Wapinzani mkiona mnayemtendea Ubaya halipizi, Mnamchukia lakini yeye anawaonesha Upendo. Mnamdharau lakini anawaheshimu. Mnamtuhumu wala hajibu tuhuma zenu.
Mnamtenga lakini ameendelea kuwaonesha Upendo na umoja. Mnamshusha anavumilia. Mnamnunia, yeye anawachekea. Mnamhujumu yeye anasonga...
Lowassa pamoja na kupendwa sana kwa kweli alikuwa dhaifu mno 2015. Tena mno, kimawazo (hakuwa na mvuto wa hoja) na hata kiafya (enzi za siha njema zilishampita). Kwangu mie hata JK kuhakikisha Lowassa hawi Rais ilikuwa ni kumsaidia rafiki yake ambaye alikuwa anajua undani wake. Lowassa...
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Sote tunafahamu utata mkubwa uloiojitokeza mwaka 2015, na nafasi ya Jecha katika utata huo.
CCM kama chama tawala ambacho kinajinasibu kukubalika na wananchi na ambacho kinda kushinda kwa kura halali, hakikutakiwa kujihusisha na mtu kama Jecha.
Ukila na kipofu...
Leo DR Tulia ambaye Ni naibu Spika alikula Chakula Cha mchana kwa mamaNtilie Jijini Mb
eya. Kabla ya kuhitimisha vikao vya bunge alisema atagombea mwaka huu sisi HATUJUI ni Jimbo gani lakini niliwahi kuandika kuwa Sugu ASIMBEZE DR TULIA.... Niwakumbushe kidogo, bado msimamo wangu na analysis...
Heshima kwenu wanajamvi,
Leo nimeona ni vyema na haki tukawajadili wagombea nafasi ya Rais wa JMT kutokea chama cha CDM.
Nadhani nianze na Mheshimiwa Lissu si kwa bahati mbaya la hasha, nimeanza na Lissu kwasababu ni mgombea pekee mwenye mvuto kwa wananchi lakini pia ni mgombea mwenye uwezo...
Sisi wananchi wa jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tuna imani kubwa na wewe Mhe. Ummy Fussi kwani tunategemea utampokea kijiti cha uongozi wa uwakilishi Mhe. George Malima Lubeleje ambaye amefanya kazi kubwa sana ya kutuwakilisha kwa zaidi ya miaka 30 lakini sasa utu uzima umemfika.
Mhe mtalajiwa...
Kama nchi kupitia Serikali yetu, ninaamini mkazo mkubwa kwa vijana wetu wanapokuwa mashuleni na vyuoni ni kuhakikisha kuwa wanajikita katika makusudi ya msingi yaliyowapeleka kwenye tassisi walizopelekwa kusoma.
Kila Mtanzania mwenye nia njema na watoto wetu (hususani wale wa kike) anao wajibu...
ZIARA YA SIKU NNE (4) YA MWENYEKITI WA CHAMA TAIFA MHE. PROF. IBRAHIM LIPUMBA HUKO PEMBA IMELETA HAMASA KUBWA NA KUPOKEA ZAIDI YA WANACHAMA WAPYA 723.
Ziara hiyo imekijengea Chama Heshima Kubwa kwa kukiwezesha Kurejesha Ngome yake huko Pemba na kukiwezesha Chama kuwarudishia Hamasa wanachama...
Jioni hii nimekaa room kwangu mara nasikia majirani (wake zao) wametoka kwenye mizunguko yao. Katika hii nyumba kuna wapangaji watatu wawili ni familia bachelor ni mimi tu.
Punde nasikia moja ya jirani yangu analalamika kwa mwenzie kua mmewe karudi kapiga msosi wote bila kujali kua yeye kala au...
Habarini za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku.
Wakuu nina swali, ni topic ambayo naifanyia utafiti. Topic inasema hivi, "Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?" Maana hata tukisimuliwa habari za kuloga lazima tutaambiwa mbibi fulani ndio ameroga. Tukisimuliwa habari za kuloga mume...
