Wanaume wa kiswahili ni shida

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!!

Leo nilikuwa kwenye restaurant mojo nikiwa nimetulia .

Mara majamaa wawili wakaingia wakiwa na mke na watoto wawili..nahisi nimke wa mmoja wapo.

Mara wakaagiza msosi na juice,baada yakunywa juice kidogo mara jamaa akashauti hii juice sio nzuri..hata sisi tunatengeneza sio nzuri.

Nikawa najiuliza hivi anayepaswa kulalamika ni mwanamke au mwanaume.

Au ni sawa mwanaume kuanza kulalamika maeneo ya hotel kuliko mwanamke.

Ila ingekuwa mimi ningetulia alafu kama imenishinda naonja kidogo sana alafu tunaacha..hapo wao wenyewe wangepata jibu in action.
 
Kwa hiyo wazungu ndo hawaulizi quality ya chochote wanacho nunua?
 
Kila mtu ana ulimi wake sasa kwanini unamtaka mwanamke ndio alalamike, labda yeye kaipenda juisi.
 
Yaani kwamba kama kitu sio kizuri uonje kidogo then uache ndio umetatua tatizo. Je akichukulia umeshiba? Kumbuka hapo atalipa pesa haijalisha alionja tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom