kiswahili

  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongofleva sasa kupewa misamiati kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili

    Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema watawapa wasanii misamiati mipya kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili. Miongoni mwa wasanii hao ni Daimond, Ali Kiba, Harmonize, Zuchu, Nandy, Maromboso, Rayvan na wengine...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"?

    Habari za wakati huu jamiiforums. Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"? Binafsi ninaona kama wanasiasa wamewasahau sana hawa akina dada wanaotoa huduma kwa wateja kule bar. Neno mama...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kama ombi la Profesa Kabudi litakubaliwa huko UNESCO basi tarehe 07 Julai kila mwaka itakuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani

    Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 Julai ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani. Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari: Bidhaa za kigeni ziandikwe kwa Kiswahili

    Naibu Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema bidhaa zote za kigeni zinazoingia nchini zitafutiwe utaratibu wa kutafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili. Na bidhaa ambazo zinazalishwa nchini ziwekewe utaratibu wa kuwa na maelezo ya Kiswahili ili kumrahisishia mtumiaji wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kubadili sheria kuwa kwa Kiswahili hakuna budi kwenda sambamba na kubadili mitaala iwe ya Kiswahili

    Huwezi kutaka sheria ziwe kwa lugha ya Kiswahili, halafu wakati huohuo unawatrain wanasheria wako kwa Kiingereza, kufanya hivyo ni kujaribu kuweka mkokoteni mbele ya punda ausukume kwenda mbele. Kitu cha kuzingatia katika maamuzi haya ni Je, Taifa limejiandaa kikamiifu kutunga sheria na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tujikite kwenye Kiswahili au tujifunze lugha za kimataifa?

    Tatizo la lugha linaendana na uwezo wa kiuchumi na ukubwa wa idadi ya watu wanaozungumza lugha husika. Tanzania tumeanza kupigania lugha ya Kiswahili itambulike Duniani lakini tunapaswa kujiuliza tatizo ni lugha au tatizo ni kukuza uchumi? China wapo wengi lakini maamuzi na mikataba au sheria...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Somo la Historia litafundishwa rasmi kwa Kiswahili au kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku Somo la Sasa likibaki Kama kawaida?

    Najiuliza swali Hili: Kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku somo la Sasa likiendelea kufundishwa kwa kingereza? Je kutakuwa na somo jipya la Historia ya Tanzania litakofundishwa kwa kiswahili kuanzia daraasa la kwanza hadi form six ambalo ni la lazima? Kimbukeni Rais kasema Historia ya...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuweka vituo vya kufundisha Kiswahili kwenye Balozi zake

    Serikali nchini imeagiza uwepo wa vituo rasmi ya kujifunzia lugha ya Kiswahili katika nchi zenye balozi lengo likiwa ni kupanua matumizi ya lugha hiyo kimataifa. Akizungumza leo bungeni jijini Dodoma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hatua hiyo itasaidia kufungua fursa za kiuchumi ikiwemo...
  9. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Watunzi wa maneno ya kiswahili wanakifanya kigumu

    Hoja yangu ni fupi. Tunaelewa bidii kubwa inafanyika kiswahili kijitosheleze kwa misamiat kadri dunia inavyozalisha vitu vipya. Lakin naona baraza la kiswahili wanatumia njia moja zaid ya kutohoa maneno toka mfano kiingereza na kuunda kiswahili chake. Matokeo yake tunapata misamiat migumu kias...
  10. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Naombeni majibu ya swali hili la Kiswahili

    Naombeni majibu ya swali hili. JADILI mchango wa tamthiliya andishi ya Kiswahili katika historia ya Tanzania.
  11. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

    Habari zenu JamiiForums. Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza...
  12. Geza Ulole

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Kiswahili anahitajika

  13. F

    JamiiForums Tanzania Je, miwala, shira ni nini? Na mbona shira ya Zanzibar inasifiwa? Nisaidieni mi ni Mkenya kiswahili taabu huku

    Msimbazi qwota ni wapi? Shira ni nini? Miwala ni nini? Mbona shira ya Zanzibar inasifiwa? Napenda saana nyimbo za Tanzania lakini kiswahili wakati mwingine balaa ...nsaidieni mi ni mkenya na kiswahili huku balaa kidogo.
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Hii hapa hukumu ya Kiswahili iliyotolewa na aliyekuwa Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania Mh. Galeba

    Nimeisoma hukumu hii na kwa maoni yangu JPM ametenda haki kumpandisha cheo. Aidha nitoe rai kwa vyuo vyetu vikuu vione namna ya kutambua mchango wa Jaji Galeba wafikirie kumpa Udaktari wa heshima.
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tusidanganye umma wa Watanzania, kutotumia Kiswahili kuandika hukumu sio sababu ya kunyima haki Wananchi

    Viongozi wetu najua mna nia njema kabisa ya kutaka kukuza lugha yetu ya taifa, Kiswahili. Pamoja na kuwa na nia njema ya kukuza lugha ya Kiswahili tuwe wakweli kuwa majaji na mahakimu kutumia kiingereza kama lugha ya kurekodi kumbukumbu za mwenendo wa kesi sio sababu ya kunyima raia haki zao...
  16. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tuishie kwenye kuandika hukumu kwa lugha adhimu ya Kiswahili au twende mbali zaidi?

    TUISHIE TU KWENYE KUANDIKA HUKUMU AU TWENDE MBALI ZAIDI? Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mh Rais alimpongeza Jaji wa Mahakama kanda ya Msoma ambaye aliandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili. Mh Rais hakuishia kumpongeza tu, bali jana hiyo hiyo alimteua kuwa Mhe Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa...
  17. 2019

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli shujaa wa Kiswahili hakuna ubishi

    Sitaki kuongea mengi ila toka ameingia 2015 mpaka kufikia hotuba yake ya jana ni dhahiri huyu mzee amekuza Kiswahili sana. Nimependa sana anavyojiamini, hata akiwa na mgeni badala ya kuwa mtumwa wa lugha amekuwa shujaa wetu. Tumpongeze kwa hilo tafadhali. Zamani, Watanzania wengi walifichwa...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amuapisha Jaji Zephrine Galeba kuwa jaji wa mahakama ya Rufaa

    Jaji wa Mahakama Kuu wa Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba alietuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufaa kutokana na kuandika Kiswahili katika moja ya hukumu alizowahi kuzitoa. Leo Rais Magufuli anamuapisha rasmi Dodoma, kuwa nami kukujuza yanayojiri. === 10:22 Asubuhi: Jaji Galeba anatia saini...
  19. mose

    JamiiForums Tanzania Farsight Instutute katika lugha ya Kiswahili...

    Habari Wanajamii, Ni kwa furaha tukaribishane katika jamvi la Habari, Mafunzo na Utaalam wa 'Ukiona Mbali katika Lugha ya Kiswahili'.... Farsight Institute, ikishughulika kutoka Atlanta, GA, hivi karibuni imemtambulisha Intysam Goldsmith kwenye jukwaa la 'Uona Mbali' kama mtaarifu katika lugha...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahudhuria maadhimisho ya miaka 100 ya mahakama kuu

    Rais John Magufuli amehudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Mahakama Kuu nchini. Magufuli amesema mahakama kuu ilianzishwa Januari 3, 1921 wakati Tanganyika ikiwa koloni la uingereza. Rais ametoa pole kwa watumishi wamahakama ambao wamefariki dunia. Pia Rais amesisitiza kwa somo la Historia...
Back
Top Bottom