safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,164
- 15,848
Wengi tumekuwa tukidiscuss kwa nini wanaume wengi huwa tunakufa mapema katika ndoa kuliko mababu zetu.
Sababu moja kubwa ambayo tunaisahau ni kuwa kiasili mtu mwenye umri mkubwa sana ndio huwahi kufa kwa asilimia kubwa na hii ndio ilivyo kitamaduni tulivyozoea.
Sasa tukija kwenye mas'ala ya ndoa wanaume wengi sana huoa wanawake waliowazidi umri, hii hupelekea mwanaume kuanza kuzeeka mapema na kufa mapema kuliko mwanamke.
Rejea katika history ya mtume Muhammad alioa mwanamke mkubwa kuliko yeye end of the day mwanamke yule (bi khadija) alifariki yeye mwanzo.
Baadae mtume alioa wanawake wengi ambao kawazidi umri lakini yeye ndio akaanza kutangulia kufa.
Kwahiyo hakuna maajabu sana kwamba ati ni formula kuwa mwanaume ndio huanza kufa, sababu kubwa ni hii hapa.
Haina maana kuwa wanawake hawafi mapema kuliko waume zao ambao waume ni wakubwa,laa hasha,hapa tunazungumzia ule ujumla wa mambo.
NB; Uwezo wa Mungu uko palepale.