Mamlaka tupieni jicho nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Kilimo (TADB)

Nanaado1010

New Member
May 14, 2021
1
5
Nampongeza Mheshimiwa Raisi Mama Samia kwa uteuzi wa ndugu Ishmael Andulile kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TADB. Pamoja na pongezi hizo ninakuomba mheshimiwa Raisi utupie jicho nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji kwani Ndugu Japhet Justine sio mtu sahihi kwa sababu zifuatazo:-

1. MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
  • Hivi karibuni alinunua gari binafsi kwa mkopo wa Benki ambao kwa mujibu wa kanuni na taratibu za mikopo kwa wafanyakazi, mkopo wake ungetakiwa kuidhinishwa na mamlaka yake ya uteuzi lakini hilo halikufanyika na mbaya zaidi alitumia nafasi yake kulipiwa kodi ya gari husika na Benki ya zaidi ya milioni ishirini fedha ambazo angepaswa kulipa mwenyewe. Ninakuomba utumie vyombo vyako kufuatilia hili.
  • Amehamia kwenye nyumba ambayo Benki inamlipia zaidi ya Tsh.6,000,000.00 kwa mwezi ambapo stahiki yake ya posho ya nyumba ni 15% ya mshahara wake wa mwezi na nina uhakika haiwezi kufika kiasi hicho. Nyumba aliyokuwa anakaa awali ilikuwa inalipiwa Tsh.2,3000,000.00 na haikuwa na tatizo lolote. Ikumbukwe kwamba mwaka 2020 alikuwa na kesi TAKUKURU kinondoni kwa kufanya ukarabati bila kufuata taratibu za mananuzi kwenye nyumba hiyo aliyohama cha ajabu kesi ile ilifutwa kwa amri kutoka juu na wale maofisa kuchukuliwa hatua kwa sababu aliwasingizia kwamba walikuwa wanamwomba rushwa. Ninaomba ufuatilie ukweli wa hili jambo na wale maofisa wapate haki yao.
  • Kukiuka taratibu za manunuzi. Imekuwa ni jambo la kawaida. Tender yeyote amabayo mzabuni amepatika na hana maslahi nae lazima ifutwe. Hi imepelekea kitengo cha manunuzi kushidwa kutekeleza wajibu wake inavyopaswa. Wakati anajiunga na Benki miaka mitatu iliyopita kitengo hicho kilikuwa na wafanyakazi wanne leo kinamfanyakazi mmoja tuu. Wengine wote wameondoka kwa sababu za kutakiwa kufanya kazi kwa matakwa yake binafsi.

    2. KUSHIDWA KUSIMAMIA SWALA LA RASILIMALI WATU KWA MUJIBU WA SHERIA NA TARATIBU
  • Upendeleo wa wazi katika kupandisha wafanyakazi madaraja na mishahara. Hakuna vigezo vinavyoeleweka katika hili.Hata asiyefikisha miaka mitatu anapandishwa ilimradi tuu ni mtu wake.Hili ni tatizo kubwa sana na linaadhiri sana mahusiano ya wafanyakazi kwani ni chanzo cha makundi. Hivi karibun tuu amefanya hivyo.
  • Kufukuza kazi wafanyakazi bila sababu za msingi na bila kufuata taratibu.Kesi za kutosha zipo Utumishi. Hili ni tatizo tangu ajiunge na Benki Benki imeshapoteza wafanyakazi zaidi ya 30 idadi hii ni kubwa mno kwa Benki yenye wafantakazi wasiozidi 70.
  • Matusi, Vitisho, Kejeli na dharau kwa wafanyakazi. Haya anayaonyesha waziwazi hata kwenye vikao na kujinasibu kwamba yeye ndo menyeakili kuliko watu wote ndiyo maana Hayati John Pombe Magufuli alimteua kuongoza Benki hiyo na anaheshimu uwezo wake.Hili limepelekea kila uchao wafanyakazi kuacha kazi. Kwa mfano tangu mwaka huu uanze wameshaacha wafanyakazi 05.
  • Swala la uhamisho wa wafanyakazi kwenda ofisi za kanda kutokea Dar limekuwa likitumiwa kama adhabu jambo ambalo sio sahihi hata kidogo. Yeyote anayetofautiana nae kimtazamo anahamishwa Katavi/Mbeya kama adhabu.
  • Amekuwa akiajiri wafanyakazi bila kufuata taratibu za ajira kwa watumishi wa umma.Hili limepelekea kuwa na watumishi wasio na sifa stahiki hasa kwenye ngazi za juu. Amekuwa akifanikisha hili kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa BOT. Wanatoa vetting safi hata kama mtu hana sifa kwa mujibu wa miongozo.
  • Anatumia kigezo cha poor perfomance kuwafukuza watu kazi lakini ukiangalia kwa undani hamna ukweli wowote kwani vigezo vya perfomance mpaka sasa ni kitendawili. UNAGUNDUA tuu kwamba kama mtu hampelekei majungu na umbea anakuwa poor performer.

