Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii kuweka mambo sawa.
Miaka yote kwenye kombe la dunia huwa nazipenda Ufaransa, Ujerumani na Italia...
Wakati unakuja watanzania wataishiwa uvumilivu kwa kuona Mali zao na nchi yao ikiuzwa pasina wao wenyewe kuridhia.
Ni kama kufumba na kufumbua maji hayapatikani tena wakati ilo jambo lilishasahaulika, umeme siyo wa uhakika tena sasa watanzania hawajui mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi...
Wakuu, najua ni mapema sana kuanza kulizungumzia hili jambo kufuatia ajali ya leo ya ndege huko Bukoba bila kuwa na majibu kamili lakini ni wazi kama taifa kuna mahali tunakosea na tunahitaji kujitathmini upya.
Katika swala zima la uokozi muda wa majanga watanzania tumefeli na tunaendelea...
DAR ES SALAAM, TANZANIA, 13 Septemba, 2022 – Leo Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Idara ya Huduma za Biashara ya Marekani umetangaza washiriki wa ziara ya siku mbili ya ujumbe wa Wafanyabiashara wa Kimarekani kutembelea Tanzania Bara na Zanzibar. Ziara hiyo itafanyika kutoka tarehe 27...
Habari watanzania na wadau wote kwa ujumla.
Katika chapisho hili nalenga kukutazamisha angalau kwa sehemu kuhusu msamaha, ninauhakika utakapomaliza kulisoma kwa utulivu utabadili au kuboresha mtazamo wako kuhusu msamaha.
Katika chapisho la kiingereza liitwalo safari ya mahusiano binafsi...
Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda...
https://www.independent.co.uk/news/uk/politics/tory-watch-porn-commons-phone-b2066545.html?amp
Mbunge aliyekaa nae jirani aliona mbunge mwenzake akiangalia website ya ngono katikati ya kikao cha bunge huko Uingereza.
Ofisi ya Kambi ya Upinzani imesema swala hili litachunguzwa na kamati huru ya...
Hii kwa waenga tu enzi hizo miaka hiyo TV zipo chache unakuta mtaa mzima ipo moja au hakuna kabisa na hapo mnaangalia ni mikanda tu na wenye nyumba wakali maana watoto kwa kuchafua nyumba na miguu michafu basi mnasema kesho usiwafungulie hahahaaha
Habari ndugu wataalamu.
Mwaka jana katika pitapita zangu nilifanikia kudownlod application ya kielimu katika simu yangu, hiyo application ilikua na video mbali mbali za masomo ya shule ya sekondari. Ilikua ni app ya kulipia monthly subscription ulikua unalipia shiling elfu 10.
Sasa ilikua...
Miji ya wenzetu utalii wa hivi ni mkubwa sana. Unakuta jengo moja linatembelewa na mamia hadi maelfu ya watu kwa siku.
Vipia kwa Dar, kuna hiyo huduma? Vipi Mwanza na Arusha?
Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi.
Nimepitia Kurasa nyingi sana za Mitandao ya Klabu Mbovu na yenye Nuksi duniani ya Yanga SC na hata Kusoma baadhi ya Comments za wana...
Salaam!
Baada ya serikali kutoa kibali Cha kuajiri walimu zaidi ya elfu 10,
Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti kuanzia bungeni Hadi mitaani kuhusu ni kigezo gani kitumike kuajiri walimu hao ili kuinua elimu nchini.
Hivyo ni Bora serikali izingatie kigezo Cha umri wa mwombaji pasipo kujali...
Nataka nicheki mpira wa chelseafc na Real Madrid app ipi ni nzuri nitakayoiangalia ambayo haitumii mb kubwa yaani iwe 500 MB kushuka chini naombeni wadau
Napendekeza TRA waweke mfumo wa wazi ili watu waweze kutizama Taarifa za usajili wa gari, piki piki au bajaj ili kujia mmiliki halali ni nani
Mnaficha kitu gani kuweka mfumo huo kuwa huru? Mbona ni jambo ambalo linawezekana na ni jepesi tu
Hili litasaidia sana kuzuia watu kutengeneza kadi feki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.