Idhaa ya Kiswahili Ya Radio France International Wiki ijayo itafunga ofisi zake Tanzania na kuhamishia Nairobi Nchini Kenya.
Sababu Ni kushindwa kukubaliana Kuhusu mkataba mpya Baina ya RFI Kiswahili na serikali kupitia Shirika la utangazaji TBC baada ya ule wa awali Wa miaka kumi kumalizika...
Nimesoma kwa ufasaha Taarifa zilizoandikwa na Mwandishi Tom Wilson kwenye Gazeti la FINANCIAL TIMES akiwa Uingereza kuwa baadhi ya viongozi wa Jamii ya Tanzania wakiongozwa na Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu yangu Zitto Kabwe kuiomba Benki Kuu ya Dunia kuahirisha kuipa Tanzania Dollar Milion 500 za...
Kijana mhitimu wa Shahada, stashahada au astashahada hajui Kiswahili fasaha, cha ajabu wengine chuo kikuu wamesoma Shahada ya Elimu na Lugha. Ukipitia kurasa zao Facebook au instagram utaona wameandika hovyohovyo halafu utamsikia anamlaumu Magufuli.
Unataka uwe mwalimu ukawafundishe upumbavu...
Huu ndio wakati wa kuanza kutumia lugha ya Kiswahili kufundishia katika ngazi zote za elimu nchini
Pamoja na Kiswahili kupitishwa na Sera ya elimu mwaka 2014 bado hakijaanza kutumika kufundishia masomo katika elimu ya upili na elimu ya juu.
Sera ya Elimu ya mwaka 2014 inasema Kiswahili pamoja...
Can anyone please help me with the translation of the word "ritual" into Swahili?
I am thinking in the meaning of religious ritual.
For example, priests in the Old Testament had to wash before offering sacrifices. This necessary act of washing would be called a' ritual'. Washing is also a...
Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza hapo juu, ninahitaji kujua matumizi hasa ya -to- na -ta- . Je ni sahihi kutumia maneno mfano "Kama hutojali" badala ya "Kama hutajali" au "Sitosahau" badala ya "Sitasahau", Kama ni sahihi, je yanatumika vipi na wakati gani?
Baadhi ya Wanamibia wanapinga lugha ya kiswahili kufundishwa mashuleni. Wanasema afadhali wafundishwe lugha za mama zao. Soma
=======
WINDHOEK - The country’s official opposition, the Popular Democratic Movement (PDM), has joined the chorus of some Namibians in rejecting the mooted plans to...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amesema Tanzania ilizembea kupata fursa ya kufundisha lugha ya Kiswahili nchini Afrika Kusini na kusababisha fursa hiyo kuangukia kwenye nchi nyingine.
Akizungumza katika hafla ya kuwaapisha...
Bunduki ni silaha nzuri sana. Toka igunduliwe, bunduki imewasaidia watu katika mambo mengi. Imewasaidia watu kwa kuwapatia kitoweo kama vile kwale – nakumbuka nilipokuwa mdogo, baba yangu alikuwa akinichukua porini kwenda kuwinda kwale. Bunduki pia imewasaidia watu katika kujilinda dhidi ya...
Ukiangalia matokeo ya darasa la saba 2019 kwa mfano shule za english medium ndizo zimeongoza kwa ufaulu kwenye somo la kiswahili kuliko shule zinazotumia lugha ya kiswahili kwenye masomo yote
Hii inamaananisha nini?
====
Pia raia wa China Congcong Wang aliongoza somo la Kiswahili ambalo...
Wana JF, tazameni hiyo video muone jinsi wanafunzi wa Kimarekani wanaosomea lugha ya kiswahili huko Chuo Kikuu Cha Indiana (Bloomington Campus) wakiendesha mdahalo wa Wagombea Urais wa Tanzania kwa kuchambua hoja mbalimbali ambazo ni kipaumbele na changamoto zinazozikabili taifa. Wako mstari wa...
Wacha leo niseme juu ya hii kitu
1. Kwanza ni nini? Jina lake ni utoko kwa Kiswahili sanifu kabisa, tofauti na wengi hasa waislam (samahani lakini ni kuelimishana tu maana wengine mtapanic hapa tu) mlivyoaminishwa kuwa ni uchafu si uchafu, unapotoka nje kwenye chupi hapo ni uchafu lakini ukiwa...
SHULE zote za msingi nchini Uganda, Januari mwakani zitaanza kufundisha lugha ya Kiswahili na baadae kufanya mitihani kwa lugha hiyo. Hatua hiyo imeelezwa ni mkakati wa nchi hiyo, kutaka kujitanua katika Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kuona nchi nyingine wanachama wa jumuiya hiyo na nje ya...
Kwenu Waungwana, Wakongo na wasio Wakongo lakini wanaoelewa Kiswahili cha Kongo ambacho ndani yake lazima ukumbane na "Mafranshyee" na Lingala. Hapa chini nina 2 minutes audio. Nime-rewind mara kumi kumi, lakini nimeshindwa kabisa kuelewa jamaa anaongea nini!
Sasa kama kuna anayeelewa, please...
TANGA KWETU
Ni ukweli usiopingika kuwa wazungumzaji wazuri wa lugha ya kiswahili ni watu wa pwani, jambo hili limechangiwa na sababu kadha wa kadha lakini kubwa ni sababu za kihistoria na maingiliano ya watu wa pwani na jamii za kale za waarabu waliofika na kufanya makazi katika ukanda huu miaka...
Wakuu habari za weekend,
Naomba msaada wa haraka wa namna ya kupata mboga hizi na ikibidi mbegu zake. Na je, nikienda sokoni niziulize kwa majina yapi, maana nimeelekezwa na mtu ambaye si Mswahili naye kazitaja kwa majina haya:
1. Watercress
2. Parsley
.
Salamu kwenu wote.
Jina langu ni Jeremiah Rotich, kutoka nchi ya Kenya. Ningependa kuchukua fursa hii kuwatangazia kuwa nimeanzisha shirika/ mradi linalowania kutengeneza Mfumo wa Matumizi (Operating System) kwa lugha ya Kiswahili. Wengine wenu mnaweza kuwa mnafahamu uwepo wa kilinux...
1. Usimpigie mtu simu kwa zaidi ya mara mbili mfululizo. Ukishaona simu yako haipokel'ewi basi elewa kuna sababu ya msingi acha subiri akupigie pindi atakapoona ulimtafuta.
2. Rejesha pesa ulizokopa bila kusubiri kukumbushwa na aliyekukopesha. Hiyo inaonesha uadilifu wako na tabia yako. Vivyo...
NA RAJAB MKASABA, IKULU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Jumuiya ya Majaji na Mahakimu ya Nchi za Afrika Mashariki (EAMJA) kuhakikisha sheria zinatafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili.
Alisema hatua hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.