kuangalia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

    Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic. Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya...
  2. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Application Gani Inaweza Kukusaidia Kuangalia Salio Line Ikiwa Kwenye Modemu

    Kichwa hapo juu chaeleza, naomba anayefahamu app yenye uwezo wa kuangalia Salio line ikiwa kwenye modemu.
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nini cha kuangalia mabaki ya Titanic mpaka kuhatarisha maisha?

    Sasa imejulikana rasmi kuwa nyambizi ya mchongo iliyokuwa ikifanyiwa biashara na kampuni ya Ocean Gate imepasuka na abiria wote watano kufariki dunia. Waliofariki ni pamoja na mzamiaji maarufu wa kifaransa Paul-Henri Nargeolet. Wengine ni tajiri mkubwa wa kipakistani Shahzada Dawood na...
  4. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuangalia Fainal ya UEFA Champions nyumbani kwangu kupitia Laptop.

    Wakuu naomba kujuzwa jinsi nitakavyo faidika kuangalia Uefa nikiwa kitandani na Laptop yangu. Msaada pliz
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Inaendelea Kuangalia Fursa kwa ajili ya Kuwawezesha Wanawake Kuanzisha Vituo Mahususi vya Uwekezaji na Masoko kwa Wanawake katika Kata

    NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE - SERIKALI INAANGALIA FURSA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUWEKEZA KATIKA KATA Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema Serikali inaendelea kuangalia fursa mbalimbali kwa ajili ya kuwawezesha wanawake kuanzisha vituo mahususi vya uwekezaji na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania TANTRADE na Ubalozi wa Hispania wakutana kuangalia fursa mbalimbali za biashara

    TANTRADE NA UBALOZI WA HISPANIA WAKUTANA KUANGALIA FURSA MBALIMBALI ZA BIASHARA _________ 24 Mei, 2023 Dar es Salaam Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Ukuzaji Biashara - Bw. Fortunatus Mhambe, Kaimu Mkurugenzi Maendeleo ya Biashara - Bw...
  7. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Jali mchakato/ mfumo zaidi ya kuangalia matokeo tu ili uwe na maendeleo ya muda mrefu

    Matokeo yoyote yanatokana na mchakato/ mfumo fulani. Hasa matokeo yatakayokupa furaha na maendeleo kwa muda mrefu. Kujali mchakato ni kufanya kila unachotakiwa kufanya kwa muda huu bila kujali unavyojiskia, hatua inayofuata au matokeo yatakuaje. Mchakato unahitaji nguvu zako kila siku. Ukiwa...
  8. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya uache kuangalia Movi za kibongoi!? Na una lipi la kuwashauri?

    Kitu gani kilikufanya uache kuangalia Movi za kibongo? Na una lipi la kuwashauri?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha kuangalia kuandama kwa mwezi kinauzwa shillingi ngapi?

    Kutokana na utata wa kuandama Kwa mwezi pamoja na ukuaji wa technology naomba kufahamu endapo kipo kifaa maalum chakuangalia kuandama Kwa mwezi na gharama yake NI kiasi gani ili tuweke mikakati yakukinunua na kukiweka kwenye mamlaka husika. Tanzania tuna wadau wengi wanapenda kufanikisha ibada...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi hata kama hamjui kusoma, je hata picha hamuwezi kuangalia?

  11. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Bongo movie bila steven kanumba

    Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production. Steven kanumba baada ya...
  12. pilato93

    JamiiForums Tanzania Azam TV hii huduma yao ya kuangalia online ni mbovu sana

    Habari wakuu, Nawsilisha kwa wanaohusika na kitengo cha Azam Max huduma yake ni mbovu sana hasa huu mwezi yaani huwezi kuangalia kipindi unachopenda yaani muda wote inakata na hakuna marekebisho ukiwapigia wanakwambia wana tatizo la kimtandao, na itakaa sawa lakini hilo tatizo ndio mwezi...
  13. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ajinyonga kisa kukataliwa kwenda kuangalia video usiku(Mtwara)

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Secondari Kiromba, Azana Dadi (13) ambaye ni Mkazi wa eneo la Muungano kata ya Kiromba wilaya na Mkoa Mtwara, Amekutwa amejinyonga chumbani kwake kwa kutumia mtandio wake. Jeshi la polisi Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio hilo aidha UCHUNGUZI wa...
  14. Midimay

    JamiiForums Tanzania Maoni na mapendekezo kwa tume/kamati ya kuangalia mfumo wa haki jinai

    Habari za jioni mabibi na mabwana. Ni maoni kwamba nia hii njema ya RJMT ipate muda wa kutosha katika mitandao ya kijamii na media kuu za nchi yetu. Ikiwezekana hata na media za kimataifa kama BBC Swahili, BBC Focus on Africa, VOA Swahili, DW Kiswahili na za kikanda kama media za nchi jirani...
  15. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

    Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini. Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake. Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mifumo wa kudai haki jinai nchini imeharibika kutokana na kupuuza mifumo ya maadili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai chini Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 31 Januari, 2023 Katibu Mkuu kiongozi Moses Kusiluka Jukumu kubwa la tume ni kufanya tathmini ya kina ya mfumo wa...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Gari lalipuka Moto Mbezi Beach!. Hakuna Msaada Wowote wa Zimamoto/Wananchi ni Kukodoa tu Macho Kuangalia kama Sinema!

    Wanabodi Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu, Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!. Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!. Mtanisame nili staafu uandishi wa...
  18. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

    Watu Wana malengo mengi Sana kila mwaka mpya ukianza na mengine ni Makubwa mno hata hayatekelezeki hata katika ndoto kwasababu hakuna ajuaye kesho yake, ingawa hii haitufanyi tusiache kuweka malengo. Ndugu zangu ili tufanikiwe basi tunahitaji Sana msaada wa Mwenyezi Mungu, kwani si akili zetu...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wakristo wa CCM mmeanza uchochezi, huu upuuzi wa kulalamika dini kwenye vyeo vya juu muuache. Chama hakina dini

    Nashangaa sana kuona watu wanalalamika udini kisa tu viongozi wengi wa ccm ni wa dini ya kiislam, Kwenye fomu za uongozi CCM, hakuna kuulizwa dini!, unaulizwa sifa na vigezo, hakuna kigezo cha dini ya mtu!. Kwenye kupendekeza majina wakristo walikuwemo hawakujipendekeza, kwenye kupiga kura...
  20. Championship

    JamiiForums Tanzania Nimefika salama Qatar kutokea Thailand kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia

    Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii kuweka mambo sawa. Miaka yote kwenye kombe la dunia huwa nazipenda Ufaransa, Ujerumani na Italia...
Back
Top Bottom