Unajiskiaje pale unapofanya mambo yako kwenye simu au PC halafu akaja mtoto kuangalia unachofanya

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,236
14,207
Ningependa kujua na nyinyi wenzangu mnajiskiaje pale mnapokua mkifanya mambo yenu kwenye simu au PC kisha akatokea mtoto/watoto na wao wakaanza kuangalia unachofanya?

Binafsi huwa nina kawaida ya kwenda kusalimia ndugu ninapopata muda na huwa nakutana sana na hii changamoto hasa ukizingatia watoto hawaepukiki. Sasa naweza nikawa nachezea simu yangu aidha kwa kuzunguka kwenye gallery, chats au kuperuzi mitandaoni.. au naweza nikafungua PC kwa kutizama tu movie/series HALAFU atokee mtoto/watoto nao wakaja hapo hapo, basi nakuwa sina amani tena, bila ya kujali maudhui ninayoangalia kama ni mazuri au mabaya.

Hii imekaaje kwa upande wenu ndugu zangu?
 
Naangalia nao, niko kwa watoto, nitaangalia vipi mambo ya kuwakwaza?!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Ningependa kujua na nyinyi wenzangu mnajiskiaje pale mnapokua mkifanya mambo yenu kwenye simu au PC kisha akatokea mtoto/watoto na wao wakaanza kuangalia unachofanya?

Binafsi huwa nina kawaida ya kwenda kusalimia ndugu ninapopata muda na huwa nakutana sana na hii changamoto hasa ukizingatia watoto hawaepukiki. Sasa naweza nikawa nachezea simu yangu aidha kwa kuzunguka kwenye gallery, chats au kuperuzi mitandaoni.. au naweza nikafungua PC kwa kutizama tu movie/series HALAFU atokee mtoto/watoto nao wakaja hapo hapo, basi nakuwa sina amani tena, bila ya kujali maudhui ninayoangalia kama ni mazuri au mabaya.

Hii imekaaje kwa upande wenu ndugu zangu?
Lucky me i don't have a child.... Huwa situmii cm yang sehem ya watoto
 
Back
Top Bottom