kiswahili

  1. B

    Tujikite kwenye Kiswahili au tujifunze lugha za kimataifa?

    Tatizo la lugha linaendana na uwezo wa kiuchumi na ukubwa wa idadi ya watu wanaozungumza lugha husika. Tanzania tumeanza kupigania lugha ya Kiswahili itambulike Duniani lakini tunapaswa kujiuliza tatizo ni lugha au tatizo ni kukuza uchumi? China wapo wengi lakini maamuzi na mikataba au sheria...
  2. F

    Hivi ni Somo la Historia litafundishwa rasmi kwa Kiswahili au kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku Somo la Sasa likibaki Kama kawaida?

    Najiuliza swali Hili: Kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku somo la Sasa likiendelea kufundishwa kwa kingereza? Je kutakuwa na somo jipya la Historia ya Tanzania litakofundishwa kwa kiswahili kuanzia daraasa la kwanza hadi form six ambalo ni la lazima? Kimbukeni Rais kasema Historia ya...
  3. Miss Zomboko

    Serikali ya Tanzania kuweka vituo vya kufundisha Kiswahili kwenye Balozi zake

    Serikali nchini imeagiza uwepo wa vituo rasmi ya kujifunzia lugha ya Kiswahili katika nchi zenye balozi lengo likiwa ni kupanua matumizi ya lugha hiyo kimataifa. Akizungumza leo bungeni jijini Dodoma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hatua hiyo itasaidia kufungua fursa za kiuchumi ikiwemo...
  4. Inkotanyi 94

    Watunzi wa maneno ya kiswahili wanakifanya kigumu

    Hoja yangu ni fupi. Tunaelewa bidii kubwa inafanyika kiswahili kijitosheleze kwa misamiat kadri dunia inavyozalisha vitu vipya. Lakin naona baraza la kiswahili wanatumia njia moja zaid ya kutohoa maneno toka mfano kiingereza na kuunda kiswahili chake. Matokeo yake tunapata misamiat migumu kias...
  5. SirSalumu

    Naombeni majibu ya swali hili la Kiswahili

    Naombeni majibu ya swali hili. JADILI mchango wa tamthiliya andishi ya Kiswahili katika historia ya Tanzania.
  6. Infantry Soldier

    PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

    Habari zenu JamiiForums. Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza...
  7. Geza Ulole

    Mwalimu wa Kiswahili anahitajika

  8. F

    Je, miwala, shira ni nini? Na mbona shira ya Zanzibar inasifiwa? Nisaidieni mi ni Mkenya kiswahili taabu huku

    Msimbazi qwota ni wapi? Shira ni nini? Miwala ni nini? Mbona shira ya Zanzibar inasifiwa? Napenda saana nyimbo za Tanzania lakini kiswahili wakati mwingine balaa ...nsaidieni mi ni mkenya na kiswahili huku balaa kidogo.
  9. comte

    Hii hapa hukumu ya Kiswahili iliyotolewa na aliyekuwa Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania Mh. Galeba

    Nimeisoma hukumu hii na kwa maoni yangu JPM ametenda haki kumpandisha cheo. Aidha nitoe rai kwa vyuo vyetu vikuu vione namna ya kutambua mchango wa Jaji Galeba wafikirie kumpa Udaktari wa heshima.
  10. Nyankurungu2020

    Tusidanganye umma wa Watanzania, kutotumia Kiswahili kuandika hukumu sio sababu ya kunyima haki Wananchi

    Viongozi wetu najua mna nia njema kabisa ya kutaka kukuza lugha yetu ya taifa, Kiswahili. Pamoja na kuwa na nia njema ya kukuza lugha ya Kiswahili tuwe wakweli kuwa majaji na mahakimu kutumia kiingereza kama lugha ya kurekodi kumbukumbu za mwenendo wa kesi sio sababu ya kunyima raia haki zao...
  11. Elius W Ndabila

    Tuishie kwenye kuandika hukumu kwa lugha adhimu ya Kiswahili au twende mbali zaidi?