Katika hali isiyo ya kawaida na ambayo haijawa kutokea toka tupate Uhuru Tanganyika na baadae Tanzania , Polisi wa Usalama Barabarani toka mwaka 2015 wamefanya kazi zao kwa weledi wa hali ya juu.
Mwaka 2017 Mpwendwa Wetu Rais JPM aliona mateso yao na kuruhusu kuchukua shekheli ya ku-futia...
Marekani huwa ni taifa linalojiona ni dume linaweza kila kitu kuliko taifa lolote duniani
Sasa imekuja Corona nchi za Africa tumeiwezea kuliko marekani
Sasa baada ya marekani kuona ohhh vinanipita hata vi nchi vidogo kuishinda corona akaona atafute sababu za kujikosha kuwa ohhh mimi bado niko...
Marais wa awamu ya Pili hadi ya Tano wamehudhuria hapa mama maria nyerere yupo hapa pia kama mke wa mwasisi wa Taifa hili
Mh Rais amewazawadia marais wastafu zawadi ya ndege tausi 25 kila mmoja pamoja na hati za umiliki wa ndege hao, mc wa sherehe anasema tunao tausi zaidi ya 2800+
Ikulu ya...
Hapo awali CHADEMA kilionekana Chama ambacho sasa kimekuja kuwakwamua Watanzania toka katika tatizo kubwa lilikuwa linaiharibu nchi ya Tanzania.
Maana kilikuwa ndio mwiba kwa serikali ya CCM ambayo ilikuwa imechafuka na kuruhusu mianya ya ufisadi katika kila sekta. Palipotokea ufisadi wowote...
Hii hapa rekodi nyingine tena inawekwa na Guinness World Records mnamo October 8, 2010.
Ni katika nchi ya Uturuki. Jumla ya wapishi 50 walikusanyika kwa pamoja kuweka rekodi ya kupika chapati kubwa zaidi ya mayai yenye uzito wa tani 6.
Chapati hiyo ilichanganywa na mafuta zaidi ya Lita 400 na...
Ni kwamba 99% ya Wanawake Wanaotongozwa kwa Kudanganywa na Wanaume huwa wanawakubali haraka sana lakini pia 99% ya Wanaume ambao huwa wakiamua kuwa Wakweli kwa Wanawake pale wakiwa Wanawatongoza huwa wanawakosa japo wao (Wanaume) hudhani kuwa Mkweli ni 'Tiketi' ya moja kwa moja Kuuona Ufalme wa...
Katika mkoa wa simiyu Kuna tabia ya polisi kuwakamata BODABODA na kuomba rushwa ili wawaachie. Sababu za ukamataji huo zimejificha kwenye makosa makuu mawili.
1. Leseni
2. Bima
Pamoja na kuwa BODABODA hao wengi wao hawana vitu hivyo vya muhimu kisheria lakini pia jeshi la polisi haliwasaidii...
Miaka ya 1776 Jasusi wa Kimarekani William Carmichael alitumwa na Taifa lake kwenda kutafiti na kujua ni kwa namna gani USA inaweza kuteka soko la Tumbaku Duniani ambalo lilikuwa limeshikiliwa na bara Ulaya. Kipindi hicho Ukraine ilikuwa ikizalisha tumbaku Bora kabisa na nyingi Duniani.
Jasusi...
Hayo yamesemwa na Dr. Elisha Osati, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) leo Mei 27, 2020
FULL TEXT:
Leo tumekuja kuzungumza nanyi Waandishi wa Habari kuhusu tathmini ya Corona hapa nchini. Ikumbukwe tangu Corona imeingia hapa nchini Mwezi wa tatu kumekuwa na mambo mengi yakiwa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Kama ilivyokuwa imetegemewa Kenya tayari wameshakata pumzi. Kinachosubiriwa sasa ni tamko rasmi tu la bwana Kenyatta.
Tayari waziri wao wa afya Mutahi Kagwe amekwishakiri kuwa Corona sasa hivi huko Kenya iko kila mahali. Heri hawa wanao ujasiri wa kuutamka ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.