Nimenunua friza kubwa ya homebase tsh laki 8 je nimelenga au famba?

Labda kama wameanza kuchakachua hivi karibuni ...kuna mtu nilimnunulia smart tv 43" ya Homebase miaka 2 sasa iko poa kabisa picha angavu hadi LG yangu haioni ndani...hii brand iko powa ila tatizo la Wachina huwa wanaanza vizuri ila kumaintain quality huwa hawawezi.
 
IMG_0034.jpg

IMG_0034.jpg
IMG_0034.jpg
 
Back
Top Bottom