kuangalia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kuangalia Series ya Breaking Bad na Game of Throne, naombeni nyingine kama hio

    Baada ya kuona watu wanazisifia sana hizi series mbili ikabidi nizitafute. Itoshe kusema breaking bad ni bonge la series. Game of thrones nayo iko vizuri japokuwa sio kama breaking bad. Msimu huu wa sikukuu naombeni list ya series kali za hivi karibuni, Natanguliza shukrani
  2. Miki123

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Marais wa Tanzania kwa kuangalia ukuaji wa uchumi kwenye miaka mitano ya mwanzo (GDP per capita)

    Hii ni rank ya maraisi kutokana na ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja kipindi ambapo wameingia madarakani katika miaka yao mitano ya mwanzao, rank inaanza kwa mwenye pafomansi kubwa hadi mwenye ndogo (orodha hii imeondoa awamu ya kwanza na ya pili) 1. Rais Benjamin William Mkapa Kati ya mwaka...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Manchester United ndiyo umefanya watanzanIa waache kuangalia ligi ya Uingereza

    Kuanza kuonekana Kwa ligi ya Uingereza hapa nchini kulikuja wakati Manchester United ikiwa kwenye kilele Cha mafanikio. Enzi za kina Dwight Yorke na mwenzake Andy Cole mpaka zama za kina David Beckham, ligi ya Uingereza ilikuwa na mashabiki wengi sana Tanzania. Lakini baada ya kuondoka Kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Kagera, Fatma Mwassa atembelea vituo vya kura kuangalia maendeleo

    Mkuu wa mkoa wa Kagera Khajati Fatma Mwassa akiwa kituo cha kilima hewa kata Kashai akiangalia namna wanavyoendelea kujitokeza kwa wingi kupiga kura .Pia ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi kuendelea kujitokeza katika vituo vilivyopo katika maeneo yao kupiga kura Pia soma > LIVE - LGE2024 -...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sijajutia kabisa safari yangu ya Morogoro kuangalia maeneo (ardhi) ya uwekezaji

    Heshima kwenu wakuu! Niliazimia siku Moja nitembelee morogoro wilaya ya Gairo na Mvumero! Hatimae ikawadia na ikaenda sawa sawia kabisaa... Kutoka kahama Hadi Gairo morogoro safari ilianza saa2:30. Gari ilikuwa na changamoto kadhaa hasa kuharibika na Hadi kufika saa9 arasiri nikawa nimewasili...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mtu akiwa anakaribia kukata roho huwa anaona aibu kuangalia usoni watu wanaokuwa karibu yake

    Kuna wale waliobahatika kushuhudia siku za mwisho za wapendwa wao wakiwa hospitali kuna Ile aibu wanaipata dakika za mwisho wakitaka kukata roho🥺nilipata kuishuhudia Sema nini wakuu Tuombe mwisho mwema Binafsi hio kitu imeniathiri sana kisaikolojia sana nilipata kumpa chakula marehemu masaa...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane kamwe huwezi kuangalia porno mwenyewe bila kupiga punyeto

    ni asilimia 1 tu ya wanaume walio na access ya kuangalia porno kila siku ama kila saa bila kujichua.ulidanganywa ulipoambiwa picha za ngono ni kwa ajili ya kujifunza style za tendo la ndoa. Porno ni kwa ajili ya ku stimulate.Na wengi sana hujichua ndani ya maofisi,ndani ya vyumba vyao na...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wanatakiwa kufosiwa kuangalia mechi za Man Utd kama sehemu ya adhabu yao 😂

    Tumemshinda brentford ila bado sana tunasusua.
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nani aliwafundisha wanywaji bia kupima ubovu wa bia kwa kuangalia povu?

