kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi kubwa la vijana wanofanya kazi online

    Blogging Forex Affiliate marketing Freelancers, n.k Hata saa iliyoganda inaweza kuwa na msaada kama muda unaendana na pale ilipogandia lakini zaidi ya hapo ni hasara kubwa. Kumekuwa na wimbi la vijana kujifungia ndani muda wote wakiwa wanatafuta pesa mtandaoni kwa niia nlizozitaja hapo juu...
  2. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Kuwe na website maalumu kwa ajili ya wahitimu wanaotafuta kazi

    Hello JF... Nimeijibu hii katika one of the topics but nimeona tudiscuss. Kuna changamoto kubwa sasa hivi kupata ajira kwa wanaohitimu vyuoni. Hata humu tukiona graduates wakitafuta kazi yoyote itakayowafanya waishi. MImi leo ningependa kupendekeza kuwe na Facilitator/ Agency katika...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Usichague kazi, soma hapa nikutie moyo

    Naomba niwatie moyo wote wanaotafuta kazi bila mafanikio . Wakati nimemaliza degree yangu miaka ya nyuma kidogo, nilikaa kwa muda wa miaka miwili bila kupata kazi, Kila ninapopeleka application siitwi, ila nakumbuka niliitwa katika shirika moja kubwa tu lisilo la kiserikali kwa ajili ya...
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

    Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli? Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Askari saba wa wanyamapori wafukuzwa kazi Namtumbo

    Askari saba wa wanyamapori wa vijiji (VGS) wa jumuiya ya maliasili ya Mbarang’andu iliyoko Namtumbo mkoani Ruvuma wamefukuzwa kazi kwa tuhuma za kupokea rushwa na kuwaruhusu watu kulima kwenye hifadhi hiyo yenye wanyama mbalimbali wakiwemo Tembo. Tamko la kufukuzwa kazi kwa askari hao...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watendaji wa kata, kijiji wasimamishwa kazi, kupisha uchunguzi

    MKUU wa Mkoa wa Arusha, Idd Hassan Kimanta amewasimamisha kazi Mtendaji Kijiji na kata ya Mwandeti na Afisa Tarafa ya Mukrati kuwa chini ya ungalizi ili kupisha uchunguzi zaidi na hatua kali zitachukuliwa baada ya uchunguzi kukamilika. Maamuzi hayo yamefanyika katika kikao kazi kati ya Mkuu wa...
  7. Liverpool_Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi kama vijana wanaambiwa wafanye kazi yoyote kwanini wanaenda chuo?

    Ni siku nyengine tuseme asante Mungu kwa kutuamsha tena. Naomba niende kwenye mada. Leo alfajiri nimepigiwa simu na mshakaji wangu wa kipindi Fulani hivi tuliendana sanaa ila ndio harakati za maisha zilitutenga. Yeye kwasasa ni muuza mayai na alisoma engineering. Jamaa anasema biashara...
  8. neema shamuhenya

    JamiiForums Tanzania Tuamke tuamke jamani ndugu zanguni kumpongeza Rais mchapa kazi

    Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana. Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari...
  9. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mujibu wa Bernard Membe, vyombo vya usalama na ulinzi havifanyi kazi kwa mujibu wa sheria?

    Katika mahojiano kati ya Mhe. B. C. Membe na Sammy Awami wa BBC Swahili, alisikika akijibu swali linalohusu vyombo vya usalama na ulinzi vya dola kuingilia masuala ya uchaguzi wa kisiasa; mfano, Urais, Wabunge na Madiwani na kuharibu usawa katika uwanja huo. Akiwa kama 'kachero mbobezi na...
  10. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Una vigezo vya kazi, kwanini unakosa kazi?

    Na Abby Msangi Tanzania ni moja ya mataifa yenye idadi kubwa ya vijana ikikadiriwa kufikia zaidi ya milioni 25. Kwa wastani zaidi ya vijana laki nane (800,000) huingia katika soko la ajira kila mwaka huku uwezo wa uzalishaji wa kazi zenye tija (ajira rasmi) ni kati ya 50,000 mpaka 60,000 kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naweza kufanya kazi yoyote ambayo haijakatazwa kibiblia, Mungu alijitambulisha kwa majina tofauti!

    Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika. Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk. Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la...
  12. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Kazi zenye pesa zisizojadiliwa na vijana hizi hapa

    Natumai hamjambo, kichwa Cha habari kinajieleza, Kuna kazi vijana wengi hawazijadili ila ukizizingatia unaweza ukatengeneza kampuni kubwa Tena yenye kuheshimika 1; Shoe care, hi inajumuisha kushona viatu vilivyochanika, mikoba, begi, nk, kung'arisha viatu na kufua viatu, Hakika, kwa mtaji wa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva, nina akaunti active Uber, Bolt nk

    ....
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa vijijini hawamjui Tundu Lissu, Chadema mtapata kazi ya ziada kumnadi

    Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa. Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa. Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa...
  15. Idd Ninga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nalitamani jimbo la Arusha mjini,ni wakati wa vijana wachapa kazi

    Haja yangu ni kuliona jimbo la Arusha mjini likiwa Geneva ya kweli ya Afrika,kuigeuza na kuifanya Arusha kuwa makao makuu ya utalii Afrika ya mashariki na kati na kuweka mikakati na mipango na wadau wa utalii katika jimbo hili kuhakikisha utalii unatangazwa na vijana wanapata ajira ya uhakika...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Shinyanga inamshikilia Joseph Jonas Tasia kwa kukutwa na doti mia sita (600) za vitenge vyenye nembo ya Chama Cha Mapinduzi na vya kawaida

    TAKUKURU mkoa wa Shinyanga katika ufatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi, manao tarehe 29/06/2020 majira ya saa tatu usiku mtaa wa Mwasele B nyumbani kwa Joseph Jonas Tasia ilikamata doti mia sita za vitenge zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi na vya kawaida vikiwa...
  17. Heater

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu kuachishwa kazi

    Hhhhhh
  18. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye uzoefu wa mauzo na uhasibu anatafuta kazi

    Habari wakuu, (Moderators samahani,natumia link) Nasaidia kumsambazia ndugu yangu mwenye diploma ya uhasibu na post graduate ya marketing, akiwa amefanya kazi hizi kwa miaka 5, anatafuta kazi mpya baada ya mwajiri wa mwanzo kurudi kwao nje ya nchi na kuhamisha uwekezaji.Kama unayo nafasi au...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maofisa wa UN wasimamishwa kazi kwa kufanya ngono kwenye gari la ofisi

    Umoja wa Mataifa (UN) umewapeleka likizo bila malipo wafanyakazi wake wawili ambao wanakabiliwa na kashfa ya kufanya vitendo vya ngono katika gari ya kazini nchini Israel. Maafisa hao walipigwa picha ya video katika gari ambayo ilikuwa ina nembo ya UN- katika mji wa Tel Aviv katika mtaa wa...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, naomba kazi ya Ukurugenzi wa Halmashauri

    Mheshimiwa Rais, Ninaomba kazi ya ukurugenzi wa halmashauri hasa katika maeneo ya kilimo au wafugaji kwasababu ninataka kutumia uzoefu na elimu yangu katika kuimarisha ushirika wa uzalishaji mali katika kilimo au ufugaji. Nina uzoefu wa muda mrefu katika kujenga uwezo wa taasisi ndogo ndogo za...
Back
Top Bottom