Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

Joja empire

Member
Aug 29, 2023
7
12
Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu.

Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima hatujaonana anaishia kupiga video call tu. Kila nikichukua uamuzi wa kumuacha analia na kuomba nisimuache eti ananipenda sana! Kila ninachokiomba ananipa isipokuwa muda tu, sasa mi nashindwa kufurahia mahusiano yangu cjui nafanyaje 😭
 
Hapa katiba mpya hakuna kwa hizi akili
20230731_031759.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom