Mara yako ya mwisho kuangalia movie za kihindi ilikuwa lini?

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
853
2,037
Me mara yangu ya mwisho kuangalia movie za kihindi ni mwaka 2017 ilikuwa movie moja hivi inaitwa 'Shanklaj'

Kwenye hii movie bana starling alipiga teke tembo, hadi tembo ikapaa, nikasema sitokaa tena niangalie Hindi movies.

wewe kwa upande wako ilikuwa lini? au bado unatazama.
 
Uwekezaji wapo vizuri ubora wa waigizaji pia ila wanafeli kwenye stori zao. Utasikia Aliyekufa ni asha ,ashura mnayemtafuta bado mzima na asha alikuwa pacha wake yaani utakutana na throwbacks nyingi humo ndani. Waboreshe hapo. Extraction 2020 imebebwa na wao kwa 90% na imebamba sana means uigizaji wao na mazingira bado ni bora.
 
Mimi mara ya mwisho ni mwaka 2000 pale nilipoona Mtoto wa kihindi wa miaka minne amechokozwa na Baba yake...

mara akasema stupid Kumar..kisha akapaa juu kupitia darini akafika angani na kudandia Helcopter huku anamnyooshea Dady wake kidole
 
😂😂😂
 
Umenikumbusha kuna movie siijui jina,
Sterling alikuwa amezungukwa na raia kama 10 +, akawa akiwapiga wanapaa juu wanaenda kuanguka meter 20 mbele ,huku anaendelea kuwatandika wote kwa mtindo huo, mwisho ikawa siyo kukwepa ngumi za sterling ikawa kukwepa kuangukiwa na hawa wanaopaishwa kwa kipigo , Aaah nikasema upuuuziii!! huu
 
Back
Top Bottom