#COVID19 Nchi ya Ushelisheli (Seychelles) yakumbwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa covid-19 pamoja na kuchanja asilimia 60 ya raia wake

Fanya uchunguzi wa vaccine waliotumia; inawezekana walitumia vaccine ya KICHINA!!!
 
63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi tatu (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona.
Zaidi soma hapa: The Seychelles is the most vaccinated nation on Earth. But Covid has surged
Wakati ya china si juzi tu ndo who wamepitisha.......hizo za huko kwa mabepari ndo zilizopitishwa mapema

63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi tatu (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona.
Zaidi soma hapa: The Seychelles is the most vaccinated nation on Earth. But
 
Wakati ya china si juzi tu ndo who wamepitisha.......hizo za huko kwa mabepari ndo zilizopitishwa mapema

Zinazotumika marekani mbona zinafanya kazi vizuri tu!! Wanaokufa marekani ni wale wabishi wa kukataa chanjo!!!!
 
Zinazotumika marekani Mona zinafanya kazi vizuri tu!! Wanaokufa marekani ni wale wabishi wa kukataa chanjo!!!!
Hayo mengine ila usimsingizie mchina.....hana chanjo ambayo kaitoa kwa watu wa nje ya nchi yake......chanjo yake imethibitishwa juzi tu hapa na who....pambaneni na mabeberu wenu wanaowapiga chanjo feki
 
Chunguza ili uwe na uhakika hao shelisheli walikuwa wanatumia chanjo gani? Sio Pfizer. Maderna wala J&J!!!
 
Hapo kazi ni kwako mimi ninachokwambia tu ni kwamba mchina hakua na chanjo iliyoruhusiwa kutumiwa nje ya nchi yake na WHO chanjo yake ya kwanza ndo imepitishwa mwezi huu.......sasa hilo taifa ambalo karibia asilimia 90 wameshachanjwa hio chanjo ya Mchina walitoa wapi? Kama sio hizohizo za mabeberu ndo walizitumia
 
Chanjo ziko nyingi nyingi tu hata PUTIN ana chanjo, sasa ni juu yenu kuchagua hapo mtakapoamua ipi bora kati ya hizo!!
 
Mimi najua ni chanjo moja kwa baadhi na zingine chanjo mbili
Ila hii ya chanjo tatu na bado hazisaidii naona wamedungwa maji tu hao
 
Chanjo ziko nyingi nyingi tu hata PUTIN ana chanjo, sasa ni juu yenu kuchagua hapo mtakapoamua ipi bora kati ya hizo!!
...........................hadi umetoka nje ya mstari.........
 
Back
Top Bottom