Upendo Peneza: Maandamano ya CHADEMA hayahusu Miswada, yanalenga kuangalia kama bado wana watu

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,097
Akitangaza kuhamia CCM jana January 22, Upendo Peneza amesema kuwa...

"Sasa tuna hoja nzuri sana mezani, Bungeni kuna Miswada mitatu ya Sheria ambayo inabidi ipitishwe na Bunge lakini mmesikia Mwenyekiti Freeman Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) akitangaza maandamano jambo ambalo Mimi naliona (na haya ni mawazo yangu binafsi), Mimi nadhani Viongozi wapo kwenye mshtuko, wanataka kukagua kwa sababu wameshawafanya Wananchi na Wanachama wao ni bidhaa sasa wanataka kutumia maandanamano waangalie hivi tuna bidhaa ngapi na zipi zilizoondoka

Wameshapoteza uhalali wa Kisiasa sasa wanalazimisha uhalali wa Kisiasa wanataka kwenda kwenye maandanamano, wanatumia hoja nzuri sana, na hoja hii naomba niwashukuru sana Viongozi wa Dini na Watu wote ambao wameenda kutoa maoni

Hoja ni nzuri sana lakini inatajwa hoja nzuri ili kuwaaminisha Watu kwamba hiki ndicho wanachokipigania ili Watu kuwaingiza Barabarani lakini lengo ni kuangalia hivi hizo bidhaa bado tunazo au zimeshatukimbia?"

peneza.png
 
Huyu alikuwa anasubiriwa akina Halima Mdee watemeshwe Ubunge na Mahakama Ili wao waingie

Sasa Mdee na wenzake wamekata Rufaa imebidi akubali yaishe na kujisalimisha CCM

Ile ziara ya Mbowe na Halima Mdee Kanisani KKKT itawakimbiza Bawacha wengi
 
Akitangaza kuhamia CCM jana January 22, Upendo Peneza amesema kuwa...

"Sasa tuna hoja nzuri sana mezani, Bungeni kuna Miswada mitatu ya Sheria ambayo inabidi ipitishwe na Bunge lakini mmesikia Mwenyekiti Freeman Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) akitangaza maandamano jambo ambalo Mimi naliona (na haya ni mawazo yangu binafsi), Mimi nadhani Viongozi wapo kwenye mshtuko, wanataka kukagua kwa sababu wameshawafanya Wananchi na Wanachama wao ni bidhaa sasa wanataka kutumia maandanamano waangalie hivi tuna bidhaa ngapi na zipi zilizoondoka

Wameshapoteza uhalali wa Kisiasa sasa wanalazimisha uhalali wa Kisiasa wanataka kwenda kwenye maandanamano, wanatumia hoja nzuri sana, na hoja hii naomba niwashukuru sana Viongozi wa Dini na Watu wote ambao wameenda kutoa maoni

Hoja ni nzuri sana lakini inatajwa hoja nzuri ili kuwaaminisha Watu kwamba hiki ndicho wanachokipigania ili Watu kuwaingiza Barabarani lakini lengo ni kuangalia hivi hizo bidhaa bado tunazo au zimeshatukimbia?"

..
JamiiForums1389173211.jpg
FB_IMG_1697801575410.jpg
 
wala hawana watu wana manyumbu, panyarodi na maandamanaji haramu majambazi 🐒
 
Back
Top Bottom