Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Willy T

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
253
91
Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine

Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia
Pia kuna
Captain Philips bonge la movie
Death race
Kuna moja mauwaji ya #Rebel
 
Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine

Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia
Pia kuna
Captain Philips bonge la movie
Death race
Kuna moja mauwaji ya #Rebel
Umeharibu hapo kwenye bongo movie.. Huwezi kuweka kundi moja na Captain Phillips
 
sikutarajia kama ntakutana na bongo movie kwenye list yako mzee. yani pamoja na movie zoooote ulizowahi kiziona na bongo movie ni moja kati ya ambazo hautazisahahu?wewe co mpenzi sana ww movie au la umeanza kupenda movie juzi juzi....umenisononesha sana
 
Kuna hizi move

- Richmond
- Escrow
- Rader
- na mabillion ya uswizi
Aisee sijui kama zitasahaurika
Kuna ile ya magaidi kwenye Mapango ya Amboni, Staring akiwa ni Kamanda Kova.

Tukiachana na hayo, kuna movie Hizi.
1. Transporter 1 na 2, Staring akiwa Jason Statham.
2. Section 51, Staring akiwa vin diesel na wenzake. Zipo nyingi, nyingine nitaongezea baadaye.
 
Back
Top Bottom