Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,690
- 218,194
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mbeya Mjini kimeanza amsha amsha kwa kumwaga semina elekezi kwa viongozi wa Kata zote , Vijiji na vitongoji kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kiutendaji .
Ikumbukwe kwamba siasa za kishirikina za kutembea mitaani na majeneza kama zinavyofanywa na ccm , hazina nafasi kwa jamii iliyostaarabika na ndio maana Chadema imeamua kutumia mbinu za kisomi .
Wanaoonekana pichani ni viongozi wetu wa ngazi zote kutoka bonde la Uyole , wakichukua ujuzi kutoka kwa viongozi wao