Kazi imeanza: Halima Mdee kuongea na Waandishi wa Habari

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,232
FB_IMG_1578380965108.jpg

Mwenyekiti wa BAWACHA , jumuiya ya wanawake inayosemekana kuwa na nguvu kuliko jumuiya yoyote ya aina hiyo barani Africa , Mh Halima Mdee atazungumza na Waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema Jumatano hii.

Wote mnakaribishwa
 
Ukiwa mwanaharakati usiwe pendapenda sana uke au uume dhamira zako hazitatimia.. Kama hajaolewa yukosahihi....nakama kamuoa mwanamje mwezake yukosahihi hata kama anatunia doldo yukosahihi.....unampangia leo kuolewa,anavozaliwa wapi ulikua ,anasoma kuongeza maarifa ulichangia nn kwenye karo
Ana akili nyingi hadi amemkosa mme wa size yake amuoe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue ya kutekwa ndo the last bullet ya chadema, wanataman hata wajiteke ili kus-peed up bullet velocity

..kwanini serikali na ccm hawatatui tatizo hilo?

..kila siku ccm na serikali mnajisifia kuwa mmetekeleza mambo yooote ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wapinzani.

..inaelekea watekaji wana baraka na wanalindwa na mtu fulani mwenye nguvu.
 
Back
Top Bottom