kiswahili

  1. GuDume

    JamiiForums Tanzania Hii ni Tabia ya Kiswahili ni ya hovyo na inakera sana

    Kumekuwa na matumizi mabaya ya kukera ya simu. 1. Mtu anakupigia simu hujapokea anaendelea kupiga tena na tena. Ukija mpigia baadaye unamuuliza shida nini anakwambia alikuwa anakusalimia tu. Ukiona umepiga simu mara moja mtu hajapokea acha usumbufu. Tulia akiwa Ok atakupigia. 2. Mtu hakudai...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Kiarabu yana maana gani katika nembo ya Zanzibar University ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni Kiingereza na Kiswahili?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania, eti; Maneno haya ya kiarabu yana maana gani katika nembo ya "Zanzibar University" ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni kiingereza pamoja na Kiswahili? MAELEZO MACHACHE SANA KUHUSIANA NA "ZANZIBAR...
  3. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

    Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko. Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini. Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea...
  4. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Lugha rasmi kwenye kampeni ni Kiswahili

    Nimemsikiliza Katibu ya Tume ya Uchaguzi NEC Mr. Kawishe akihojiwa na Channel 10. Huyu jamaa anazijua Sheria za NEC na moja ya sheria hizo ni kutumia lugha ya Kiswahili kama official language kwene Kampeni na mtu akitumia lugha zingine kama KABILA FULANI anakuwa amekiuka Maadili na anatakiwa...
  5. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Kwa Kichagga zinaitwa "ngoda" sijawahi kuziona popote zaidi ya Moshi. Zinaitwaje kwa kiswahili?

    Hizi ni tunda zinaitwa Ngoda,miiti yake ni mikubwa kama miparachichi tu. Kwa mwaka zinatoka mara 1 tu misimu ya miezi ya 12 mpka mwezi wa kwanza mwanzoni. Ladha yake ni chachu kwa umbali kama embe dodo ambalo halijaiva vizuri yani ina ugwadu kwa mbali. Ukila nyingi sana hutaweza kutafuna kitu...
  6. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania to assist in Botswana's pursuit to teach Kiswahili in her schools

    Kiswahili: Tanzania offers to assist Botswana By Jacob Mosenda Dar es Salaam. Tanzania said yesterday that it would cooperate in every possible way with Botswana after the southern African nation announced plans to start teaching the Swahili language as a subject in schools. On Tuesday, the...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Botswana yapanga mipango ya kuanza kutumia lugha ya Kiswahili Shuleni

    Botswana aims to introduce Swahili language in the southern African country's local schools, a senior official said Tuesday. At a language teaching workshop in Francistown, Botswana's second-largest city, Fidelis Molao, Botswana's Minister of Basic Education, said that Swahili language will be...
  8. luangalila

    JamiiForums Tanzania Airtel rekebisheni Kiswahili katika hizi SMS zenu

    Wanasema bando yako. Jamani watalam wa Kiswahili . Je ni sahihi kusema bando yako? Mimi nafikiri sahihi ni kusema Bando lako.
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zinazosajiliwa nchini ziwe na maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili

    Wakuu habari Kuna hii shida ya bidhaa kutoka nje kukosa maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili. Mi utakuta umenunua dawa lakini ina maelezo ya kiarabu, kifaransa kiingereza, kirusi nk lakini si kiswahili na watumiaji ni waswahili. Iko hivyo kwenye kila bidhaa na zingine zinazalishwa...
  10. Zephiline F Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Naomba Mnisaidie Hili Neno, ni Matahira au Matahila?

    Msaada wenu uwe wa hakika maana ninataka kutumia neno hilo sehemu hivyo nimechanganywa sana na usahihi wake kwakuwa nakutana na sentensi zinazoyatumia yote kwa maana moja hivyo nikumbusheni wakuu
  11. satobea

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza kuzungumza kiswahili sanifu; tuanze na neno timbwili

    Habari Natamani sana kujua kukiongea kiswahili sanifu chenye mtiririko wa maneno. Ombi langu nijue mengi hapa JF. Naomba tuanze na neno timbwili; maana yake nini? Linatumikaje kwenye sentensi? Tujifunze lugha na tuienzi, Kiswahili kitukuzwe
  12. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kiswahili kinakosa nguvu za kiuchumi

    Kiswahili hakijaenea leo wala jana kuingia Bara na sehemu nyingi za Afrika kwa ukubwa kiswahili kilienea karne ya 20 (Wakati wa wakoloni hasa waingereza na wengineo). > Shughuli za kiuchumi hasa biashara ilisaidia pakubwa lugha ya Kiswahili kupiga hatua katika karne hiyo ya 20. Nami Nafikiri...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

    Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu. Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
  14. Umojaaaaa

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa wa "Umoja wa Afrika"/kwa Kiswahili

    Umoja Wa Afrika ulichagua Kiswahili kama lugha ya wimbo wa taifa wa Afrika
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua, andiko la lugha ya Kiswahili lenye umri mkubwa kabisa ni miaka mingapi?

    Je, karatasi yenye umri mkubwa kabisa ya maandishi ya lugha ya kiswahili ina umri gani / iliandikwa mwaka gani?
  16. A

    JamiiForums Tanzania Nani ashawahi kukisoma hiki kitabu cha picha za kiswahili kinaitwa HATIA? Tukumbushane

    Ni kitabu cha hadithi kimeandikwa kwa kiswahili, jina la hicho kitabu cha hadithi kinaitwa "HATIA"..actually hicho kitabu cha hadithi kiko kwenye mfumo wa picha za katuni za watu, zilizochorwa vizuri wakiongea Atakaeniambia jinsi story ya hii hadithi ya HATIA ilivyo na jinsi ilivoisha, ntajua...
  17. Tuttyfruity

    JamiiForums Tanzania Raha na fahari ya Kuongea Kiswahili

    Wakati naishi Tz kiswahili nilitumia kama means of communication. Sikuona umuhimu wake hata kidogo. Sasa nipo nchi za watu ki ukweli hakuna raha nnayoskia kama kukutana na watu wanaongea kiswahili. Kingereza kinachosha jaman. Kuna muda nataka nipumzishe akili, kingereza Kinahitaji kutumia...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - UoN Kiswahili Lecturer Awarded in US

    The University of Nairobi continues to record honourable milestones after a Kiswahili lecturer from the institution bagged an award in the US. In a statement from the university released on Tuesday, August 18, Prof. Iribe Mwangi, the Chairman, Department of Kiswahili was awarded by the...
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wapya wa kigeni wakipewa vitabu vya kujifunzia Kiswahili (Diplomatic Gift) itasaidia kuitangaza vema lugha yetu?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Lugha ya kiswahili na mitandao ya kijamii

    Nina hoja naleta kwenu tuijadili. Je, mitandao ya kijamii inasaidia kuboresha lugha yetu ya Kiswahili maana watumiaji ni wengi na vile vile wafuatiliaji wa hiyo mitandao ni wengi. Mifano hai ni katika siku za karibuni kumeibuka maneno mapya toka mitandao ambayo hapo kwenye matumizi ya...
Back
Top Bottom