Kwa anayejua abc kuhusu kilimo cha mtunda damu - passion fruits, naomba tuweze kupanuana maarifa kwa yafuatayo:-
1. Ardhi inayofaa kilimo hiki au hata green house
2. Upatikanaji wa mbegu bora
3. Soko la matunda hayo
4. Miche / shamba litadumu kwa muda gani ...
Nashukuru kwa mchango wakujenga...