Kwa uelewa wangu mdogo ili mtu uweze kuwa mdhamini ni sharti kwanza umjue unaemdhamini na pili uridhie kuwa mdhamini.
Lakini kwa siku za hivi karibuni kumetokea mchezo wa makampuni ya kutoa mikopo mitandaoni kuwasiliana na watu out of nowhere kwa madai kuwa wao ni wadhamini wa mtu fulani...
Kuna wakati huwa najaribu kwenda chimbo tofauti, ukiacha na zile zenye hadhi ya vibanda umiza ili kucheki mechi, moja ya jambo lililonishinda ni kuangalia mpira bila sauti ya mtangazaji na mashabiki wa uwanjani.
Mfano kuna chimbo moja nilitokea kulielewa ila kilichofanya niache kwenda eti...
Mwanzoni Kijana anapobalehe anapiga punyeto acapella yaani hata akiwa anaoga bafuni anajichua akiwa amesimama na anaridhika.Ila siku zinapozidi kwenda Kijana anapata smartphone na muda wote yuko nayo anaanza kuangalia porn regularly akiwa tu kitandan macho yake yaliyojaa uzinzi yanampeleka site...
Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi.
Kwangu Mimi huyu Beki Ibrahim Baka ndiyo ambaye Watanzania tunatakiwa tumpokee kwa Heshima zote...
Akitangaza kuhamia CCM jana January 22, Upendo Peneza amesema kuwa...
"Sasa tuna hoja nzuri sana mezani, Bungeni kuna Miswada mitatu ya Sheria ambayo inabidi ipitishwe na Bunge lakini mmesikia Mwenyekiti Freeman Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) akitangaza maandamano jambo ambalo Mimi naliona...
Ningependa kujua na nyinyi wenzangu mnajiskiaje pale mnapokua mkifanya mambo yenu kwenye simu au PC kisha akatokea mtoto/watoto na wao wakaanza kuangalia unachofanya?
Binafsi huwa nina kawaida ya kwenda kusalimia ndugu ninapopata muda na huwa nakutana sana na hii changamoto hasa ukizingatia...
Wana sports leo ilikuwa mfululizo wa kipigo kwetu wana blues, kiukweli huwa naumia sana sasa kwa kuwa sisi huu msimu hatuna timu kabisa
Yaani usajili wote ni majeruhi na flop nimeamua kujiweka pembeni kwanza maana nitakua sina amani kabisa
Mpaka siku nikijaliwa kuingia kabsa Stamford Bridge...
Series nilizocheki ni nyingi sana ni za kimarekani, kikorea na kilatini.
Yani hapa kupata series mpya imekuwa shughuli nzito sana
Napenda series za uhalifu, misukosuko ya kutoboa zero to hero,
Habari za saa hizi wote kwa ujumla.
Tumshukuru Mungu kwa uzima .
Nakuja kwenu nikiwa nawaletea habari njema wale wenye maduka ,supermarket,pharmacy na kadhalika.
Tuna mfumo wa mauzo ambao utakusaidia kuangalia faida,mauzo na manunuzi ya biashara yako ukiwa online sehemu yoyote ile hata kama...
Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu.
Jambo...
Nimeona katazo la Tcra kuzuia matumizi ya Vpn nakusema kuwa kuna faini ya mil 5. Sasa kwa sababu karibu kila Mtanzania mwenye smart foni amedownload VPN na anaitumia kuangalia mambo yake binafsi ya kifaragha .
Je, TCRA itawag'amua vipi watu wakiwa na simu zao mkononi.
Msaada wa kitalaamu
Ni miaka 2 mfululizo sijakaa chini serious kuangalia TBC 1. Maisha yamekuwa mazuri na yenye furaha tele.
Naamini maisha yatakuwa bora zaidi 2025 pale chama changu pendwa kitakapo kata jina na kutuwekea chuma toka Cuba.
Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu.
Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima...
Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine
Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia
Pia kuna
Captain Philips bonge la movie
Death race
Kuna moja mauwaji ya #Rebel
Wakuu imekuwa nongwa sasa ,Sometimes tabia hii inakera, Nipale ambapo umekaa either kwenye gari yaani safarini, au sehemu yoyote yenye mkusanyiko Public, Uko bize na simu yako, unashangaa jirani yako na yeye anakosoa mimacho kwenye simu yako
Hii tabia sio nzuri na inakera, Pia haileti picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.