    3. UPENDELEO KATIKA KUTOA MIKOPO
  • Zaidi ya 60% ya mikopo ya Benki imetolewa kanda ya ziwa na mingi haina tija.Hili lilifanyika kwa sababu ambazo sitaki kuzielezea hapa. Kwa sasa inatafutwa miradi kwa udi na uvumba kuelekea kanda ya kaskazini hasa wiliya moja ambapo anatoka moja ya mawaziri wa serikali ya awamu ya sita. HILI sio sawa kwa sababu linaleta ubaguzi kwa wananchi kwa kigezo cha kanda wanazotoka na lengo la kuanzishwa kwa Benki ni kwa kuwahudumia wananchi wote.
  • Kunabadhi ya mawaziri na wenza wao ambao wamekopeshwa au wanakaribia kukopeshwa na Benki. Ninaomba ulitizame hili kwani wanatumia nafasi zao na ukaribu walionao na Bwana Japhet Justine kulifanikisha hili.Mikopo hiyo itakuja kugeuka kilio kwa Benki.
  • Zimefanyika juhudi za makusudi kuhakikisha kwamba kurugenzi ya mikopo haiwi na mkurugenzi kwa zaidi ya mwaka mmoja ili Bwana Japhet Justine aweze kuendelea kudetect zoezi la utoaji mikopo. Jukumu kuu la Benki hii ni kutoa mikopo iweje kurugenzi husika kutokuwa na mtu kwa zaidi ya mwaka?. Hili halifanyiki kwa bahati mbaya ni mkakati wake wa makusudi mheshimiwa raisi.
  • Mikopo ya wafanyakazi wa Benki kwa mujibu wa taratibu za mikopo inatolewa kwa wale tuu anaowaona wako upande wake wengine wote wananyimwa mikopo kwa kigezo cha kwamba ni poor perfomers ukiuliza nikigezo kipi unatumia kumwita mtu poor perfomer kesho Katavi.
Nahitimisha kwa kuomba mamlaka zinazohusika kumsaidia mheshimiwa raisi kutafuta ukweli wa haya niliyoeleza hapo juu kwa nia njema ya kuiponya TADB
 
Kwanza niseme, sijui kama uliyoandika hapa yote ni kweli, au baadhi ni majungu sijui.

Lakini haijalishi, yawe kweli au sio, ni mambo muhimu sana kwamba haitakuwa busara kwa wahusika kutoyatilia maanani na kuchimba ukweli ulipo.

Jambo la muhimu ulilofanya ni kwamba umejipanga vizuri, na kuwasilisha hoja zako kwa mpangilio unaoeleweka vizuri.
Rais na wasaidizi wake ni rahisi kufuatilia haya yote na kuona ulipo ukweli.

Hii Benki mbona ni muhimu sana kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi kwa ujumla.
Hapa ndipo panapotakiwa kuwekewa nguvu zaidi ili wananchi waweze kunufaika na benki hii.
 
Bila shaka shutuma hizi zitanyiwa verification kujua ni kweli au kuna personal conflicts. Muhimu ukweli uwekwe wazi kazi iendelee!
 
Tuhuma hizi zinalingana na zile za Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa iliyokuwa TIB corporate Bank !
 
Kwa kweli mengi ni kweli mimi mhanga kukopeshwa nimekuwa nasumbuliwa miaka zaidi 5 sasa hata sijui kwa nini nimetimiza vigrxo vyote bila mafanikio....nikashangaa wengine BP zaonzikobshallow ila sababu kandabziwa wamevuta billions..mm sikuamini kwabkweli TADB inakufa CAG apite hapa mtasikia
 
Mimi siyo mtu wa majungu na ninachelea kusema mengi yanayosemwa hapa ni ukweli na mengine mengi sana hayajasemwa, Watumishi wengi sana wamefukuzwa kazi na wamekata rufaa Tume ya Utumishi wa Umma, kama vyombo vya uchunguzi vitafuatilia hili vitaona kuna ukweli. Sio kawaida watumishi zaidi ya 30 kuacha kazi na kufukuzwa halafu watu wanasema ni majungu, hiyo sababu pekee ni failure ya management hata kama hao waliofukuzwa walikuwa na makosa lakini kwanini ni kwa wingi namna hiyo? Au wanaohama kama ni utaratibu wa kawaida kwa watumishi kuhama lakini kwanini ni kwa wingi namna hiyo?

