Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,342
- 6,468
Dada wa kizungu aamua kufunga ndoa na mwanaume wa kimasai na kuishi umasaini. Yeye anasema ni mapenzi baina yao ndio yanapelekea kuwa pamoja kwa muda wa miaka tisa.
Je, yaweza kuwepo sababu zaidi ya kupendana? Je, yaweza kuwa kuna kikolombwezo cha mapenzi yao? Au ule mtindo wa jando?
Je, yaweza kuwepo sababu zaidi ya kupendana? Je, yaweza kuwa kuna kikolombwezo cha mapenzi yao? Au ule mtindo wa jando?