Bongo movie bila steven kanumba

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,992
Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production.

Steven kanumba baada ya kifo chake walikuja waigizaji kibao kuziba pengo lake bila mafanikio
GAbo
ray kigosi
Patrick kanumba
na wengine hao wote wamepoteana hawajafika ata nusu ya kanumba,bongo movie bila Steven kanumba ni sawa na bongo fleva bila diamond

Hizi ni baadhi ya movie Kali za Steven kanumba
Dar 2 Lagos
white Maria
Big daddy
kingdom devil
Crazy of love
Uncle JJ
the lost twins
Moses
Red valentine
Deception
Kijiji Cha tambua haki
nk nk nk

NB : zumaridi ana Jambo lake kwa Steven kanumba.
images (19).jpeg

Continue Rest in external piece
the great
 
Hakuna bongo Movie ninazoweza angalia zaidi ya mara moja isipo kuwa za kanumba na Jimmy mponda
 
Moses ,family tears na fake smile ndo movie bora kwangu kutoka kwake
 
Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production.

Steven kanumba baada ya kifo chake walikuja waigizaji kibao kuziba pengo lake bila mafanikio
GAbo
ray kigosi
Patrick kanumba
na wengine hao wote wamepoteana hawajafika ata nusu ya kanumba,bongo movie bila Steven kanumba ni sawa na bongo fleva bila diamond

Hizi ni baadhi ya movie Kali za Steven kanumba
Dar 2 Lagos
white Maria
Big daddy
kingdom devil
Crazy of love
Uncle JJ
the lost twins
Moses
Red valentine
Deception
Kijiji Cha tambua haki
nk nk nk

NB : zumaridi ana Jambo lake kwa Steven kanumba.View attachment 2579549

Continue Rest in external piece
the great
Leo miaka 12 aisee
 
Back
Top Bottom