    Wanywa bia huu ushamba wa kumwaga bia chini ili kuangalia povu kisha kusema bia imeharibika au nzima nani aliwadanganya? Huwa nawaona mnavyobishana na wahudumu kuhusu bia kama ni nzima kwa kumwaga na kuangalia povu natamani walinzi wawapige tanganyika jeki na kuwatupa nje.
  10. danhoport

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuangalia size ya tairi ya gari

    Kutambua size ya tairi ya gari yako ni rahisi. Unaweza kupata habari hii kwenye ukuta wa tairi yako, Maelezo haya yanaorodhesha ukubwa na vipimo vya tairi lako, pamoja na kuhakikisha inatii viwango vya usalama. Kila sehemu ya nambari inasimamia nini: Upana(width) - Upana wa tairi katika...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Teruso, yaani aliyeokoka kuuawa kwa upanga wa miungu

    TERUSO YAANI ALIYEOKOKA KUUAWA KWA UPANGA WA MIUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Tena siku zile nikasema acha nifuate njia zangu mwenyewe. Nimechoka kuwa chini ya MUNGU. Nitatumia nguvu zangu mwenyewe. Akili zangu mwenyewe. Wala sitaki Tena kuongozwa na huyo...
  12. Ibanda1

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Jinsi ya kuangalia fine kwenye gari ama leseni

    Habari za jioni wanajukwaa; Wiki moja iliyopita niliandikiwa fine kwa makosa mawili na traffic ila akaniambia hawezi kunipatia risiti kwa sababu mtandao ulikuwa unasumbua hivyo akaniagiza nikimuona traffic yeyote nimuombe hiyo risiti ili niweze kulipa deni. lakini nikakumbuka siku za nyuma...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Je, TBS wana kitengo cha ukaguzi wa vifaa vya kielektroniki kwa ajili ya kuchunguza simu na betri zinazoingizwa nchini?

    Shambulio ambalo kawaida linaitwa la kigaidi lililofanywa na Israel nchini Lebanon lazima lituzindue na kutufanya tuanze ukaguzi wa kina wa vifaa vya kielektroniki vinavyoingia nchini. Je, kitengo hicho kipo TBS? Kuanzia sasa, ni muhimu kwamba simu na betri zinazoingizwa nchini zifanyiwe...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Muda umefika kukaa ukumbini kuangalia televisheni ni dalili za umasikini

    Historia ya upashanaji habari ni ndefu sana. Sitaki nianzie mbali sana. Kutokana na kasi ya maendeleo ya kielimu na ukuaji wa teknolojia tumeshuhudia kupungua kasi ya usomaji magazeti mpaka magazeti makubwa duniani ikabidi yapotee au kujibadili kuwa ya kielektonik. Miaka si mingi sana na redio...
  15. Salahan

    JamiiForums Tanzania Kwani kuangalia Movie Na Series Ni Hatari Kwa Afya Yako

  16. hp4510

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yoyote mwenye hisense TV ambae anaweza kuangalia Azam app?

    Wakuu habari Nina TV ya hisense ambayo ni smart TV Sasa kila nikitaka kuangalia Azam max siwez kulogin Nimeweka na video hapo chini Msaada please
  17. Mbuzi sharobaro

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikwambia anapenda kuangalia Ponographia anamanisha nini?

    Vipi wakuu Kuna huyo sister ni jirani yetu Sasa katika kupiga story amegusia hilo swala kuwa yeye anapenda sana kuangalia pornography. Hapa najiuliza kwasababu Gani aniambie Mimi Kuna mawazo positive yananijia kuwa anataka rungu nini
  18. T

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuangalia AzamTV Max kwenye Android/Google TV

    Hii ni kwa ajili ya TV na device zinazotumia Android/GoogleTV tu hii haisupport app ya Azam bila shida nyingi za sideloading. Mfano ni Chromecast, Mi TV stick/box, baadhi ya TV za Sony, Hisense, TCL, Nvidia Shield etc. Hii haihusu TV za Samsung (Tizen), AppleTV, LG (WebOS), VIDAA OS, na TV Box...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale Wazee wa Link hebu nipeni Link ya Kuangalia Mtanange wa Leo kwani Mtaalam wangu wa Zanzibar kaniambia nifurahi kuanzia sasa

    Kama unaijua Link yoyote ile ambayo itaonyesha huu Mtanange niwekee hapa kwani tayari Kazi imeshakwisha Zenji.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mlio nje ya Tanzania mtatumia Mbinu gani kuangalia katika Simu haya Matukio ya tarehe 3, 4 na lile Kubwa la 'Kufa Jitu' la tarehe 8?

    Ni matukio ambayo GENTAMYCINE sitaki kabisa kuyakosa hasa hasa lile la tarehe 8 August, 2024 litakalokufa Jitu huko.
Back
Top Bottom