kiswahili

  1. Geza Ulole

    Tanzania to assist in Botswana's pursuit to teach Kiswahili in her schools

    Kiswahili: Tanzania offers to assist Botswana By Jacob Mosenda Dar es Salaam. Tanzania said yesterday that it would cooperate in every possible way with Botswana after the southern African nation announced plans to start teaching the Swahili language as a subject in schools. On Tuesday, the...
  2. Miss Zomboko

    Botswana yapanga mipango ya kuanza kutumia lugha ya Kiswahili Shuleni

    Botswana aims to introduce Swahili language in the southern African country's local schools, a senior official said Tuesday. At a language teaching workshop in Francistown, Botswana's second-largest city, Fidelis Molao, Botswana's Minister of Basic Education, said that Swahili language will be...
  3. luangalila

    Airtel rekebisheni Kiswahili katika hizi SMS zenu

    Wanasema bando yako. Jamani watalam wa Kiswahili . Je ni sahihi kusema bando yako? Mimi nafikiri sahihi ni kusema Bando lako.
  4. Red Giant

    Bidhaa zinazosajiliwa nchini ziwe na maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili

    Wakuu habari Kuna hii shida ya bidhaa kutoka nje kukosa maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili. Mi utakuta umenunua dawa lakini ina maelezo ya kiarabu, kifaransa kiingereza, kirusi nk lakini si kiswahili na watumiaji ni waswahili. Iko hivyo kwenye kila bidhaa na zingine zinazalishwa...
  5. Zephiline F Ezekiel

    Naomba Mnisaidie Hili Neno, ni Matahira au Matahila?

    Msaada wenu uwe wa hakika maana ninataka kutumia neno hilo sehemu hivyo nimechanganywa sana na usahihi wake kwakuwa nakutana na sentensi zinazoyatumia yote kwa maana moja hivyo nikumbusheni wakuu
  6. satobea

    Nahitaji kujifunza kuzungumza kiswahili sanifu; tuanze na neno timbwili

    Habari Natamani sana kujua kukiongea kiswahili sanifu chenye mtiririko wa maneno. Ombi langu nijue mengi hapa JF. Naomba tuanze na neno timbwili; maana yake nini? Linatumikaje kwenye sentensi? Tujifunze lugha na tuienzi, Kiswahili kitukuzwe
  7. Mstahiki Mea

    Kiswahili kinakosa nguvu za kiuchumi

    Kiswahili hakijaenea leo wala jana kuingia Bara na sehemu nyingi za Afrika kwa ukubwa kiswahili kilienea karne ya 20 (Wakati wa wakoloni hasa waingereza na wengineo). > Shughuli za kiuchumi hasa biashara ilisaidia pakubwa lugha ya Kiswahili kupiga hatua katika karne hiyo ya 20. Nami Nafikiri...
  8. M

    GE2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

    Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu. Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
  9. Umojaaaaa

    Wimbo wa Taifa wa "Umoja wa Afrika"/kwa Kiswahili

    Umoja Wa Afrika ulichagua Kiswahili kama lugha ya wimbo wa taifa wa Afrika
  10. FRANCIS DA DON

    Naomba kujua, andiko la lugha ya Kiswahili lenye umri mkubwa kabisa ni miaka mingapi?

    Je, karatasi yenye umri mkubwa kabisa ya maandishi ya lugha ya kiswahili ina umri gani / iliandikwa mwaka gani?
  11. A

    Nani ashawahi kukisoma hiki kitabu cha picha za kiswahili kinaitwa HATIA? Tukumbushane

    Ni kitabu cha hadithi kimeandikwa kwa kiswahili, jina la hicho kitabu cha hadithi kinaitwa "HATIA"..actually hicho kitabu cha hadithi kiko kwenye mfumo wa picha za katuni za watu, zilizochorwa vizuri wakiongea Atakaeniambia jinsi story ya hii hadithi ya HATIA ilivyo na jinsi ilivoisha, ntajua...
  12. Tuttyfruity

    Raha na fahari ya Kuongea Kiswahili

    Wakati naishi Tz kiswahili nilitumia kama means of communication. Sikuona umuhimu wake hata kidogo. Sasa nipo nchi za watu ki ukweli hakuna raha nnayoskia kama kukutana na watu wanaongea kiswahili. Kingereza kinachosha jaman. Kuna muda nataka nipumzishe akili, kingereza Kinahitaji kutumia...
  13. MK254

    Akili kubwa - UoN Kiswahili Lecturer Awarded in US

    The University of Nairobi continues to record honourable milestones after a Kiswahili lecturer from the institution bagged an award in the US. In a statement from the university released on Tuesday, August 18, Prof. Iribe Mwangi, the Chairman, Department of Kiswahili was awarded by the...
  14. Infantry Soldier

    Mabalozi wapya wa kigeni wakipewa vitabu vya kujifunzia Kiswahili (Diplomatic Gift) itasaidia kuitangaza vema lugha yetu?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
  15. U

    Lugha ya kiswahili na mitandao ya kijamii

    Nina hoja naleta kwenu tuijadili. Je, mitandao ya kijamii inasaidia kuboresha lugha yetu ya Kiswahili maana watumiaji ni wengi na vile vile wafuatiliaji wa hiyo mitandao ni wengi. Mifano hai ni katika siku za karibuni kumeibuka maneno mapya toka mitandao ambayo hapo kwenye matumizi ya...
  16. Analogia Malenga

    Waziri Mwakyembe aiagiza BAKITA kudhibiti upotoshaji Kiswahili

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), kuwasajili wafasiri, wakalimani na wataalamu wa lugha ya alama, ili kuboresha matumizi fasaha ya Kiswahili na kuzuia upotoshaji. Pia, amewataka BAKITA kuwabana wachapishaji wa...
  17. fasiliteta

    Wakenya mnatuharibia Kiswahili

    Hivi kwanini msiongee English mnayoitambia tu kuliko kuongea Kiswahili mnachotuharibia sana katika matamshi mpaka kuonekana mnatukana muda mwingine. "NENDA KANIINGILIE" "VENYE UKIKWENDA" "SI UKUJE". Nyi hata mke kwenu mnaita BIBI.
  18. S

    Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA), muda umefika sasa

    Wakati klabu ya AS Roma inatoa salamu za pole kwa Watanzania kwa kutumia lugha ya Kiswahili, Wabongo wengi tulikuwa na hamu ya kujua ni Mtanzania gani mwenzetu alopewa hilo shavu uko Rome Italy. Ajabu wadukuaji wakatudukulia; Mkenya ndio amekamatia hiyo nafasi, mimi kama mimi nikaanza kuwaza...
  19. FrankLutazamba

    Utafiti katika Lugha ya Kiswahili, Nimegundua kati ya maelfu ya maneno ya Kiswahili kuna neno moja tu linaloundwa na irabu pekee

    Nimegundua kati ya maelfu ya maneno ya Lugha ya Kiswahili kuna neno moja tu la ilabu tupu nalo ni UA, kwa kumbushia tu, ilabu ni a, e, I, o, u. Na herufi zote zilizobaki ni konsonati, na ili neno liwe neno lazima uwepo mchanganyiko wa konsonati na ilabu mfano Uzi, hapo tunaona z ni konsonati...
  20. FrankLutazamba

    Mnaombaje Green Card ya USA? Nataka nijaribu nikafundishe Kiswahili huko na je huwa siyo ya magumashi?

    Jamani Green card inaombwaje, mnaojua mtusaidie tukafundishe lugha yetu tamu na adhimu ya Kiswahili, mlioshinda na wenye uzoefu naomba mniongoze njia. Nataka nikale baga na piza ila nitawamisi senene, mbege, dagaa wa Kigoma na Mwanza, Kisamvu na msusa wa karanga. Basi nitafanyeje!
Back
Top Bottom