Naomba kufahamu msimu wa bei nzuri ya Vitunguu Maji

SIR.NOM

Member
Sep 8, 2012
56
95
Wadau habarini,

Naombaen ushaur kwa wazoefu wa kilimo cha VITUNGUU MAJI.Nimeshaanza mradi wa kulima hili zao,ndoto yangu ni kulima Ekari 3.

Ila hofu yangu ni uhakika wa SOKO,kwa muda ntakaokuja kuvuna.Maana apa nategemea kuja kuvuna mwez wa 9 mwishoni hadi wa 10 hiv.

Ombi langu,naomba kujua uhakika wa bei nzuri sokoni kwa miezi hiyo kuanzia mwezi wa 9 hadi wa 11
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
51,905
2,000
Ukisha vuna ondoa layer ya kwanza ya vitunguu, ondoa mizizi na ukake inch 5-7 kutoka kwenye shina au majani. Jenga kichanja, tandika gunia au mkeka. Anika vitunguu kwa wiki mbili.

Vikikauka ondoa teana ngozi ya juu ibaki ile kama karatasi. Hifadhi vitunguu kwenye mifuko ya wavu. Weka ghalani, hakikisha ghala lina hewa ya kutosha.

Kwa hali hii unaweza kuvihifadhi hata kwa miezi sita.

1621671273929.jpeg
 

agprogrammer

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
463
500
Ukisha vuna ondoa layer ya kwanza ya vitunguu, ondoa mizizi na ukake inch 5-7 kutoka kwenye shina au majani. Jenga kichanja, tandika gunia au mkeka. Anima vitunguu kwa wiki mbili.

Vikikauka ondoa teana ngozi ya juu ibaki ile kama karatasi. Hifadhi vitunguu kwenye mifuko ya wavu. Weka ghalani, hakikisha ghala lina hewa ya kutosha.

Kwa haki hii unaweza kuvihifadhi hata kwa miezi sita.

View attachment 1793686
Hii nimeipenda!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom