kuangalia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. carcinoma

    JamiiForums Tanzania Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

    Habari wakuu. Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa kumwambia akanielewa. So naona ni bora niliweke hapa. Lengo sio kuomba ushauri wa mtu.. leo ni kushare...
  2. Bess

    JamiiForums Tanzania Kuangalia pono ni hatari kuliko kimelea cha ugonjwa

    Kuangalia pono husababisha yafuatayo: 1. Pre-ejaculation ama kumwaga kabla ya dakika ya kutakiwa kufanya hivyo. Hii husababisha kutopata watoto ama kutomridhisha mwenzi 2. Husababisha ndoto nyevu na pale semen inapotakiwa kusababisha mimba basi huwa ina mbegu dhaifu 3. Mtu huyu huathirika...
  3. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na watoto wenu kuangalia muvi zenye superheroes Content

    Head's Up: Maneno nitakayoandika hapa haimaanishi kua nina dharau Uweza na Uumbaji/ Status ya-wa mwanamke katika Jamii. Kwanza kabisa mimi ni mpenzi wa Superhero based content, hasa content zinazotengenezwa na kampuni ya Marvel. Muvi hizi zinapendwa na watu wengi sana duniani wa rika zote na...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Fedha za CWT zilitumika kuangalia mpira Cape Verde

    Mchunguzi Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mercy Manyalika ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alivyochunguza na kubaini fedha za Chama cha Walimu Tanzania,(CWT) zilivyotumika kwenda kuangalia mpira wa kombe la dunia mwaka 2018. Manyalika alieleza hayo...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuangalia gari lako kama umeshaingia kwenye deni la paking la TARURA kabla halijazaa

    Wadamu mnaomiliki mikoko hii ni muhimu. Wiki iliyopita nilipita zangu kariakoo nikatafuta maegesho weee nikakosa mitaa yote ya shimoni. kwa bahati nikabahatisha private paking moja hivi nikawasha hazadi nikaegesha nikaingia dukani chini ya dakika tano nikawanimeshalipia ninachotaka nikapata na...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mama samia Rais wetu mpendwa jaribu kuangali bei za vitu Arusha

    Kwa sasa anaye jua hizi bei na uhaba wa baadhi ya bidhaa atuambie tunaelekea wapi gesi Arusha ni pasua kichwa mtungi mdogo 25000, cement haipo na ukipata ni 18000, chumvi imepanda, mafuta ya kula lita 5 ni 30k, petrol na dieasel uko hatusemi, nondo nazo zimepanda bati ndio kasheshe kabisa...
  7. moyafricatz

    JamiiForums Tanzania Tuacheni kuangalia movies za mapigano sana na hizi videos games

    Wanajamvi, Nimeamua kuwaza tu nmje ya box kuhusu hili tukio la leo pale daraja la Salender. Nimeleta huku kwenye uzi wa entertainment maana huku wengi watakua na ufahamu mkubwa wa hii game iitwayo GTA Vice City. Kwa jinsi nilivyoona namna yule mwamba amefyatua risasi pale mbele ya ubalozi wa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

    Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi. Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
  9. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Msaada kunitajia movie ambazo sitakiwi kuangalia na watoto

    nilizoea kuishi mwenyewe..ila kwa sasa kuna watoto flan nitakuwa nao..so kwa vile mm ni mdau wa movie sana muda wote...naomba majina ya movie ambazo sitakiwi kuweka kwenye folder/flashdisk au dvd ,zile ambazo zina kwich kwich sana...maana hawa watoto wataharibika bure..
  10. barnabas masoko

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuangalia upya shule za Serikali, hali ni mbaya

    Nadhani wote ni mashahidi wa shule hizi za serikali hasa zile kongwe kabisa kwani miundombinu sio rafiki tena.aidha kwa wakati zilizijengwa au kukosekana kwa ukarabati wa mara kwa mara. Shule hizi kwa kweli hazijaasiliwa sana na sera mpya ya elimu bila ada.kwani shule no zile zile na Kila kitu...
Back
Top Bottom