yule dada. Nimepata kuzungumza na baadhi ya wananchi wa Gairo wakanieleza hili, kwamba yule dada hakuwa mstaarabu na wala hakua na...
Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala nini. Aidha, kwa udikteta huohuo aliharibu uchumi na haki za kiraia bila ya kuulizwa.
Leo ameingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.