    TUISHIE TU KWENYE KUANDIKA HUKUMU AU TWENDE MBALI ZAIDI? Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mh Rais alimpongeza Jaji wa Mahakama kanda ya Msoma ambaye aliandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili. Mh Rais hakuishia kumpongeza tu, bali jana hiyo hiyo alimteua kuwa Mhe Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa...
  12. 2019

    Rais Magufuli shujaa wa Kiswahili hakuna ubishi

    Sitaki kuongea mengi ila toka ameingia 2015 mpaka kufikia hotuba yake ya jana ni dhahiri huyu mzee amekuza Kiswahili sana. Nimependa sana anavyojiamini, hata akiwa na mgeni badala ya kuwa mtumwa wa lugha amekuwa shujaa wetu. Tumpongeze kwa hilo tafadhali. Zamani, Watanzania wengi walifichwa...
  13. Analogia Malenga

    Rais Magufuli amuapisha Jaji Zephrine Galeba kuwa jaji wa mahakama ya Rufaa

    Jaji wa Mahakama Kuu wa Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba alietuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufaa kutokana na kuandika Kiswahili katika moja ya hukumu alizowahi kuzitoa. Leo Rais Magufuli anamuapisha rasmi Dodoma, kuwa nami kukujuza yanayojiri. === 10:22 Asubuhi: Jaji Galeba anatia saini...
  14. mose

    Farsight Instutute katika lugha ya Kiswahili...

    Habari Wanajamii, Ni kwa furaha tukaribishane katika jamvi la Habari, Mafunzo na Utaalam wa 'Ukiona Mbali katika Lugha ya Kiswahili'.... Farsight Institute, ikishughulika kutoka Atlanta, GA, hivi karibuni imemtambulisha Intysam Goldsmith kwenye jukwaa la 'Uona Mbali' kama mtaarifu katika lugha...
  15. Analogia Malenga

    Rais Magufuli ahudhuria maadhimisho ya miaka 100 ya mahakama kuu

    Rais John Magufuli amehudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Mahakama Kuu nchini. Magufuli amesema mahakama kuu ilianzishwa Januari 3, 1921 wakati Tanganyika ikiwa koloni la uingereza. Rais ametoa pole kwa watumishi wamahakama ambao wamefariki dunia. Pia Rais amesisitiza kwa somo la Historia...
  16. J

    Rais Magufuli ampandisha cheo Jaji Zephrine Galeba aliyetoa hukumu kwa lugha ya Kiswahili kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

    Rais Magufuli amefurahishwa na kitendo cha Jaji wa mkoa wa Mara mhe. Jaji Galeba kwa kuandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili badala ya Kiingereza kama ilivyozoeleka. Na kwa maana hiyo Rais Magufuli amemteua Jaji Galeba kuwa Jaji wa mahakama ya Rufaa kuanzia leo. Maendeleo hayana vyama! FUNGUA...
  17. Mlenge

    Kiswahili cha Zanzibar

    Baadhi ya maneno yanayopishana mazoea au maana ya kutumika Zanzibar. 1. Mchirizi (Mfereji) 2. Umenifahamu? (Umenielewa) 3. Markiti (Sokoni). Edits, from posts in this thread: 4. Skuli (shule) 5. Chogo (kisogo) 6. Tungule (nyanya) 7. Ami (Rafiki) Tuendeleze na mengineyo
  18. Lycaon pictus

    SOFTWARE Soma vitabu vya kiswahili kwenye hii app

    Humu kuna vitabu mbalimbali vya kiswahili. Tumebadili namna ya ulipaji. Sasa unaweza kusubscribe kwa Tsh 6000 na kusoma vitabu vyote mwaka mzima. Kila mwezi tunaongeza vitabu kadhaa. https://play.google.com/store/apps/details?id=app.b.maktaba
  19. FRANCIS DA DON

    Je, Lugha inayotumikwa kwenye hii video ni Kiswahili cha wapi, au ni lugha gani hii?

    Kuna baadhi ya maneno ya kiswahili yanaeleweka, lakini mengine ni mfanano na mengine ni kama kilugha, ni lugha ya wapi hii hapa bongo?
  20. Mystery

    Hivi Mhimili wa Mahakama kipaumbele chenu kwa sasa ni kutafsiri lugha za sheria zenu na kuwa kwa Kiswahili?

    Katika nchi yetu kila mwaka huwa tunakuwa na wiki moja ambayo huwa tunaiita ni wiki ya sheria nchini, ambapo tumeianza rasmi tarehe 24/1/2021 na kilele chake kitakuwa tarehe 1/2/2021. Ninajua kumekuwa na juhudi kubwa sana toka kwenye mhimili mmoja ambao ni serikali "kuulazimisha"...
Back
Top Bottom