Hizi platform huwa zinatumika kama whistle blowers kwasababu wakati mwingine watoa taarifa huwindwa au hupelekwa Katavi kama njia za kukomoa. Cha msingi uchunguzi ufabyike na pande zote zihojiwe na ukweli ufahamike kama ni uongo awe cleared na tuhuma zionekane kuwa ni baseless accusations.
 
E0NhMwdXIAAW0HL.jpeg
 
Mwenyewe niliwahi kutana naye huyu bwana - ninamkubali ni kichwa sana lakini du kajamaa kana nyodo kweli kweli yaaani!
 
Mimi siyo mtu wa majungu na ninachelea kusema mengi yanayosemwa hapa ni ukweli na mengine mengi sana hayajasemwa, Watumishi wengi sana wamefukuzwa kazi na wamekata rufaa Tume ya Utumishi wa Umma, kama vyombo vya uchunguzi vitafuatilia hili vitaona kuna ukweli. Sio kawaida watumishi zaidi ya 30 kuacha kazi na kufukuzwa halafu watu wanasema ni majungu, hiyo sababu pekee ni failure ya management hata kama hao waliofukuzwa walikuwa na makosa lakini kwanini ni kwa wingi namna hiyo? Au wanaohama kama ni utaratibu wa kawaida kwa watumishi kuhama lakini kwanini ni kwa wingi namna hiyo?

Hizi platform huwa zinatumika kama whistle blowers kwasababu wakati mwingine watoa taarifa huwindwa au hupelekwa Katavi kama njia za kukomoa. Cha msingi uchunguzi ufabyike na pande zote zihojiwe na ukweli ufahamike kama ni uongo awe cleared na tuhuma zionekane kuwa ni baseless accusations.
Amefukuza Wafanyakazi 30 tu!! Mkurugenzi wa Shirika la Bila la Taifa- NIC kafukuza Wafanyakazi zaidi ya 90 tena unaondoka bila malipo yoyote.
 
Kwanza niseme, sijui kama uliyoandika hapa yote ni kweli, au baadhi ni majungu sijui.

Lakini haijalishi, yawe kweli au sio, ni mambo muhimu sana kwamba haitakuwa busara kwa wahusika kutoyatilia maanani na kuchimba ukweli ulipo.

Jambo la muhimu ulilofanya ni kwamba umejipanga vizuri, na kuwasilisha hoja zako kwa mpangilio unaoeleweka vizuri.
Rais na wasaidizi wake ni rahisi kufuatilia haya yote na kuona ulipo ukweli.

Hii Benki mbona ni muhimu sana kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi kwa ujumla.
Hapa ndipo panapotakiwa kuwekewa nguvu zaidi ili wananchi waweze kunufaika na benki hii.
Benki hiyo ya kilimo, lakini naona imejikita zaidi Dar ,badala ya kujikita mikoani zaidi kusaidia wakulima... yaani mfanyakazi inalalamika kuhamishwa toka Dar kwenda mikoani kwenye kilimo, unataka kula Bata miji mikubwa tu...kaazi kwelikweli.. hizi benki zingine ndo maana tija zake ni ndogo kwa wakulima na inakuwa ni kupeana ulaji tu...kazi iendelee.
 
Ndiyo benki iliyotumika kununua korosho za watu wa Kusini! Hivi ilitoa mahela mangapi? Na faida yake ilikuwa kiasi gani? Na ni kweli kwa nini wao hawahamiii Dodoma? Ilikuwa ni jitihada za Mwendazake kuwapa wapwa zake na watoto wa michepuko yake ulaji.
 
Kodi ya nyumba 6m? kwawezi. Mbona ni kufuru! Hela ya kulipa graduate 10. Hela ya kujenga nyumba nzuri kila mwezi.😄
 
Benki hiyo ya kilimo, lakini naona imejikita zaidi Dar ,badala ya kujikita mikoani zaidi kusaidia wakulima... yaani mfanyakazi inalalamika kuhamishwa toka Dar kwenda mikoani kwenye kilimo, unataka kula Bata miji mikubwa tu...kaazi kwelikweli.. hizi benki zingine ndo maana tija zake ni ndogo kwa wakulima na inakuwa ni kupeana ulaji tu...kazi iendelee.
Mkuu, asante sana kwa kuliona hilo; juu ya ualamishi wa mleta mada kuhusu uhamisho wa wafanya kazi kwenda mikoani kuwa kama ni adhabu.

Hili ni moja ya udhaifu wa andiko lake, hata kama kuna mengine yenye ushahidi juu ya udhaifu wa mtendaji mkuu wa benki hiyo.
 
Back
Top Bottom